mama akimbusu mwanaye na akiwa haamini kama amemtoka
enzi za uhai wake
25 comments:
jud canada
said...
Jamani ni nini kimempata huyu beautiful young lady? Aliumwa au ni ghafla? EE Mungu tunakushukuru kwa kuwa bado tunauhai, japo siyo kwamba sisi ni wema kuliko waliotangulia. Inatia uchungu mmo . Pole kwa walezi Mungu awatie nguvu. Simjui huyu dada lakini anaonekana alikuwa mzuri mno na very young kuondoka jamani. Mungu tusaidie tujitambue kwamba maisha yetu ni mafupi mno ni wasafiri na tuwe tayari mda wowote. God is our merciful father and the source of all comfort.
pole sana dada yangu kwa kuondokewa na kipenzi chako mfanyakazi wako, jaman wengi tulipambwa na huyu dada mungu ampumzishe kwa amani, na mungu ampe maznat nguvu ya kulea kale katoto ka miezi 9,
oooh jamani it's so touching... jamani charity kwani alikuwa anaumwa?? yaani nimeumia kumuona amelala hapo mpk basi....namuombea kwa mungu amuondolee adhabu huko mbele ya haki..Ameen..!
NDIO HIVYO UJIANDAE KWA KUFANYA IBADA NA KUVAA STARA UACHE KUKAA UCHI WEWE NI BINT WA KIISLAM EBU MUNGU ATUJALIE MWISHO MZURI.NAKUPENDA SANA ILA CIPENDI MAVAZ YAKO J LO MANY KISSES!
pole sana dada maznat mungu akutie nguvu, maana jaman huyu dada ni yatima maznat alikuwa akimlea kama mwanae mpaka hapo alipofikia, mungu atakupa nguvu maznat uweze kulea kachanga hakika utabarikiwa kwa wema wako.
kwani alikuwa ameolewa au hiyo picha ilikuwa tu kavaa gown la harusi Sintah? naona wamemvalisha exactly kwenye hipo pic yake akiwa hai, naomba unijibu da Sintah
Maskini, inasikitisha mno, juzi tulikuwa tunapambwa hapo saluni kwa Maznat, ndo wakapata taarifa hiyo ya msiba kiukweli ilishtusha na kusikitisha mno, alikuwa kipenzi cha watu, wenzie kazini na hata kwa wateja pia. Mungu ampumzishe kwa Amani!! Poleni sana wafiwa!! Pole Dada Maznat sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi, apumzike kwa Amani. Amen!!!!
MUNGU ni mwema na anasababu na kila jambo litokealo ktk maisha yetu...hebu jiulize wewe uliye hai leo ungekuwa wewe ni charity UMELALA USINGIZI WA MAUTI UNGEKUWA WAPI KTK KITI KITAKATIFU CHA MUNGU? tujitayarishe na kila sekunde mkumbuke MUNGU wako na uwe mwepesi kutubu. Dada Maznat pole sana MUNGU akutie nguvu usonge mbele na moyo mkuu wa kumshukuru kwa yte hayo. LULU.
25 comments:
Jamani ni nini kimempata huyu beautiful young lady? Aliumwa au ni ghafla? EE Mungu tunakushukuru kwa kuwa bado tunauhai, japo siyo kwamba sisi ni wema kuliko waliotangulia.
Inatia uchungu mmo . Pole kwa walezi Mungu awatie nguvu. Simjui huyu dada lakini anaonekana alikuwa mzuri mno na very young kuondoka jamani. Mungu tusaidie tujitambue kwamba maisha yetu ni mafupi mno ni wasafiri na tuwe tayari mda wowote.
God is our merciful father and the source of all comfort.
Polen wafiwa hasa mama yake..Kuishi ni KRISTU na kufa ni FAIDa
ingekuwa vizuri ungetuhabirisha nini kumemuua maana inaonyesha imekuwa ghafla mno
Du kifo hiki...utadhani ataamka jamani. Poleni sana yote ni mipango ya Mungu. Mavumbini tulitoka na mavumbini tutarudi. R.I.P Charity.
pole sana dada yangu kwa kuondokewa na kipenzi chako mfanyakazi wako, jaman wengi tulipambwa na huyu dada mungu ampumzishe kwa amani, na mungu ampe maznat nguvu ya kulea kale katoto ka miezi 9,
jifunze kupiga picha sio vizuri kupiga picha ya maiti kwa mbele
oooh jamani it's so touching... jamani charity kwani alikuwa anaumwa?? yaani nimeumia kumuona amelala hapo mpk basi....namuombea kwa mungu amuondolee adhabu huko mbele ya haki..Ameen..!
Dah mzuri jamani eeh kifo hichi
Gone too soon sisy,mwanga wa milele uangiziwe#RIP
pole sana dada maznat! mungu akutie nguvu!
NDIO HIVYO UJIANDAE KWA KUFANYA IBADA NA KUVAA STARA UACHE KUKAA UCHI WEWE NI BINT WA KIISLAM EBU MUNGU ATUJALIE MWISHO MZURI.NAKUPENDA SANA ILA CIPENDI MAVAZ YAKO J LO MANY KISSES!
pole sana dada maznat mungu akutie nguvu, maana jaman huyu dada ni yatima maznat alikuwa akimlea kama mwanae mpaka hapo alipofikia, mungu atakupa nguvu maznat uweze kulea kachanga hakika utabarikiwa kwa wema wako.
kwani alikuwa ameolewa au hiyo picha ilikuwa tu kavaa gown la harusi Sintah? naona wamemvalisha exactly kwenye hipo pic yake akiwa hai, naomba unijibu da Sintah
Maskini, inasikitisha mno, juzi tulikuwa tunapambwa hapo saluni kwa Maznat, ndo wakapata taarifa hiyo ya msiba kiukweli ilishtusha na kusikitisha mno, alikuwa kipenzi cha watu, wenzie kazini na hata kwa wateja pia. Mungu ampumzishe kwa Amani!! Poleni sana wafiwa!! Pole Dada Maznat sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi, apumzike kwa Amani. Amen!!!!
pole dada maznat hata atuelewi ameumwa nini huyu binti
MBONA KAVALISHWA KAMA BIHARUSI AU ALIOLEWA?
MBONA HAWASEMI AMEUMWA NINI MI MPAKA NACHUKIA MTU UNASIKIA UCHUNGU SABABU HUIJUI
jamani sitaki kuamini huyu dada alinipamba nilikuwa nasimamia harusi alinipamba vizuri kweli. hakika kifu tunatembea nacho ni nini kimemsibu ghafla? R.I.P charity.
RIP Beautiful,,, i dont know her, but touched with her sudden death!! may God Rest Her Soul in Eternal Life!!
R.I. P CHARITY.
Jaman kanpamba juz2 january ths yr in my wedding,cant believe kbs.apumzike kwa aman jaman kufa kwel hakuna taarifa
yani kama amelala vile,hajabadilika ngozi na kuwa nyeusi kama maiti zingine zinavyokuwaga.R.I.P Charity sote ni wasafiri .
RIP CHARITY
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake liihimidiwe
RIP dear Charity nakukumbuka kwa ucheshi wako na upambaji wako....aisee Mwangga wa milele ukuangazie....
Pia pole sana Dada Maznat kwa kuondokewa na mfanyakazi wako, ameenda zake hatutamuona tena, poleni sana wote kwa pamoja.
MUNGU ni mwema na anasababu na kila jambo litokealo ktk maisha yetu...hebu jiulize wewe uliye hai leo ungekuwa wewe ni charity UMELALA USINGIZI WA MAUTI UNGEKUWA WAPI KTK KITI KITAKATIFU CHA MUNGU? tujitayarishe na kila sekunde mkumbuke MUNGU wako na uwe mwepesi kutubu.
Dada Maznat pole sana MUNGU akutie nguvu usonge mbele na moyo mkuu wa kumshukuru kwa yte hayo. LULU.
Post a Comment