tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post6226285473869682500..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: FARE THEE WELL OUR BELOVED SISTER CHARITYSintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger25125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-24519760868880270642012-05-07T10:48:39.672+03:002012-05-07T10:48:39.672+03:00MUNGU ni mwema na anasababu na kila jambo litokeal...MUNGU ni mwema na anasababu na kila jambo litokealo ktk maisha yetu...hebu jiulize wewe uliye hai leo ungekuwa wewe ni charity UMELALA USINGIZI WA MAUTI UNGEKUWA WAPI KTK KITI KITAKATIFU CHA MUNGU? tujitayarishe na kila sekunde mkumbuke MUNGU wako na uwe mwepesi kutubu.
Dada Maznat pole sana MUNGU akutie nguvu usonge mbele na moyo mkuu wa kumshukuru kwa yte hayo. LULU.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-56143138048584624072012-05-04T14:35:56.317+03:002012-05-04T14:35:56.317+03:00RIP dear Charity nakukumbuka kwa ucheshi wako na u...RIP dear Charity nakukumbuka kwa ucheshi wako na upambaji wako....aisee Mwangga wa milele ukuangazie....

Pia pole sana Dada Maznat kwa kuondokewa na mfanyakazi wako, ameenda zake hatutamuona tena, poleni sana wote kwa pamoja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-7447978418336082352012-05-04T01:51:46.881+03:002012-05-04T01:51:46.881+03:00Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake liihimidiw...Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake liihimidiweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-48504220546701616152012-05-03T14:54:34.116+03:002012-05-03T14:54:34.116+03:00RIP CHARITYRIP CHARITYAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-61235515125476226802012-05-02T21:29:39.583+03:002012-05-02T21:29:39.583+03:00yani kama amelala vile,hajabadilika ngozi na kuwa ...yani kama amelala vile,hajabadilika ngozi na kuwa nyeusi kama maiti zingine zinavyokuwaga.R.I.P Charity sote ni wasafiri .Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-59638540872638128842012-05-02T20:30:28.374+03:002012-05-02T20:30:28.374+03:00Jaman kanpamba juz2 january ths yr in my wedding,c...Jaman kanpamba juz2 january ths yr in my wedding,cant believe kbs.apumzike kwa aman jaman kufa kwel hakuna taarifaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-85459375689378904152012-05-02T10:30:09.501+03:002012-05-02T10:30:09.501+03:00RIP Beautiful,,, i dont know her, but touched with...RIP Beautiful,,, i dont know her, but touched with her sudden death!! may God Rest Her Soul in Eternal Life!!

R.I. P CHARITY.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-25163671325801385142012-05-02T10:18:10.995+03:002012-05-02T10:18:10.995+03:00jamani sitaki kuamini huyu dada alinipamba nilikuw...jamani sitaki kuamini huyu dada alinipamba nilikuwa nasimamia harusi alinipamba vizuri kweli. hakika kifu tunatembea nacho ni nini kimemsibu ghafla? R.I.P charity.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-17810561277288449802012-05-02T09:42:49.842+03:002012-05-02T09:42:49.842+03:00MBONA HAWASEMI AMEUMWA NINI MI MPAKA NACHUKIA MTU ...MBONA HAWASEMI AMEUMWA NINI MI MPAKA NACHUKIA MTU UNASIKIA UCHUNGU SABABU HUIJUIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-80275816430171400742012-05-01T11:35:50.270+03:002012-05-01T11:35:50.270+03:00MBONA KAVALISHWA KAMA BIHARUSI AU ALIOLEWA?MBONA KAVALISHWA KAMA BIHARUSI AU ALIOLEWA?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-72842199112293526472012-04-30T23:25:07.506+03:002012-04-30T23:25:07.506+03:00pole dada maznat hata atuelewi ameumwa nini huyu b...pole dada maznat hata atuelewi ameumwa nini huyu bintiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-7968945874862900062012-04-30T16:38:03.904+03:002012-04-30T16:38:03.904+03:00Maskini, inasikitisha mno, juzi tulikuwa tunapambw...Maskini, inasikitisha mno, juzi tulikuwa tunapambwa hapo saluni kwa Maznat, ndo wakapata taarifa hiyo ya msiba kiukweli ilishtusha na kusikitisha mno, alikuwa kipenzi cha watu, wenzie kazini na hata kwa wateja pia. Mungu ampumzishe kwa Amani!! Poleni sana wafiwa!! Pole Dada Maznat sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi, apumzike kwa Amani. Amen!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-25040607082994679232012-04-30T16:10:23.478+03:002012-04-30T16:10:23.478+03:00kwani alikuwa ameolewa au hiyo picha ilikuwa tu ka...kwani alikuwa ameolewa au hiyo picha ilikuwa tu kavaa gown la harusi Sintah? naona wamemvalisha exactly kwenye hipo pic yake akiwa hai, naomba unijibu da SintahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-32414627026908915022012-04-30T16:04:42.851+03:002012-04-30T16:04:42.851+03:00pole sana dada maznat mungu akutie nguvu, maana ja...pole sana dada maznat mungu akutie nguvu, maana jaman huyu dada ni yatima maznat alikuwa akimlea kama mwanae mpaka hapo alipofikia, mungu atakupa nguvu maznat uweze kulea kachanga hakika utabarikiwa kwa wema wako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-13659753753141034812012-04-30T14:08:02.773+03:002012-04-30T14:08:02.773+03:00NDIO HIVYO UJIANDAE KWA KUFANYA IBADA NA KUVAA STA...NDIO HIVYO UJIANDAE KWA KUFANYA IBADA NA KUVAA STARA UACHE KUKAA UCHI WEWE NI BINT WA KIISLAM EBU MUNGU ATUJALIE MWISHO MZURI.NAKUPENDA SANA ILA CIPENDI MAVAZ YAKO J LO MANY KISSES!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-57088080557175721672012-04-30T14:00:42.624+03:002012-04-30T14:00:42.624+03:00pole sana dada maznat! mungu akutie nguvu!pole sana dada maznat! mungu akutie nguvu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-17283118232648528212012-04-30T12:17:08.783+03:002012-04-30T12:17:08.783+03:00Gone too soon sisy,mwanga wa milele uangiziwe#RIPGone too soon sisy,mwanga wa milele uangiziwe#RIPAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-10742308068323032852012-04-30T11:53:38.892+03:002012-04-30T11:53:38.892+03:00Dah mzuri jamani eeh kifo hichiDah mzuri jamani eeh kifo hichiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-17800129044939324012012-04-30T11:26:12.818+03:002012-04-30T11:26:12.818+03:00oooh jamani it's so touching... jamani charity...oooh jamani it's so touching... jamani charity kwani alikuwa anaumwa?? yaani nimeumia kumuona amelala hapo mpk basi....namuombea kwa mungu amuondolee adhabu huko mbele ya haki..Ameen..!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-34219857699836595022012-04-30T11:02:54.453+03:002012-04-30T11:02:54.453+03:00jifunze kupiga picha sio vizuri kupiga picha ya ma...jifunze kupiga picha sio vizuri kupiga picha ya maiti kwa mbeleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-25716323367188791062012-04-30T10:14:11.678+03:002012-04-30T10:14:11.678+03:00pole sana dada yangu kwa kuondokewa na kipenzi cha...pole sana dada yangu kwa kuondokewa na kipenzi chako mfanyakazi wako, jaman wengi tulipambwa na huyu dada mungu ampumzishe kwa amani, na mungu ampe maznat nguvu ya kulea kale katoto ka miezi 9,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-2417427035286481682012-04-30T09:32:38.124+03:002012-04-30T09:32:38.124+03:00Du kifo hiki...utadhani ataamka jamani. Poleni san...Du kifo hiki...utadhani ataamka jamani. Poleni sana yote ni mipango ya Mungu. Mavumbini tulitoka na mavumbini tutarudi. R.I.P Charity.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-67071875970766651432012-04-30T09:05:53.863+03:002012-04-30T09:05:53.863+03:00ingekuwa vizuri ungetuhabirisha nini kumemuua maan...ingekuwa vizuri ungetuhabirisha nini kumemuua maana inaonyesha imekuwa ghafla mnoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-70902528792318517242012-04-30T08:06:41.756+03:002012-04-30T08:06:41.756+03:00Polen wafiwa hasa mama yake..Kuishi ni KRISTU na k...Polen wafiwa hasa mama yake..Kuishi ni KRISTU na kufa ni FAIDaJlynnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-33565446348105230972012-04-30T03:17:41.230+03:002012-04-30T03:17:41.230+03:00Jamani ni nini kimempata huyu beautiful young lady...Jamani ni nini kimempata huyu beautiful young lady? Aliumwa au ni ghafla? EE Mungu tunakushukuru kwa kuwa bado tunauhai, japo siyo kwamba sisi ni wema kuliko waliotangulia.
Inatia uchungu mmo . Pole kwa walezi Mungu awatie nguvu. Simjui huyu dada lakini anaonekana alikuwa mzuri mno na very young kuondoka jamani. Mungu tusaidie tujitambue kwamba maisha yetu ni mafupi mno ni wasafiri na tuwe tayari mda wowote.
God is our merciful father and the source of all comfort.jud canadanoreply@blogger.com