Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MY CHARITY IS GONE (RIP)

my make up artist


wapenzi nimemfahamu huyu dada way back 2008, alianza kuni paka make up kwakweli kifo chake kimenisikitisha sana RIP Charity mazishi yanafanyika nyumbani kwa Maznat maeneo ya Mbezi beach.

ni Charity ndio alifanya make up
yeye ndio alionipiga picha hii
hapa nilimsumbua Charity nipige picha nimtumie
jokate bbm ahakiki make up
ooh am so touched
make ilifanywa na marehemu Charity
jamani tunatembea na vifo

19 comments:

Anonymous said...

Ohh jamani so sad,simfaham ila inasikitisha!naogopa mie nikiwaza kifo

Anonymous said...

am sorry 4 your lost,be thankful 4 everyday that passes as i might be your last.

elisa said...

Ooh sintah pole sana ! Ameumwa au îmekuaje? Jamani tumkumbuke sana Mungu wakati wote , atupe maisha marefu!

Anonymous said...

pole swiiiry hearrty!

Anonymous said...

uwiiiiiiiiiiiiii, jamani what happened. Hembu tujuze vizuri pls mi nasikia na tumbo la kuhara huyu dada amenipamba kwenye harusi yangu na nyingi nilizosimamia ni mcheshi sana hata nikienda anajua ninamtaka yeye. He!!!! imkuwaje pls tell us.

Anonymous said...

Marehem mzuri kuliko wewe!make up!make up,huna aya manina wewe!nnnnnanokoooh

Anonymous said...

RIP Charity

Anonymous said...

Sinta pole sana, ila rekeb
isha English bwana unatuaibisha wasomi, sio is gone, ni Has gone

Anonymous said...

RIP CHARITY

Anonymous said...

Such a pretty girl,may her soul rest in peace

Anonymous said...

Inalilahi Waina Ilahi Rajioon

Anonymous said...

Hujakosea sinta kweli 2natembea na vifo,ts scary n sad hw vijana wanaondoka jaman,may her soul rest in peace na ndo na nyie wwenye mashauzi make mkijua life is not guaranteed,leo upo kesho umedondoka

frank johnson jokes said...

Rest In Peace Charity

Anonymous said...

wape pole sana wafiwa,ndo dunia hii hamna atakayeishi milele.....

Anonymous said...

Pole sinta....it happens na wote tupo kwenye mstari.

jlyn said...

Polen sana.c ni juzi tu hapa during KTMA??ooh jaman kwel kifo twatembea nachio..je ni ghafla or??tujuze basi

Anonymous said...

dah maskini she is too young to die... ndo maana tunaambiwa tuwe tayari wakati wote coz hatujui cku wala saa. May God rest her soul in enternal peace.... AMEN....!


R.I.P Charity

Anonymous said...

ooooh my God this lady alipamba siku ya Harusi yangun so Sad why u have allowed this My God. I know her i know her RIP. We are on the way too.... Mary

Anonymous said...

poleni wote mlioguswa na kifo cha binti huyu,nimesikitika sana nilivyosikia habari hii,nilimfahamu fm 2005'kazi ya mungu haina makosa