Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

FARE THEE WELL OUR BELOVED SISTER CHARITY

Prof Lipumba na Magufuli walikuwepo
OMG
mama yake mlezi akilia
waombolezaji
bado siamini

mama akimbusu mwanaye
na akiwa haamini
kama amemtoka
enzi za uhai wake

26 comments:

jud canada said...

Jamani ni nini kimempata huyu beautiful young lady? Aliumwa au ni ghafla? EE Mungu tunakushukuru kwa kuwa bado tunauhai, japo siyo kwamba sisi ni wema kuliko waliotangulia.
Inatia uchungu mmo . Pole kwa walezi Mungu awatie nguvu. Simjui huyu dada lakini anaonekana alikuwa mzuri mno na very young kuondoka jamani. Mungu tusaidie tujitambue kwamba maisha yetu ni mafupi mno ni wasafiri na tuwe tayari mda wowote.
God is our merciful father and the source of all comfort.

Jlyn said...

Polen wafiwa hasa mama yake..Kuishi ni KRISTU na kufa ni FAIDa

Anonymous said...

ingekuwa vizuri ungetuhabirisha nini kumemuua maana inaonyesha imekuwa ghafla mno

Anonymous said...

Du kifo hiki...utadhani ataamka jamani. Poleni sana yote ni mipango ya Mungu. Mavumbini tulitoka na mavumbini tutarudi. R.I.P Charity.

Anonymous said...

pole sana dada yangu kwa kuondokewa na kipenzi chako mfanyakazi wako, jaman wengi tulipambwa na huyu dada mungu ampumzishe kwa amani, na mungu ampe maznat nguvu ya kulea kale katoto ka miezi 9,

Anonymous said...

jifunze kupiga picha sio vizuri kupiga picha ya maiti kwa mbele

Anonymous said...

oooh jamani it's so touching... jamani charity kwani alikuwa anaumwa?? yaani nimeumia kumuona amelala hapo mpk basi....namuombea kwa mungu amuondolee adhabu huko mbele ya haki..Ameen..!

Anonymous said...

Dah mzuri jamani eeh kifo hichi

Anonymous said...

Gone too soon sisy,mwanga wa milele uangiziwe#RIP

Anonymous said...

pole sana dada maznat! mungu akutie nguvu!

Anonymous said...

NDIO HIVYO UJIANDAE KWA KUFANYA IBADA NA KUVAA STARA UACHE KUKAA UCHI WEWE NI BINT WA KIISLAM EBU MUNGU ATUJALIE MWISHO MZURI.NAKUPENDA SANA ILA CIPENDI MAVAZ YAKO J LO MANY KISSES!

Anonymous said...

pole sana dada maznat mungu akutie nguvu, maana jaman huyu dada ni yatima maznat alikuwa akimlea kama mwanae mpaka hapo alipofikia, mungu atakupa nguvu maznat uweze kulea kachanga hakika utabarikiwa kwa wema wako.

Anonymous said...

kwani alikuwa ameolewa au hiyo picha ilikuwa tu kavaa gown la harusi Sintah? naona wamemvalisha exactly kwenye hipo pic yake akiwa hai, naomba unijibu da Sintah

Anonymous said...

Maskini, inasikitisha mno, juzi tulikuwa tunapambwa hapo saluni kwa Maznat, ndo wakapata taarifa hiyo ya msiba kiukweli ilishtusha na kusikitisha mno, alikuwa kipenzi cha watu, wenzie kazini na hata kwa wateja pia. Mungu ampumzishe kwa Amani!! Poleni sana wafiwa!! Pole Dada Maznat sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi, apumzike kwa Amani. Amen!!!!

Anonymous said...

pole dada maznat hata atuelewi ameumwa nini huyu binti

Anonymous said...

MBONA KAVALISHWA KAMA BIHARUSI AU ALIOLEWA?

Anonymous said...

MBONA HAWASEMI AMEUMWA NINI MI MPAKA NACHUKIA MTU UNASIKIA UCHUNGU SABABU HUIJUI

Anonymous said...

jamani sitaki kuamini huyu dada alinipamba nilikuwa nasimamia harusi alinipamba vizuri kweli. hakika kifu tunatembea nacho ni nini kimemsibu ghafla? R.I.P charity.

Anonymous said...

RIP Beautiful,,, i dont know her, but touched with her sudden death!! may God Rest Her Soul in Eternal Life!!

R.I. P CHARITY.

Anonymous said...

RIP

Anonymous said...

Jaman kanpamba juz2 january ths yr in my wedding,cant believe kbs.apumzike kwa aman jaman kufa kwel hakuna taarifa

Anonymous said...

yani kama amelala vile,hajabadilika ngozi na kuwa nyeusi kama maiti zingine zinavyokuwaga.R.I.P Charity sote ni wasafiri .

Anonymous said...

RIP CHARITY

Anonymous said...

Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake liihimidiwe

Anonymous said...

RIP dear Charity nakukumbuka kwa ucheshi wako na upambaji wako....aisee Mwangga wa milele ukuangazie....

Pia pole sana Dada Maznat kwa kuondokewa na mfanyakazi wako, ameenda zake hatutamuona tena, poleni sana wote kwa pamoja.

Anonymous said...

MUNGU ni mwema na anasababu na kila jambo litokealo ktk maisha yetu...hebu jiulize wewe uliye hai leo ungekuwa wewe ni charity UMELALA USINGIZI WA MAUTI UNGEKUWA WAPI KTK KITI KITAKATIFU CHA MUNGU? tujitayarishe na kila sekunde mkumbuke MUNGU wako na uwe mwepesi kutubu.
Dada Maznat pole sana MUNGU akutie nguvu usonge mbele na moyo mkuu wa kumshukuru kwa yte hayo. LULU.