Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SHOP AT UCHUMI SUPERMARKET






BE THERE FIRST PERSON TO GRAB YOUR U CARD

WE START WITH 2000 POINTS

MIMI NA MY BABY GAL BEATRICE ENJOYED THE DAY AT UCHUMI SUPERMARKET

11 comments:

Anonymous said...

sintah unakulka bata sio kama wenzio kazi kukaa bar na kufikiria nani wamchune go go go gal

Anonymous said...

im happy for you PS

Anonymous said...

kwani wameshanza ku operate PS?

Anonymous said...

we fala comment unabana eeh? ila msg derivered

SINTAH WA UKWEEEEH said...

wameanzaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

thanks for the information gal,we wacha mapunga zeze yaendelee kuchonga,jua mtu akikukashifu kuna kitu unamzidi which is very bad of her/they jamani.jaribuni kumsifu mtu na kidogo kizuri alichonacho.

says ,middy

SINTAH WA UKWEEEEH said...

achana nao mimi sijali wala sijiharibii nafsi kwa mambo hayo nilisemwa toka nipo tumboni kwa my mum sembuse sasa waache wala usinionee huruma ukiona mtu anakusema amatamani kuwa kama wewe
mwaya uchumi imefunguliwa nimetoka hapo sasa kunywa chai fair delight ya quality centre kesho ma photo utayaonaaa
senkyu

Anonymous said...

Iko wapi hiyo uchumi dear. Wengine tuko nje ya Tz kwa hiyo tukirudi tunakuwa washamba fulani

sintah said...

Quality Center pugu road

sintah said...

Quality Center pugu road

Anonymous said...

pugu road ni kubwa wngu ni kipawa, vingungut au wapi