Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
Showing posts with label PS. Show all posts
Showing posts with label PS. Show all posts

AISEEE ASALAEEEE


ma big sis,role model oooh
(usisonyee basi)


tuseme za ukweli jamani jamani aasalalleee ingekuwa ni star wa uswahilini kwetu Tanzania,eeeeh kiluma ndede angevuliwaje nguo? bila kupenda maana matusi yangemfata mpaka
lakini dada yangu hapo juu kavaa loooh eti fashion
mmmh wabongo bana.

48HOURS NI KAMPALA THANKS MA GAL BEATRICE FOR EVERYTHING

I was in Kampala for 48HRS,  na mimi Kampala nina mashosti lukuki yaani inazidi Dar na mitaa yote kwa wale wanaotoa huduma kama Chakula,nguo nk, wananijua kwa jinsi nilivyokuwaga kindaki ndaki, maana mpaka juzi napita wananiambia nenga umbbuze yaani nimepotea i wish wangejua nilisepa long,
my gal beatrice aka ni host na kama unavyonijua i don mingle with fake friends,she is well educated kama unavyoona no plates ni CD yaani Country Diplomat (usinune ni maisha tuu )

Lovely gf of mine

jlo and Beatrice
ka no plates kanachingulia kwa mbali
CD


kazi ipo
mke ya muthungu na Beatrice

baada ya kunishusha
walijipa raha
Imperial Resort Entebbe
                                                       Ero beach Entebbe

NIMEWAMISS SANA WADAU WANGU

Hallowz ma wadau,


Natumaini mko pouwa samahanini sana kwani nipo mbali na Dar,kwanza kabisa nilifiwa so nilisafiri kwenda Moshi town kumzika my aunt,nikarudi Dar nikasafiri tena kwa ujumla sipo nchini,narudi jumatano,nimewamiss sana but soon nitaanza kazi kama kawa.

nimewamiso sana
msikose kupitia kwani stori mpya kibao loves

from
j wake Lo
Nothing but Confidence


SO FAR SO GOOD

napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa Tasisi,wabunge, na mawaziri mnaomsaidia dorah kwa sasa .

kwani naamini kabisa mmeguswa sana na kitendo alichofanyiwa binti yetu wa miaka minne.

pia ningependa kutoa shukurani zangu za dhati, kwa wale wachangiaji wa madaa hii wengine hawakupenda comment zao ziende hewani ila walinielezea wapi dorah anaweza pata msaada.

kwa wale mliopiga simu na mengineyo, ahsateni kwani leo ni kwa dorah kesho ni kwako nasi tutakuwa sambamba nawe ukituletea habari ili wengine wakusaidie.

kumbuka sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja bila kujali itikadi zozote.

Mungu awe nanyi,na nitaendelea kuwaeleza, nini kinachoendelea katika kesi ya ubakaji wa mtoto wa miaka minne inayomkabili kijana anayeendesha bajaji.


thanks
sintah



                                                           there is only known Sintah in Tz

KWANINI MA SUPER STAR WENGI HAWADUMU KATIKA MAHUSIANO YAO

dada sintah mambo

mimi kila siku nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini baadhi na wengi wa ma super star wa bongo huwa hawaweki mahusiano yao wazi na mara nyingi sana huwa mahusiano yao hayadumu

naomba wadau mnisaidie sana maana masuper star ni kioo cha jamii tunajifunza nini kwenye hizi tabia na wakati sisi tunawapenda

wasaalam
Hilda

UCHUMI SUPER MARKET YOUR HOME OF VALUE

lle promotion iliokuwa inaendelea from 1-31 dec, sherekea xmass na uchumi sasa imekwisha.

tarehe 7 ndio grand draw,  na grand prize the living room make over,wanakuja kwako wanabadilisha sofa,coffe table,dining table,tv plasma from samsung,carpet,tv stand,painting your house  hii ni kwa mshindi wa kwanza.

na kuna small small prizes kwa wale washiriki wengine Laptop,Camera, nk

ni pale pale uchumi supermarket Quality centre muda ni saa nne za asubuhi mpaka saa saba mchana
karibuni nyote

UCHUMI SUPERMARKET YOUR HOME OF VALUE
Habari  za  leo  PS. Naomba  unisaidie  kuwajulisha  wateja  wangu  juu  ya  mabadiliko  ya  ofisi  yetu  ya  kazi. Natanguliza  shukurani  zangu  za  dhati  kwako..
TAARIFA  MUHIMU  KWA  WATEJA  WETU  WA  DAWA  YA   KUKATA  TUMBO ( KITAMBI )  WALIOPO  JIJINI  DAR  ES  SALAAM

NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOOD  CLINIC , WAUZAJI  WA  DAWA   SAFI  YA  ASILI  YA  KUKATA  TUMBO,  TUNAPENDA  KUWATAARIFU  WATEJA  WETU  WAPENDWA  KUWA  KWA  SASA TUMESOGEZA  HUDUMA  YETU  KARIBU  ZAIDI  NA  WATEJA  WETU  KWANI  KUANZIA  TAREHE  27/12/2011 . TUNAPATIKANA  KATIKA  HOTELI  YA  ROMBO  GREEN  VIEW  HOTEL  ILIYOPO  KATIKA  ENEO  LA  SHEKILANGO. SIKU  ZA  KAZI  NI  JUMATATU  HADI  JUMAOSI  KUANZIA  SAA  MBILI  KAMILI  ZA  ASUBUHI  HADI  HADI  SAA   MBILI  KAMILI  ZA  USIKU.

SINTALICIOUS'S UJUMBE KWA WADAU WAKE

dear wadau wa Ps na wale mnaochungulia chungulia,nimekuwa nikipata msg nyingi sana za tuhuma kwamba all of these chicks are my friends na ninafanyaje kama wana beef
ladies &gentlemen here i go,hawa watu wako katika industry moja,na sijui na wala sitaki kujua walichogombania ,mimi wakiniita ktk their birthday naenda napiga picha na nondoka,na siwezi kugombana na mmoja wao maana siku wakipatana nitaweka wapi uso wangu,,siwezi kuingilia shughuli ambayo hainihusu, mnasema ooh jlo hivi eti unafiki labda nyie coz mimi ni niko kibiashara zaidi,mambo yao hayanihusu kabisa na nitaongea na kila mmoja wapo akinhitaji ila they are not my close friends.
i have got many galfriends but only 4 close friends who know me better

so wewe usiejua,jua hilo chachaa


                                                           hakunaga kama mimi

MSG YA MANGE KWA WADAU WA U TURN NA PS BLOG

HI
  jlo-tz
      wape hii kwa wale wanaokuchukia
HAHAHAHAHA NIMECOPY NA KUPASTE HII KITU KUTOKA KWENYE BLOG YA UTURNS AND AM SO HAPPY WITH THIS

Penny,Wema and JLO tz....chezea...

Alafu guys, sina beef na JLO,

SHE IS MY GIR, Nimemjua siku nyingi mnooooo

so acheni kutengeneza story...

Mie nikiwa na beef na mtu wala hakuna shida ya kuanza kukisia maana ntamuweka humu mnisaidie kumchambua kama karanga...hahaha

Pia acheni kumsema JLO, kila mtu ana uhuru wa kublog anavyotaka yeye

kama hupendi alivyo usiingie kwenye blog yake.

otherwise naombeni muache kuleta humu comments za kumshushua

msijeniletea balaa na JLO bure...



YAN WAMBEA WATAJIBEBA WALE WANAOPENDA KUTENGENEZEA WATU MABIFU
BY
JULIANA DEUS


Ninamjua Mange tangu na tangu,tumelala hostel mabibo sana,ndo maana mnapopeleka maneno ana wachora maana ni my gal sasa na ananijua vizuri kwamba mimi si mtu wa ma beef ni mtu wa kukwambia live na nasepa
sasa peleka umbea wako katika blog nyingine huku huwezi kumsema mama Bhokenzo na kule hamuwezi kumsema j wake lo
iloo,mmeshushukaje loo,muniwache, muniwache na Mange wangu,najua wewe kimbelembele unayepeleka maneno kule  unanipenda sana na unatamani kuwa kama mimi no wonder unanipiga vita, just come and ask how i penetrated na sio kukaa na kuponda ujinga

jlo na Mange  ni one love forever

RED RIBBON FASHIONS GALA 2011 AT DOUBLE TREE HILTON

jlo na Martin
toto za prezidaaa ziliwasili

wifi yangu Alma
jacky jacky
faraja
mo na ps blogs
mwenye shughuli
J na crew yake
warembo wa mujinii
mc na jlo
jlo na Flavvy
familia ya Mzirai iliweka pose
meza yangu ndio hii
vijana wakiingia kibawizoo
wifi yangu mie huyu
a moment of silence
                               meza yangu na members


congratulations sisy Khadija,mim penda wewe sana,una moyo wa upendo mpaka ukafanya hii fundraising,Mungu amekubariki na huo moyo na atakubariki na mengine love,we had fun,tuombe Mungu tufike next year for another one lol(Inshallah)

SINTAH''S WORDS-JUDGE ON HOW NOT ONE FALLS ,BUT HOW SHE RISES

I believe in God the father almight,the creator of heaven and earth,
kila kitu kinawezekana im so happy Jacky's book is out na nimechangia sana 4 pages sio mchezo

I BEG TO DIFFER IS OUT,GET YOUR COPY NOW

DONT 4GET SINTAH'S  TSHIRTS ARE OUT  MOJA INAUZWA 10,000

MBELE INA PICHA YA SINTAH

NYUMA IMEANDIKWA JLO

BOOK NOW

mmechonga sana na jua mtachonga lakini nani zaidi ya Mungu wangu endeleeni kuongea wakati mwenzenu napiga hatua tarehe 5 dec ndani ya SA,tarehe 10th  ndani ya UN base in Entebbe inaitwa aluta continua

Dar nakuja karibuni
on sat ninaharusi ya Adeline Mlimani city at the same time sauda's first meeting wauuuu cant wait


jlo words from Adiss Ababa Ethiopia
jana alikula dinner na UN deputy Secretary Sheraton hotel Adiss'

sihitaji kuongea mengi zaidi ila watu wa karibu wanajua sana kuhusu mimi ndio maana wamekaa kimya


lol mimi miss u so much my wadau nimetuma hii msg kwa my IT guys ila kuanzia jumapili mtakuwa nami
stick around kuona jacky's bridal shower nimeasahau my cable,hata mkanda jamani maana nimekuja kikazi zaidi so came wit one jean ,nimekuja na nguo za kiheshima tu,nimenunua mkanda Duty free maana napita VIP mtanunaje lol
this is just the begining,mengi yanakujaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


IT dept on behalf of jlo Via phone

ABYSSINIA BEAUTY AND SPA NI SEHEMU YA KUTENGENEZA NYWELE ZAKO






Ladies and G hahaaaaa ni sehemu ya utulivu unapata VVIP treatment kama sisi hapa(mimi,jokate,c pwa)kwakweli wanaweza
Ateka is a lady can be trusted in beauty
kuanzia sasa mimi nikitoka nywele zangu atanifanyia yeye na utapenda ukiniona

she is located at Mbalamwezi beach
cell no 0652 593967
ni amini mimi
Hakunaga kama Ateka Dar
mark my words

TANZANIA,DAR ES SALAAM MKO TAYARI,SIKIA HII MAANA SI YA KUKOSA

huwa inafanyika mara moja tuu kwa mwaka na ni siku ile ya kilele cha ukimwi duniani,sasa basi mahala ni pale pale sehemu ya waastarabu double tree hilton masaki
PS blogspot imepata bahati ya kupata executive table,unataka ku join katika hio meza?ikiwa kama wewe ni mdau wa hii blog na unataka kukaa meza moja na jlo bongo wala usipate shida
just call me on 0652 112071 utanipata mimi direct
mchango ni laki moja tu na ninatoa nafasi 7 za upendeleo kwa wadau tukae pamoja tujumuike
naanza kupokea hela kuanzia leo mpaka tarehe 15th november
kumbuka hii ni executive table
vazi ni kiwalo cha red anza kutafuta basii

TANZANIA RED  RIBBON FASHION GULA

100,000THS Double Tree Hilton 1-12-2011

                                            jlo bongo

VOTE VOTE VOTE FOR JOKATE SWAHILI FASHION WEEK BEST STYLISH PERSONALITY



This is my gal vote her, was nominated by swahili fashion week kuwania  the best stylish personality
please vote her as you know  got different swaggazzzz

MIAKA 5 YA UKWEEH KWA 8020






hivi ni baadhi ya vifurushi tulivyoondoka navyo




leo sitoelezea picha acha zijielezee,uliyekosa pole maana begi langu lilijaa zawadi mpaka na nyingine nitampa hubby lol

ni hivi nimemfahamu shamim 6 years ago akiwa pale dar hotwire
she is lovely and caring person im so happy for her
nashukuru sana nilipoanza blog alikuwa ni mtu wa kwanza kunipa link inaonyesha anapenda mafanikio ya wenzie no wonder anafanikiwa
shamim nilimpigia simu saa kumi na moja siku ya BD yangu alikuja haraka sana inaonyesha kwajinsi gani anapenda kazi yake
sina mengi bali nasema thx for all uliyonifanyia and may the good Lord protect you from evils
Amen