DEAR SINTAH
NATUMAINI UMZIMA,MIMI NI DADA NINAYEISHI KAMPALA NAPENDA KUWAMBIA WANAWAKE WENZANGU
KUWA SI WATU WEUPE WOTE NI MATAJIRI
NI MKASA ULIENITOKEA WIKI ILIYOPITA NA KUTAPELIWA NA MZUNGU AKIJIDAI AMETOKA EUROPE
NA AMEKUJA KUFANYA BIASHARA YA MADINI AKANIFANYA NIINGIE KICHWA KICHWA NA MATOKEO
YAKE NIKAINGIA KUKOPA MIL 5 NA KUMPA BILA KUSITA,KWAKWELI HICHO KITU KIMENIUMA
MAANA HIZO HELA NIMEKOPA BANK
JAMANI WASICHANA,WANAUME JIHADHARINI NA HAWA WATU WENYE RANGI HII NYEUPE SIO WOTE
WANA HELA WENGINE WANMETABIKA SANA KULE NDO MAANA WANAKUJA KUTAPELI HUKU AFRICA
NIMEPENDA SANA HII BLOG MAANA NI YA KIJAMII NDO MAANA NIMEAMUA KUIRUSHA HUKU SAMAHANI USIIBANIE DADA.
NI MIMI MTZ NIISHIE UGANDA
DK
3 comments:
imekutokea wewe unajifanya imemtokea mtu hebu tupishe hapa
pole sana dada kwa matatizo yaliyokukuta
jamani huyu dada kasena yamemkuta yeye na wala si mtu mwingine,mbona husomi mwanamke ukaelewa?unaharaka kama unaoga njia panda,hebu acha papara,HUNA JEMA WEWE KAZI LAWAMA TUU......TUMEKUCHOKA BWANA.
MY SISTER POLE SANA FOR WHAT HASS HAPPENDED ON UR WAY.TAKE IT AS A CHALLENGE.TRY TO LISTEN TO SOME RADIO/NEWS THESE THINGS ARE OUT THERE.
Post a Comment