jamani PS wewe ni mzuri sana na nyota yako kamwe haishuki na hakuna atakeyeishusha atakayejaribu alaaniwe yaani hata kama ukiamua kurudi katika game ona hizo movie zitakazogombaniwa in short keep it up Mungu akutangulie
mmependeza sana ila nashangaa ina mana nyie maisha yenu siku hizi ni kukaa bar na kunywa sintah unamuaribu uyo dogo jamani yani woote mmevund akwa mikorogo...
Sintah says mdau wa june 21 nasikitika sana kusema kuwa umefanya hii blog ya kuwa ya kiswahili kukaa bar na kula kuna tatizo?na hio mikorogo unayoisema njoo nawe upake kama unaihitaji jamani mikorogo mikorogo nani wa kupaka mikorogo kuwa muangalifu unapo comment na huyo dogo unayemsema anakushinda hata wewe uliyekuwepo hapo ulizia profile yake ndo ujue LMAO
kwakweli PS acha hata kumjibu mimi niliwaona RG mmekula na kuondoka tena ugali na makange achana nao uwache kwenda kula kwa kumuogopa mtu??achana nao chuki binafsi na hazijengi kama unataka kuwa kama yeye basi utakuwa tuu jamani sio kuandika na kutoa maneno machafu ndio hata kama anatumia au hatumii sasa inakuhusu nini?
guls you all rock jamani....some guls do wish kuwa kama nyie...lakini hawajui pakuanzia.,halafu huyo mnayemuita dogo kama namjua si anaitwa Ida? amemaliza University of Daresalam huyo au namfananisha?... napenda sana company yenu natamani niungane na nyie, achanneni na hao wenye vijiba vya roho.
10 comments:
jamani PS wewe ni mzuri sana na nyota yako kamwe haishuki na hakuna atakeyeishusha atakayejaribu alaaniwe
yaani hata kama ukiamua kurudi katika game ona hizo movie zitakazogombaniwa
in short keep it up Mungu akutangulie
mmmh Saada unatumia nini mbona umepungua?
you look nice sadaah
mmependeza sana ila nashangaa ina mana nyie maisha yenu siku hizi ni kukaa bar na kunywa sintah unamuaribu uyo dogo jamani yani woote mmevund akwa mikorogo...
Sintah says
mdau wa june 21
nasikitika sana kusema kuwa umefanya hii blog ya kuwa ya kiswahili kukaa bar na kula kuna tatizo?na hio mikorogo unayoisema njoo nawe upake kama unaihitaji jamani mikorogo mikorogo nani wa kupaka mikorogo
kuwa muangalifu unapo comment na huyo dogo unayemsema anakushinda hata wewe uliyekuwepo hapo ulizia profile yake ndo ujue LMAO
kwakweli PS acha hata kumjibu mimi niliwaona RG mmekula na kuondoka tena ugali na makange achana nao uwache kwenda kula kwa kumuogopa mtu??achana nao chuki binafsi na hazijengi
kama unataka kuwa kama yeye basi utakuwa tuu jamani sio kuandika na kutoa maneno machafu ndio hata kama anatumia au hatumii sasa inakuhusu nini?
eeeeeem jamani wacheni watu wale kwa raha zenu
guls you all rock jamani....some guls do wish kuwa kama nyie...lakini hawajui pakuanzia.,halafu huyo mnayemuita dogo kama namjua si anaitwa Ida? amemaliza University of Daresalam huyo au namfananisha?... napenda sana company yenu natamani niungane na nyie, achanneni na hao wenye vijiba vya roho.
can i have Idas number? Ps? i saw all of you at RG, i like Ida, please PS give me her number.
yes ni Ida huyo aliyemaliza UD pia ni mdogo wangu mimi
SINTAH
Huyo mdogo wako anadharau sana watu wa promotion uchumi meneja anamgingaje basi kinariiiinga aache zarau manina zake
Post a Comment