Jackie P na Aunt
Jackie P
UUUWI NI KILIO KIKUBWA PALE DOM
TIMU YA BONGO MOVIE ILICHAKAZWA MBAYA NA TIMU YA WAHESHIMIWA
NILIPOPIGIWA SIMU KWA KWELI NILIPATA MAJONZI SANA COZ NI TIMU YANGU
ILA TUMEKUBALI YOTE MAANA ASIEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI
WELCOME TO DAR(TODAY)WE MISSED YOU
SINTAH
1 comment:
hawa walienda kuuza K jamani mmh Dar kuna mambo sasa hawa wakacheze na wabunge uuwi
Post a Comment