Dada PS
Mimi ni mdau wa hii blog napenda kukwauliza wadau wenzangu ni nini hasa kinawafanya wanawapa
wasichana wa kazi nguo zao za ndani? mfano chupi?na hata za mumewe jamani wakina dada hata kama
ni wasichana wa ndani tuwe binaadamu jamani sis wakina mama tuwe tunafanya mambo kama ya
kufua chupi zetu,na za waume zetu
ni wazo tuu wapenzi
Naomba tulijadili hili jamani wenzangu
mdau
1 comment:
jamani ni vibaya sana kumpa housegirl chupi za mume afue kama mama mwenye nyumba hawezi kufua naona mume afue tu mwenyewe...
Post a Comment