Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MAMBO YALIKUWA MAMBO GOLDEN TULIP, MISS DAR CITY CENTER

Mc katoka chicha na FK collection
Lundenga n Sintah

Nothing but Confidence na Lundenga
walifungua na dance
kumbe  my hips dont lie lol
Mc's Miss Dar city center
fellow blogger unafanya kazi ki boss
Chief judge
Rachel afadhali umeturudishia viuno
Top 5
Diamond akiwapagawisha mashabiki wake
Miss Tanzania
Beni una mambo eti crew

 nilikaa stand by kuokota kiuno cha Alexia


Top 3
nilikumbuka nyimbo ya Jide machoz ya furaha
Unstoppable n Dozen
mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe


SINTAH -FK collection-BARAKA PLAZA 
HAIR STYLE&Make up  - DIDIE 
B DOZEN-BORN TO SHINE-MWENGE

62 comments:

Anonymous said...

blonde si mwake, hilo liwigi vua halikupendezi kabsaaaaaaa bi kifurumbwidu

Anonymous said...

Pendeja beautiful onyinye. Asante kwa usikivu wa quality za picha.

Anonymous said...

umependeza sana lkn hiyo nywele sijapenda texture yake..imekufanya uonekane umedidimia!
umetokelezea still lakn..worry not

Anonymous said...

huyo miss tanzania kavaa nn tena?kaaa..she looks cheap!dayyyyyymmm

Anonymous said...

leo umetoka bomba maana siku zingine huwa unatoka umevimba vimba kama umevimbiwa ARV'S, ila picha ya mwisho umekaa kama umepaliwa mkorogo

Anonymous said...

Hizo nywele zmekufanya uonekane mzee. tafadhali kazitoe hazijakupendeza hata kidogo

Anonymous said...

Sura yako pana kwenye hili wigi sijui wiving boraulitoe. Nakueleza ukweli nawe jiangaliage kabala haujaenda mahali. Leo haujapendeza hata kidogo nguo iko poa ila kichwani kama bi mzee

Anonymous said...

Nguo nzuri, kichwani big nooooooooooooooo. mtu hakuangalii mara mbili

Anonymous said...

kwakweli hlo wigi ,hapana.

Anonymous said...

Kama kawaida yako hadi mbele za watu umefunga miguu??!!! Dah ili janmke sijui likoje au mganga wako ndo alvokudanganya uwe unafunga miguu? Au ndo unaficha ukomavu wa magoti kalolaiti imegoma?

Anonymous said...

Wewe Sinta ni mzuri ila wanaokutengeneza wanakunanga, hiyo picha ya mwisho unafanana kama ngedere

Anonymous said...

ki ukweli ulitoka chicha mbaya sinta, nothing but confidence tafuta stail nyingine ya miguu sio kila picha lazima upishanishe, nn maana ya confidence? mi naona itakuwa nothing conficence, jiamini bwana zingatia ushauri, ni hilo tu other wise u look mwaaaaaaaaaa!

Anonymous said...

we kifurubwido, hips dont lie, ndio hips gani hizo??? ulimjua marehemu salome makani?? zile ndio hips banaaaaaaaaa, uwiiiii yule dada am speechless, ardhi inameza vitu si mchezo, alikuwa anavaa skirt ya forodhani na hips zinatoka!! rip salome! we sintah ni wa kawaida sana, acha show off za bila mpango!

Anonymous said...

LOPE LOPE UR ALWAYS SO CUTE, ALL DAY EVERYDAY, KEEP IT UP THE GOOD LOOK AND THE CONFIDENCE AS WELL. MUCH SHOUT OUTS FROM CHERAS MALAYSIA KL

Anonymous said...

nimependa gauni zuri snaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

chale mtawale hazeeki!kweli hela kitu kizuri..malaya mjipange sio mmeniskia namsifia ndio muanze kumsumbua na mapapa yenu ya for sale..atawakopa mpaka mtumbukie chini kama siafu..heee

Anonymous said...

ha ha ha ha haloooooooooooooooooooooooooooooooooooo ya mti wenye matunda ha ha ha ha ha teh teh teht shika mooo bibi

Anonymous said...

Hongera ulipendeza hasa gauni lako

Anonymous said...

gauni na viatuz n vizur na vilikupendeza sana ila hiyo blonde kwako haijakaa sawa kabisa na hiyo rangi umeonekana kama kinyago vile vya dukan wanavyowekeaga nguo for sale....,

Anonymous said...

HahhahhhAahh! Kiukweli wigi alijakupendeza dada yangu kiloho safi!tunajua ujali lakini kwa hili zingatia umekuwa kama kangedere!

Anonymous said...

umependeza ila hilo wigi kwakweli halijakupendeza usilivae tena!

Anonymous said...

kiukweli kila mtu na upendo wake mwachachague staili anayopenda mwenyewe mwawashwa nii kila saa sintah sintah si mtoke humu

Anonymous said...

Jamni nakupa Big No hujapendeza, nywele kama mfu aliyefufuka, mkorogo kama wa Sauda Mwilima, nimeanza siku kwa kucheka, ahsante kwa kunichekesha.

Anonymous said...

SH0STI MBONA UKUVALISHWA NA KIDOTI AU NDIO KWISHINEYE

Anonymous said...

hahahaha hujapendeza kabisaaaa..wigi ka bi cheka.. Ulichekesha umati tu hapo kifurubwido inaeleka Wema wangu alikua hana mbavu maan we bi joti ndo ulikua mbele yao..buhahahahaha pole maa maybe next time!

Anonymous said...

Umependeza ila acha mkorogo basi yani unafanana kama MNENGUAJI WA KOFFI OLOMIDE. Na hilo wig la blonde ndiyo kwishakwisha...!! Na huyo mc mwenzio jamani mavazi gani hayo siangevaa tu shati na traouzer nzuri uatadhani hakujua kama atakuwa mc.

Anonymous said...

SHOSTI MBONA HAUJATUJULISHA MAMBO YOTE ESPECIALL TO THE PART OF WEMA JAMANI HAUKUMPIGA HATA PICHA MOJA AU NI GUBU??????????
VIPI PERFORMANCE YA DIAMOND NA MASHABIKI? SHOSTITO WEMA HAKWENDA AU EBU TUHABARISHE BASI LOL!!!!!!

Anonymous said...

VIPI JOKATE HAKWENDA KUMSINDIKIZA MR???????

Anonymous said...

nyie mnao mponda Sinta hamna lolote ni wivu tu, mtu unatakiwa ubadilike badilike bwana sio kila siku vile vile,ndo maanna akaamuwa kutupia hivyo kama hampendi basii!!!

Anonymous said...

hee heeee wapi bebi ya Nduli....

Anonymous said...

Eti mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe una matunda gani wewe hadi upigwe mawe,mti wa mchongoma toka lini ukapigwa mawe?

Anonymous said...

Nywele siumetengeneza kwa Joyce wewe mbona hata hujamrusha muangalie kwanza sifa tu

mndele said...

mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kapendeza haswa,wenye wivu mjitundike

Anonymous said...

HUYO MC MWANAUME SURUALI KUVALIA KWENYE MAGOTI NDIO NINI? Yaani hajui kama hiyo ni formal event alitakiwa atoke more formal? Hapo anaonekana kama yuko tu barabarani wala hajapendeza muwe mnaangalia basi Ma MC kwenye shughuli kama hizi wanavaaje, mnavyomuonaga Taji Liundi hamjifunzi kwake?

Aibu halafu nguo hiyo hiyo moja mwanzo wa shughuli mpaka mwisho!!

Anonymous said...

duh kweli nimeamini humpendi wema, yani hata kumuweka hata picha moja. Acha bifu dada mwenzenu yuko juu tu hata usipomuweka kwenye blog yako chafu

Anonymous said...

unge dumisha urafiki na uzalendo kwa kuvaa KIKOVU COLLECTION,ila hata FK nae hayuko nyuma kwa pamba

Anonymous said...

Sinta kwanini umemkata wema hapo kwenye picha ya gadna? Khaa...nilikuwepo ; umeniboa ulivokuwa unamwangalia wema wakati anauliza maswali mamiss.wadau,wema alikuwa moja ya majaji.alipendeza sana tena.tulimshangilia mno na watu walipiga kelele asimame apande jukwaani wakati was maswali.wema rocks , I love her ....sinta stop hatred it does not pay at all...your such an hypocrite .....

Anonymous said...

We unaesema kapendeza utakuwa malaya jokate,mpake tu mafuta kwa mgongo wa chupa ili next time achemshe zaidi kwikwikwi bora upewe ukweli wako hujapendeza wigi kama sanamu za display

Anonymous said...

Hujapendeza....that hair mweeeh!!! Pls pls...uglyyyyyy

shongololo said...

Umependeza mno hiyo dress na viatu umetoka chudaa. Ila kichwani badilisha hiyo inakupunguzia viwango ulivyo navyo.
Una bahati sinta una sura ya kitoto sura yako haizeeki. yaani hata mbele ya ukumbi umesimama ile dizain ya mkasi? We ni mzuri acha kuweka miguu dizain hiyo bwana.

Anonymous said...

gaun liko ok ila kichwan km fuu la naz.huyo mic nadhan samthn z wrng wth her mouth.nadhan mdomo ni mkubwa mno,kwaiyo hao majaj ndo waliishia hapo?lol my poor miss

Anonymous said...

Aliyekwambia hampendi wema ni nani laiti ungejua ushoga unafiki ndio wema hautaki kampiga stop kuekas pic zake kwenye blog ya unafki sintah ana hamu amueke wema ila ndio kapigwa stop

Anonymous said...

we sintah kwel mnafki eti diamond akipagawisha mashabiki mbona huonyeshi alivyokuwa akimwimbia wema yan ukiandikiwa yes ni yes tu hta mfanyeje na hyo kifurubido mwenzio wema ana damu ya kupendwa mtakufa kijeruman na tai shingon kwa wivu

Anonymous said...

mbona hujaeleza jinsi umati ulivyomshangilia WEMA, nilichekejeee, nikaona ukawa mduchu kama piritoni, ulidhani aliposema nampenda mpenda watu watasema KIDOTI, ha ha ha ha, ukumbi ulilipuka WEMA mwanzo mwisho LOL, AIBU KWENU NA KIDOTI WAKO.

Anonymous said...

nilikuwa cjamuona ben kapendeza bora angechukua hyo nafas ya mc atleast mana hyo mc mlomuweka afaa kwenye school bush sio kwenye event kma hz

Anonymous said...

Ungekuwa kweli nothing but confidence ungeweka comment zooote.... Mbona nyingine unabana? Wiiiiiiiiiiiiivuuuuuuuuu mnamuonea Wema wewe na Kidoti wako! Wema mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii sana na kawazidi KILA KITU! Matako yenu weewe na Kidoti wako muiba waume za watu! mmmmmfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

hv kwann mnamlaumu sinta huyo diamond kumpenda kidoti? km wamependana wenyewe yy sinta mnataka afanye nn jamaniiii me naona afadhali wema alivoachana na diamond hawaendani afadhali hata na kidoti SO MPUMZISHENI SINTA WETU KHAA.

Anonymous said...

SASA KM HAMUMUONEI WIVU PRETTY KWA NN MNAMTUKANA? HII N BLOG YAKE MWACHENI AFANYE ANAVYOTAKA HAJAWAULIZA KM HYO HAIR DO KAPENDEZA AU LA!! NYIE NA VIHEREHERE VYENU KUCOMMENT TU HAJAPENDEZA UTADHANI MMEULIZWA.

Anonymous said...

ivi kidoti haoni tabu watu wanavyotaka wema awe na diamond?kamekaa kama kachawi..mfyuuuuuuuuu
na akae akijua society haito msupport milele amuulize chamellion huko wingereza..alimuibia princess Diana mpaka leo watu wanamuita nyau..mpaka kafanana kweli na nyau..sasa huyu kidoti tunamuita panya maana sura yake haina tofuti na panya mfyuuuuuuuuu mpaka kwenye chupi lako jokate

Anonymous said...

gauni ni zuri ila umechemka kwenye nywele

Anonymous said...

ulipendeza Sinta.I like that dress.
But miss Tz wetu sijaelewa style ya nguo aliyovaa hadi anashindwa kukaa kwa amani

Anonymous said...

mh mume yupi?huyo boyfriend ndio unamuita mume?? kidoti hajaiba mtu... he was single for mingle

Anonymous said...

Wanaokutetea wanataka uwasage nini twin luiza,tusifie hata hajapendeza,mnawashwa nyie

malika said...

umependeza mdada gown na kiatu umetisha bt nywele no mami haijakutoa labda ungeweka hiyo style na nywele nyeuc.. afu huyo mc wa kiume kavaa kitoto xana, mavaz yake hajaendana na event

malika said...

umependeza mdada gown na kiatu umetisha bt nywele no mami haijakutoa labda ungeweka hiyo style na nywele nyeuc.. afu huyo mc wa kiume kavaa kitoto xana, mavaz yake hajaendana na event

Anonymous said...

chale mtawale bahili sana,bingwa wa kudhulumu watu,anapenda wanawake wake wenye pesa,hajui mapenzi,kazi kutembea na wake za watu mjini, kuwajaza wake za watu mimba,kitandani mapenzi zeroo yaani yeye na kinje sawa sawa mboo zaoo ndogoo mnooo....

Anonymous said...

WHY UNABANIA COMMENTS??????WEMA ROCKS NO MATTER WHAT!!!

Anonymous said...

Hiyo outfit ya B12 doesnt fit the occassion!

Anonymous said...

mihiyo gauni imenimaliza umependeza kwakweli!ngoja nami nianze kuzichanga nikalitafute beautful!!

Anonymous said...

huyo jamaa aliyepiga picha na charles mtawali si tajiri OBETO?

Anonymous said...

hata mfanyaje wema kama chadema ana nguvu ya uma(people'z power) alifunikaje kwnye event hahahhaaaaaaa mtangoja sana kwa wema.

Anonymous said...

sinta angalia kuna mtu anatuma msg akitumia no 0716467100-amejiandikisha kwa jna abdul Hassan
na0656405677-abdulahmad mgeni ni mtu mmoja anataka kukual;ibia blog yako kuwa mwangalifu.tunammonita anazima simu na kuwasha.