Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MIAKA 5 TANGU KIFO CHA MY BFF

She lives in me


Duuuu kweli siku zinaenda  kama maji huwezi amini eti miaka 5 inakaribia kufika pale tarehe 26-06-2012,daaah ,tutakuwa na kumbukumbu na kisomo nyumbani kwao kuhitimisha miaka mitano.
kimwili hatupo nawe ila tutaendelea kukumbuka daima.


your lovely friends
 

15 comments:

kay said...

tutende mema na kumkumbuka muumba wetu binadam,leo tupo tunaangalia huyu kafanya nini,ana mjengo gani,gari gani,kavaa nini na mengi tu,hatukumbuki mwisho wetu binadam.

RUKY said...

MOLA AMPUMZISHE PEMA PEPONI...NJIA YA SOTE KIKUBWA PAMOJA NA YOTE TUSIMSAHAU MOLA WETU

Anonymous said...

Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun

Anonymous said...

mungu amuweke mahali pema peponi Ameen.

Anonymous said...

Inna lillah wa inna ilayhi rajiun

Anonymous said...

Inna lilahi wainna illahi raajiun, Nilikupenda sn lkn mungu kakupenda zaidi.

Anonymous said...

amina rip, tangulia! mimi,sinta, kikovu, jack, mama yutani, beachbabe, na mulika mwizi uwoya, NA WOTEEEEEEE WANAOCOMENT HUMU TUPO NYUMA YAKO DADA! MUNGU MWEMA AIWEKE ROHO YAKO PEMA PEPONI, AMEN!

Anonymous said...

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Anonymous said...

JAMANI JAMANI WALIMWENGU MNA KAZI MIMI NAPITA TU WEWE ULIYE TOA COMMENT HAPO JUU UMWOGOPI HATA MUNGU

Anonymous said...

Zitto kabwe atakuja?

Anonymous said...

RIP Amina Chifupa. Mungu akuweke mahali pema peponi.

Anonymous said...

mungu akupumzishe kwa amani dada mpiganaji, mwana harakati wewe ndio ulikuwa changamoto mpaka leo kwa wa dada wengi kujielewa, rest in peace dear tunakuombea kwa mungu always. ni njia yote sote, sisi sote ni wake allah na kwake tutarejea. kikubwa tufanye yalio mema. aamin rabil aaramin. mungu atupe mwisho mwema.

Anonymous said...

Rest in peace amina

kay said...

nje ya picha,sinta mbona hujatuwekea picha za ulivyokuwa mc miss dar,tubwagie bibie

Anonymous said...

unapitwa mama rahmanino..mji umekua na pirika huu..kila mmoja anatufata riziki kwa uwezo wake huku..kama ujionee!watu wananyang'anyana mabwana kama hawana akili vizuri..umalaya ndio umalaya..zito yu mzima chama chao kimepamaba moto..yani ni mengi sitomaliza kuadithia..kanumba atakumalizia!
RIP