nimecheka hiyo uliyosema huna habariii..wasikutie pressure mtu wangu. wewe mbona uko safi tu!kuna watu wametukanwa humo mjini we jwake lo usijitie hujui ..heeeee
sinta model wangu nakupenda sana tena sana na lkn unaniudhi kitu kimoja tu kupindisha hiyo miguu kuhusu weaving bhana lazima uonekane tofauti cyo kila cku tukuone na black weaving manywele marefu good wasemao acha waseme umependeza sana bt make sure ukipiga picha usipindishe miguu mm nakupenda sana my dear u luk so mwaaaaaaah!
kuna picha haujapindisha miguu leo mara ya kwanza na umependeza sana.. ckuvutiwa na hizo nywele kwako bt baada ya hizi picha nahic kama zimekupendesa kwa sasa bt cna hakika na rangi
wewe mwanamke una matatizo gani?????????????? hiyo confidence unayoimba kila kuKicha >>>NOTHING BUT CONFIDENCE.... Bona hatuioni katika pozi za picha. unaminya miguu. so far tunajua una miguu mibaya. there is no need to hide any more. come ooooooooooooom be yourself. SHOW US WHAT YOU GOT
20 comments:
mfyuuuuuu kidoti anashona?!na bado..mwambie ashonee na hogo la diamond moja.
nimecheka hiyo uliyosema huna habariii..wasikutie pressure mtu wangu. wewe mbona uko safi tu!kuna watu wametukanwa humo mjini we jwake lo usijitie hujui ..heeeee
kikovu yupo sintah?? atakuwa kabakuliwaje sasa na hasheem?? mmhh pole yenu!
You look sexy, na una miguu mizuri sana kumbe unatubaniaga kuona hiyo miguu.
ki ukweli umependeza, ila miguu kupishanisha sijui utaacha lini. hivi ww sijui uambiweje ili usikie, utafikili unakilema kwenye miguu
kupendeza umependeza ile hiyo blonde haikufai ona wenzako walivyopendeza. Mbona unapendezaga sana sasa hivi mshauri wako nani?????
Iraonyeshwa lini tuicheki
gauni limekupendeza sana sintah but hairdo nehi, imekufunika sana usoni mpaka tukuchungulie ndo tunakuona, na imekufanya uso uonekane umevimba....!!!
MIGUU,MIGUU, MIGUU JAMANI MBONA PINDISHA PINDISHA MIGUU WEWE HICHO TU NDIO KINAKERA UWEZI KUSIMAMA BILA PINDISHA MIGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! MSG SENT
MIGUU,MIGUU, MIGUU JAMANI MBONA PINDISHA PINDISHA MIGUU WEWE HICHO TU NDIO KINAKERA UWEZI KUSIMAMA BILA PINDISHA MIGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! MSG SENT
sinta model wangu nakupenda sana tena sana na lkn unaniudhi kitu kimoja tu kupindisha hiyo miguu kuhusu weaving bhana lazima uonekane tofauti cyo kila cku tukuone na black weaving manywele marefu good wasemao acha waseme umependeza sana bt make sure ukipiga picha usipindishe miguu mm nakupenda sana my dear u luk so mwaaaaaaah!
jmani Sinta you look nice nimependa hiyo nguo, taipatajee?
kuna picha haujapindisha miguu leo mara ya kwanza na umependeza sana.. ckuvutiwa na hizo nywele kwako bt baada ya hizi picha nahic kama zimekupendesa kwa sasa bt cna hakika na rangi
pumbavu wewe na vi miguu vyakoo
VIJITU VINGINE VINAPOST NA KUJISIFIA RUBISH
Zinta zinta zintaaaa
he! jamani wewe ulieandika Zinta hilo si jina lake anaitwa Prety Sintah,mtoto manshaalah!!!
HIVYO VIJIGUUUU VYA KUKU TENA UNAKILEMA WEWEW NDOO MAANA KILA SIKU PINDISHA WEWE
wewe mwanamke una matatizo gani?????????????? hiyo confidence unayoimba kila kuKicha >>>NOTHING BUT CONFIDENCE.... Bona hatuioni katika pozi za picha. unaminya miguu. so far tunajua una miguu mibaya. there is no need to hide any more. come ooooooooooooom be yourself. SHOW US WHAT YOU GOT
nguo imekukaa poa sana, hongera kidoti ila mwambie kidoti arudi kwny maisha yake ya mwanzo hata mm nilikua nampenda ila now hapana kwa kweli anachefua
Post a Comment