Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

VODACOM YAZINDUA VIFURUSHI VYA INTERNET VYA BEI NAFUU ZAIDI
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua vifurushi vipya vya intanet ambavyo vitawawezesha wateja wake kupata huduma ya internet kwa shilingi 250 tu kwa siku.
Sasa wateja wanaweza kuperuzi internet kwenye simu zao za mkononi, komputa na tablets kwa bei nafuu zaidi na spidi ya uhakika.
Nunua kifurushi chako sasa kwa kupiga *149*01# na changua Internet.
Wateja wa Vodacom wanaweza kununua vifurushi vy tofauti tofauti kulingana na mahitaji yao kuanzia cha siku, wiki hadi mwezi. Bei za vifurushi vya internet vinavyopatikana ni.
Kifurushi *
Bei
Muda wa matumizi (Siku)
UJAZO(MB)
Day 5MB
             Tsh 250
1
5
Day 25MB
             Tsh 450
1
25
Day 50MB
             Tsh 700
1
50
Week 125MB
          Tsh 2,500
7
125
Week 500MB
          Tsh 7,500
7
500
Unlimited7**
        Tsh 10,000
7
2048
50MB
          Tsh 2,000
30
50
500MB
          Tsh 8,000
30
500
1GB
        Tsh 15,000
30
1024
5GB
        Tsh 20,000
30
5120
Unlimited30**
        Tsh 30,000
30
3072
*Unaweza ukanunua kifurushi kwa kutumia SMS , tuma jina la kifurushi kwenda 15300. **Vifurushi visivyo na kikomo pia vinapatikana
Kuweza kujua makadirio ya matumizi yako ya internet tembelea www.vodacom.co.tz/datacalculator/index.html

No comments: