enzi hizo akiwa shule |
shoga yangu kipenzi yaani natokwa na machozi ninakumiss sana |
akitoa msaada daah yaani siamini ni miaka 5 |
mungu azilaze roho za marehemu Amina na mumewe |
Nawashukuru sana Mai Matha,Nargis,Sauda Mwilima,Sakina Lioka na Sintah kwa kipindi hichi ambacho tulikuwa kama wajumbe na kukaa karibu na familia ya mzee Chifupa na Rahman kulifanikisha hili.
Mungu ailaze roho ya marehemu rafiki yetu,kipenzi chetu,mbunge wetu,mwanaharakati,mtangazaji aliyenyakuwa vikombe vingi kwa uhodari wake.
26 comments:
Ukikumbuka ulikua ukimkopa hakudai sasa hivi mbinde?
Upumzike kwa amani Amina..you were too young to die..Kila nafsi itaonja mauti..tuijiandae maisha yetu baada ya kifo..mkumbuke kusali na kuacha roho kuntu,kusengenyana,uhuni ili mjiandalie makao siku parapanda ikilia
Shoga yako tangia enzi hizo alikuwa kaolewa na heshima juu we hadi leo huna hata wa kuku weka ndani tulizana na we ubahatishe nume la sivyo hata upate mtoto maana unaenda thelasini na uchafu ujishtukii unatakiwa uwe na familia sasa apumzike kwa amani amina
marehemu alianza ushankupe mapema mno,yan kama wewe!na wewe usipobadilika utamfata kiahisi rahisi hvyo hvyo tu.
R.I.P AMINA DAIMA TUTAKUKUMBUKA
RESTIN PEACE AMINA!
Hivi nyie mashankupe mtaacha lini kumsimanga sintah wangu si msifungue blog yake kwani ziko ngapi hapa TZ! nina wasiwasi either mmelogwa au mmetumwa malaya wa magomeni nyie
tangulia amina, mimi, sinta, kikovu, almasi, wezi wa waume za watu, na wanaokomenti humu ndani wote tupo nyuma yako twaja! rip amina!
r.i.p amina
hakuwahi kuiasi dini.............Mara nyingi alikuwa mpole mara chache alizoongea wote tulimgeuza shule
Nasaha za bure kama tupo class vile akatuasa kuhusu kuhusiana
Akatuonya kutoaminiana mtazamo wake na wa-mama Terry daima ulifanana
Hadithi ya maisha yake ilikuwa safi kama ya Nabii
Hakuna aliyeamini mwisho wa mshkaji utakuwa namna hii
‘Gawa sana condom na kufunza kama angaza
Vijarida vya Ukimwi ye’ndio alikuwa msambaza
Ina maana alikuwa anatoa bila vyake kubakiza
Ama amekuwa ufunuo mola anaonyesha miujiza
Tazama siku zinakata hatumuoni nini kasoro
Afya yake haieleweki eti imeanzisha mgogoro
Leo anadunda kesho mgonjwa na hataliacha godoro
Labda alifanya kwa siri hadharani hakuna shahidi
Labda alivumilia sana mwisho kuasi kukambidi
Hatujui! hatuwezi sema na bado tunashangaa
Vipi vipimo vinasoma mshkaji alikufa kwa ngoma
LAKINI ALIKUFA KWA NGOMA....RIP WANANDOA
yaaani huyu dada atakumbukwa daima, RIP.JEMBE.
yaaani huyu dada atakumbukwa daima, RIP.JEMBE.
Amina , atakumbukwa daima RIP jembe!!
R.I.P AC yaani nafasi yako haitazibika nilimpenda sana huyu mama ila Mungu alimpenda zaidi. Pumzika salama
HIVI WE SINTAH,NIMEAMINI WEWE NI MNAFIKI NAMBARI WANI,KAMA AMINA ANGEKUWA KWELI RAFIKI YAKO SIDHANI KAMA UNGETOA HILO SHAHIRI ALILOANDIKA ANONYMOUS JUNE 26,2012 9:59 AM.WEWE NI NYOKAAAAAAAAAAAA TENA LA MDIMU,UNAUMA HUKU NA HUKO,NAMSIKITIKIA MISSA BABY ULIYEMCHUKUA UDONGO.NAHISI HANA WAZAZI,NI WALEZI TU,YALE YALE YA LULU WA KANUMBA.MESSEGE SENT KIMYAAA.
Angekuwa hai mpaka leo ushoga wenu ungekuwa umevunjika
yaani wewe hufai kuwa na rafiki
myyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
RIP amina
mh hilo nalo neno.
NYIE BINADAM ACHENI SIMANGA MAREHEMU NYIE WENYEWE HAMJIJUI HUJAFA HUJAUMBIKA BORA YEYE AMESTIRIKA SIE HATUJUI HATMA YETU TAFADHALI MSIWE NA USHABIKI USIO KUA NA MAFAO.NYIE MKIANIKWA YENU HUM MHH BLOG ITAJZIMA YENYEWE KWA MAOVU YETU .TUWE NA BUSARA HATA MUNGU HAPENDI LOH
UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HII BLOG KOMESHA! ETI LAKINI ALIKUFA KWA NGOMA, RIP WANANDOA! WE MDAU HAPO JUU, MBAVU ZANGU WALLAH KHA! ee MUNGU UTUEPUSHE, UTUWEZESHE KUDUMU KATIKA KWELI YAKO!
jaman we binti kiboko matusi yote ukomi mi tu?
unaamua kbsa kuweka msg ya huyo mshenzi mwenzio eti ac alikufa kwa ngoma mlimpima?
eti ukimkumbuka walia!! si unafiki huo hata dini haipendi hivyo nyie mnajua mtakufa kwa lipi?
mmenikera...ovyooooo
Kubalini kataeni kifo cha Amina kina mafunzo makubwa sana kwetu. Marehemu Mungu amuweke mahala pema huko aliko aliamua kutoka na mume wa mtu wakati akiwa mwanafunzi (mtu husemwa kwa amali yake), sasa masikini alikuwa bado msichana mdogo hakujua kuwa hayo magumegume yaliyowashinda mitume hata akimuacha mkewe akakuoa wewe bado atakuwa macho juu tuu.
Baada ya kuwa na marehemu Amina, Meddy akaendeleza libeneke akampata Aisha Bui (sijui yupo nae); na marehemu Amina akaingia kwenye uwanja mchafu wa siasa. Jamani huko Dodoma hapafai kuna watu kibao tumeshawaaga. Tena mimi nina mdogo wangu sasa hivi anatumia dose, kigogo wake alishazikwa siku nyingi.
Na kumbu kumbu hii ya marehemu Amina iwe somo kwa wasichana wadogo, msimuamini mtu, baneni mapaja hayo, vitu mtavipata kwa pesa zenu. Na sie tulio ndani ya ndoa tusiwaamini waume zetu 100% eti unampa kavu kavu kisa uko ndani ya ndoa, jengeni mazoea ya kupima afya zenu, kama hataki kupima basi mwambie condom, lau hataki akafie mbele!!
Ammminnn
SInta and company inabidi mjifunze kuwa livumalo halidumu. Hakuna short cut ya maisha. Amina alijiingiza kwa Mpakanjia akajua amepatia kumbe amafupisha maisha yake. Pesa inatafutwa msitumie uanamke wenu kama mteremko wa maisha; maisha ya hivyo uwa mafupi saaana.
Take care mummy. (warning from a sister with good intention)
mbona hyo picha ya kwanza ni bungen hapo...
Sinta we mzimaaaa??
Mmh!ila dada amina alikua mzuri jamani!!!shukuru sintah ulikua kabaya na ndo kilichokuokoa ama la tungekuwa tunawaandika wote kwenye ma blog!!daah...Mgeni huyu balaaaaaaa!!
mmmh wadau humu ndani swali tu mana si kwamba tunayajua yote ya mjini hapa, hivi clouds walifanya chochote kwa ajili ya kumbukumbu ya Amina? then mbona katika kisomo hakuna watu wa clouds zaidi ya Sakina Loka au ye ndo alitumwa kama mwakilishi???au amina alifariki akiwa hayupo clouds so labda wabunge ndo walitakiwa kuwa wengi?/mmh nina maswali mengi mno na hawa watu, je wametumiaje blog zako katika kumbukumbu ya mwenzao....kwa dina at least kuna post vipi wengine anyway labda ni mimi tu nime expect much from them kuliko hali halisi ilivyo...ok Mtu kama Gadner hukuhisi ingekuwa vizuri we kuwepo pale....wapi masoud kipanya au sintah jkapiga picha kwa uchoyo...liko mezani hili wadau karibuni...
Post a Comment