Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TWIGA STARS NA KASHFA YA USAGAJI

kikosi cha twiga stars
wakisheherekea ushindi


Swala la usagaji katika jamii yetu  linakuwa kwa kasi,hivi karibuni kocha wa twiga stars Boniface Mkwasa alisema moja ya sababu ya kutofanya vizuri Ethiopia na kimichezo kwa ujumla  ni utovu wa nidhamu na ikiwemo usagaji,daaah ukiwaona madada utafikiri wako kimichezo zaidi kumbe kuna vitu vinafanyika chini ya carpet.
 

27 comments:

Anonymous said...

we cinta na uma wa watanzania mcipotoke na maelezo ya kocha kwan ile cku tulizidiwa kimchezo na waethiopia hatar hilo swala ciafiki

Anonymous said...

Hapo Kocha Usitafute Sababu umeshindwa kufundisha huko unatafuta sababu

Anonymous said...

Hata mimi nilishasikia kua wanasagana kuna wengine hadi mtaani wanawataka madada wako kama midume lol

Anonymous said...

hapana msimseme sinta nina mtoto wa wifi yangu huyo wanomuita kaseja ndo mume wake na gari kamnunulia juz kat kamkuta na mchezaj mwenzake kamletea so mmpaka gari kanyang'anywa na polisi tulienda hayo ni ya kweli mdau ntafute nikupe uthibitisho

Anonymous said...

safi!

Mzuka said...

kwani hapo nyoma walipokuwa wanafanya vizuri hilo swala la usagaji halikuwepo???? au sababu ya kufungwa na waethiopia ndo Coach analeta hizo mbovu mbovu??? mmh tujifunze kukubali makosa na turekebishe wapi tulipo kosea na sio kuwazushia wachezaji bure...

dinah said...

this is obvious mbona why are you suprised sintah??

Anonymous said...

Kusagana mbona kitu cha kawaida tu na haiwezi kuwa sababu ya kutofanya vzr mana ni starehe kama starehe nyingine we kocha useme tu timu imekushinda.

Anonymous said...

DU! HIYO KALI! MIE NAPITA TUU

Anonymous said...

Mh kweli mbaazi ikikosa maua husingizia jua ndo anayofanya uyo kocha wenu

Anonymous said...

Astaghafirullah! Ddooooooh

Anonymous said...

only in tanzania, kocha wa timu ya taifa anajitapa mbele ya waandishi wa habari, eti nimewafukuza wale wasagaji, katika karne yetu hii, sasa wasagaji nao si watu pia, na hao wanaolala na wanaume ndiyo si wa kufukuzwa?

Anonymous said...

mmmhh wamekomaa haoo

Anonymous said...

sasa usagaji unahusiana na nini na mambo ya uwanjani,nguvu zinakua hamna au?? hapo sijaelewa

Anonymous said...

nyoo kazi kuwasema tu twiga stars,mbona KIDOTI NA SALAMA hujaandika?uanze kuandikaga mabaya ya kwako,hafu mashostito then uje jamii ndo tutakuelewa.ole wako ubanie comment zangu....mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

Mh nawe we ulikuwa unataka wawe wateketeke kwan wanafanya kazi ofisin kwa kutumia comp

Anonymous said...

wee unaesema usagaji ni jambo la kawaida huna akili kabisa....wewe unadhani mpaka mungu kaipiga marufuku,wewe una akili zaidi mungu?...you are a moron....hebu fikiri dunia nzima wanawake wote ni wasagaji na wanaume wote ni homos,watoto watazaliwa lini?kaboom mwisho wa dunia,hamna atakaezaliwa....tumekuja duniani kuzaana na ni wajibu wa kwanza mungu aliutoa,unakwepa wewe kama nani?stupid.....starehe,starehe,shut the fuck up...umekuja kula starehe duniani au kuwajibika?tutambue gay marriages,mutherfuckers are on drugs,watoto nani azae?mutherfuckers stop lesbianism and gayism...im done!

Anonymous said...

mambo gani tena haya jamani:? dooh! huu mwisho wa dunia tena. vp Sinta wewe Wolper c nakia pia ankus... ama?

Anonymous said...

mmh kashweshwe sasa sintah taratiiiibu unakua sasa ona comments zote za maana zinazotolewa kwenye ost hii haya ndio mambo tunataka. ukijishebedua tu mvua ya matusi unakufuata back o the main post... i think hawa wachezaji wamezidisha kipimo cha usaganaji labda ndio maana kocha kaona isiwe issue wacha aweke mambo bayana ... upande mwingine naona wamejipatia soko maana kuna watu wanapenda msagano humu bongo watawatafutaje sasa kocha we kocha mbona unaleta kesi kocha..

Anonymous said...

mhhh

Anonymous said...

hahahaaa walahi uliesema watu wanapenda msagano wala hujakosea!watawasaka hao mpaka kocha atazidi kudata!twiga wakiwafwata muwasage mpaka wajute..

Anonymous said...

kusagana rahaaa

Anonymous said...

sasa huyo kocha alitaka apewe yeye...mshenzy tu naye.

Anonymous said...

JAMANI MBONA HUYO KOCHA AMEKANUSHA AMESEMA AJASEMA HIVYO HAYO NI MAMBO YA UDAKU HAKUNA UKWELI WOWOTE

Anonymous said...

JAMANI MBONA HUYO KOCHA AMEKANUSHA AMESEMA AJASEMA HIVYO HAYO NI MAMBO YA UDAKU HAKUNA UKWELI WOWOTE

Linah Bonaventure said...

kocha anatapatapa.....angalia millard ayo amemuuliza amekana futi mia anashangaa eti waandishi wametoa wapi hayo maneno!!!

holand. said...

hahhahahhahah ni kweli asilimiaha 50 .wanapenda kusagana uku sweden wamejaa sana walikuwa wanachezea hiyo tmu sasa wameolewa ila wanajulikana tu .ila sio wte.cha msingi wafanye kazi kwanza ndo wasagane wakishamaliza kazi hahhahha wapi chaburuma kiongozi .wao.aka.esta anacheza sana na ni msagaji mkubwa duniani.uwazi na ukweli.waache wale bata.hahhahah .watajielezeea.kwa mungu.sinta sawasawa ulivyowaweka. mambo ya kutiririka.