Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

FAMILY DUAH NYUMBANI KWA KINA AMINA CHIFUPA-MIKOCHENI

Rahman ndio alianza kusoma  dua
 
Family
Mungu ni mwema
Mzee Chifupa
Rahman na  aunties
Mzee Chifupa,Sintah,Rahman&Sakina
Tunashukuru kwa yote


29 comments:

Anonymous said...

RAHMAN KAWA BIG BOY JAMANI! AWWWWW HOW I WISH AMINA COULD HAVE BEEN AROUND TO WITNESS THIS! HE LOOKS HUMBLE, MAY HE GROW TO BE SOMEBODY AT THE END, AM SURE HIS MOM WILL B SOOOOO PROUD OF HIM! MWAHHH TO U RAHMAN, KAMA SIJAKOSEA RAHMAN ALIZALIWA 2ND NOVEMBER 2001, NA NILIJIFUNGUA 24TH OCTOBER SAME YEAR! NAKUMBUKA AMINA ALINIPIGIA AKANIAMBIA AMEJIFUNGUA CKU YA BIRTHDAY YA MONICA ARNOLD IF AM NOT MISTAKEN! AM MISING U AMINA MY MC BOTH SENDOFF NA KITCHEN PARTY, SCHOOL MATE AT MAKONGO, AND A FRIEND AKIWA KISUTU, MIMI FORODHANI! RIP AMINA! WE DEARLY MISS U! TILL WE MEET AGAIN! MUCHOS LUV!

Anonymous said...

R.I.P Amina, We real MISS YOU A Lot..

Anonymous said...

Thanks sintah for the pics,maskini mtoto kakuwa jamani,poleni

Anonymous said...

jaman mungu ailaze roho yake mahala pema peponi ameen.rahman amekuwa kweli

Anonymous said...

ovyo kaa choo kilichokosa maji

Anonymous said...

UNA LAOLOTE WE KIPANYA UNAJIPENDEKEZA TU MFYUUUUUUUUU UNATAFUTA MABWANA HADI UKO NYOOKO SMS SENT UWEKE USIWEKE LAKINI UJUMBE UMEKUFIKIA WEWE MREGWA WATU WALISHA KUZALAU SNA UNA AYA WEW NA KIDOTI WEZI WA MABWANA ZA WATU

kitumburee said...

We Sinta ni mnafik sana!
unajifanya una huzuni sana, eti picha zote umeshika tama. mfyuuuuuuuuu.

Mungu amlaze pema marehemu Amina Chifupa

Anonymous said...

poor rahman..i pity for him!m/mungu amuongoze

Anonymous said...

Mbona wenzio kina sauda, nargis, sakina, mai hujawaweka?

dinah said...

yani kuna watu humu ndani mpaka wamtukane sintah ndo wapate nyege za kulala na mabwana zao akhaaaa........ sasa hii thread na matusi wapi na wapi?

dinah said...

yani kuna watu humu ndani mpaka wamtukane sintah ndo wapate nyege za kulala na mabwana zao akhaaaa........ sasa hii thread na matusi wapi na wapi?

Anonymous said...

Ray kawa mkaka sasa

Anonymous said...

apo juu kweli umenifuraisha awezi kuwaweka ao kwa sababu wanamzidi maendelea huyu kipanya ana lolote eti ameshika tama tuone kama ana uzuni sna mfyuuuuuuuuuu pua baya kama papa wemba uweke usiweke ujumbe umekufikia ukome mpaka uko unatafuta bwana mpka uso umekushuka mfyuuuuuuuuuuu wewe na kidoti

Anonymous said...

Ha ha haaaaa wananichekesha watu wengine humu kujifanya wana hasira povu zinawachuruzika,halafu sasa lijitu shule zero kwenye r latia l kwenye l latia r,kazi mnayo!we anoy wa 8:41 kasome herufi kwanza ndio uje kutema pumba humu hahahaaaaaaa

Anonymous said...

Sinta ndio uone dunia si lolote dharau,kiburi,maringo,kujikweza havina maana,kuwa normal hapa twapita tu

Anonymous said...

so sad R. I .P AMINA

Anonymous said...

kina nargis hawakuwepo mbona hukuwaweka???

Anonymous said...

dinah acha kujipendekeza kwa sinta tumeisha kustukia unatafuta umaarufu kupitia sinta pia mfyuuuuuuu una lolote unataka umaarufu wa kulazimisha mfyuuuuuuuuuu eti munamtukana sinta mfyuuuuuuuu baya kama mkundu wako sms sent nazani ujumbe umekufikia na una lolote we dinah mfyuuuuuuuuuu sura baya

Anonymous said...

We mwnyw DINAH unamdomo mchafu kama nn ulichosema ww si matusi hayo ni nn huo mdomo wako na ww kwann usiutumie kuimba mapambio na kumsifu bwana.who r u to judge? Angalia ustarabu wko sawa DINAH

Anonymous said...

Ilooo DINAH linamdomo mchafu uyooo unatuambia nn ww nakati we mwnyw unamatusi sijui wa wawapi ww

Anonymous said...

MH MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA JAMANI SO SAD

Anonymous said...

Mtoto amekuwa mkubwa kweli na amefanana na Amina sana, i wish Amina was alive to see her son..May her soul rest in peace.

Sinta you look good without make up...kuna watu wengine kona fulani bila make up sura kama nyau mzee .Muoneni mtoto Sinta bila makeup and yet she is beatiful .wengine mpaka wanalala nazo .Hahahahaha hapana chezea Sinta the pretty....

Anonymous said...

RIP

Disminder orig baby said...

Alhamdulillah kila likufikalo ni kushukuru. Mtoto amekuwa MashaAllah. Sinta lakini huyu mtoto wam-limit katika vyakula, ni unene wa utoto lakini siku hizi maradhi yamekuwa mengi. Mungu amsitiri nayo. Amin

R.Ngaiza said...

Pumzika salama AC daima utakumbukwa. Mungu alikupenda zaidi Na mtoto wetu atulindie. Amen

Anonymous said...

Mungu ni mwema kwa kila jambo,R.I.P Amina.

Anonymous said...

R.I.P mama rahmanino

Anonymous said...

Lov u Sintah. u r so beauty wacha waseme wanavo taka jelous

Anonymous said...

jamani kuna watu humu hata kuandika kiswahili fasaha hawajui sijui lugha nyingine inakuwaje? mtu kwenye r anawela l,kweli shule muhimu sana, halafu unamtukana mwenzako kwa lugha ambayo huijui. aibu jamani nadhani shule muhimu.