Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KWA WALE WA TANZANIA NA EAST AFRICA KWA UJUMLA

kesho nitakuwepo Friday night live on EA TV(ch 5)kuanzia saa nne mpaka saa sita.

usilale jamani unione mamito mie ndani ya kioo,full kujiachia lol,ma music,kucheza na nini na nini.

USILALE ILI UMUONE  JLO WA BONGO NDANI YA LUNINGA YA CH 5(EAST AFRICA TV}                           unstoppable


10 comments:

Anonymous said...

Sipati picha utajishauaje Miss Misifa!

Anonymous said...

Nenda kauze Nyago, maana ndio lilobaki!
Uzuri wote kwisha sababu ya mikologo!

Anonymous said...

Duuuuuuuu, I wish siku moja nikutane nawe Sintah, toto umewivu kama papai!

Anonymous said...

kwa hii picha utawapata wengi, hasa up country!

Anonymous said...

Kweli wewe unstoppable ninakukubali sana niko nakuona live mamiiiiii shauri yao

Anonymous said...

umependeza sana sinta
ila iyo background ya Nature inaashiria nn?

Anonymous said...

WEWE KUWABANIA SAUTI WATOTO WA WENZIO MANAKE NINI? NA WAKATI UNA SAUTI MBAYA KAMA BATA ANALIA UNAWATAKA? HUNA HATA HAYA? WATAKUPELEKA WAPI HAO? UMEJICHOREESHA MWENYEWE. ETI LEGEND? AAH AAH.ANYWAY U MADE MY DAY

Anonymous said...

nimekuona mlipendeza sana ingawa ckukuona vizuri as hukusimama kama jaq wolper kapendeza sana na nguo yake kama ya kim kardashian swag is on.sikukuona kucheza wala nini na nini ila umejibu maswali vizuri tun asubir movie zako tukuone

Anonymous said...

Huyu ni rangi yake ya asili labda awe anaongezea tu, tangu katoto ni rangi hii hii.

Anonymous said...

Asimame?wacha kunivunja mbavu,huyo bibie na mashauzi yote,miguu yake inamkosesha raha,kwenye photos anaficha utege wake kwa kupishanisha miguu,chek mapic yake yote humu.halooo