Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

FOLLOW ME ON TWITTER @ chrisintah

hellow loves account yangu ya fb imejaa na nina request nyingi na bado sija approve.
kwa wale ambao mpo twitter you can follow me @ chrisintah na still ukapata mchanganou wangu wa mawazo katika kuijenga Tanzania na Africa kwa ujumla


Ijumaa Kareem

jlopez bongo

jlopez Tz

9 comments:

Anonymous said...

please na wewe u follow back maana tuna ku follow alafu wewe hautufollow

Anonymous said...

Nimeipenda hiyo gauni, umeshonea wapi, maana nimeshachoka na mafundi kila siku wanaharibu nguo zangu grrrrrr!

jline said...

picha imekutoa vizur sana hii.umeonekana mdada wa heshima

Anonymous said...

MAMBO
CHRISTINA NAOMBA NIAMBIE NANI AMEUSHONEA HII NGUO
KIUKWELI NAIZIMIA MNO

Anonymous said...

Nimependa khanga yako, umeshona wapi? nielekeze nina vitenge na khanga natafuta fundi mzuri

mafundi wengi wa bongo akibuni mshono au ukileta wako basi ujue kila atakaeenda kushona kwa kipindi hicho atashonewa mshono huo huo!
mwisho wa siku mnajikuta watu 10 kwenye sherehe mmevaa mshono mmoja INABOA SANA

jesca

Anonymous said...

umetoka safi ma dear!

Anonymous said...

Looking beautiful & nice dress.Umeshona wapi?ni kitenge au kanga ...answer ASAP...

Anonymous said...

bora uwe unafaa nguo ndefu zinakupendeza

Anonymous said...

y usijiandike j
lopez tz twitter..inaendana na wewe....kwi..kwiii