Hallowz ma wadau,
Natumaini mko pouwa samahanini sana kwani nipo mbali na Dar,kwanza kabisa nilifiwa so nilisafiri kwenda Moshi town kumzika my aunt,nikarudi Dar nikasafiri tena kwa ujumla sipo nchini,narudi jumatano,nimewamiss sana but soon nitaanza kazi kama kawa.
nimewamiso sana
msikose kupitia kwani stori mpya kibao loves
from
j wake Lo
Nothing but Confidence
12 comments:
hahahahahha jlo bwana unanichekesha uliposema nothing but comfidence wee kweli kiboko.polee kwamsiba mungu akutie nguvu.tumekumiss saana jee.wengine ndiokutwa tunachungulia humu tunakuta patupu.twasubiri kwahamu namapicha ya huko uliko.gday mdada.
J wake Lo?????????!!!!!
Pole na msiba.
Haya tunakusubiri maana tushakumisi
dah! kumbe...ndio mana nikiingia kila siku sioni jipya,pole sana kwa msiba pia majukumu mith u sanaaaaaaaa and lv uuuuuuuuuuuuu
Go girl! go girl! you rock! my dear. all the best, safari njema urudi salama.. tumekumiss!
Mdau wako!
Pole kwa msiba..
mith u sana,,nakusubiri kwa hamu coz kila nikichungulia hapa sioni kipya
Oooh Bon Voyage mtoto mrembo Sintah usisahau kuja na Valu valu ya Dr. Chamillion
tunakusubiri tukuchambe.
jamani pole mamy .loloo nimekumissije maana kila nikiingia hola.tujuze basi huko uliko.
jane bomba
pole lakini kwan ukiwa nje ya nchi lazima tujue. Hahaaa nakutania.
Post a Comment