Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WARDA'S BIRTHDAY PARTY AT RUN WAY LOUNGE



chocolate cake

baadhi ya vinywaji


Birthday gal ndembe ndembe
BFF
myler
Jokate&Jacky
legoooooooo
alilowaje maji,nini na nini
Tyra Banks&Warda
ladies
jacky stoooop

hapana chezeya jackie

my make up artist na Racheal Temu
mama K wa ukweeh

lets have fun ladies

haya tumekupaka keki  usoni

heeeeee jlo hii wiki ilikuwa ya parties in the city and had to attend all of them,si unajua blogger im  here for you,it was a classy party ,tuliloana ukumbi mzima maana ilikuwa ni style ya kumwagiana maji tuu na kupakana keki,all in all,we had amazing time with our beauty Warda,and was so glad to be part of it.

ps blog wishes you happy years in return Warda,  merry xmass and prosperous New year

14 comments:

neema mollel udom said...

ilikua poa vpi diet inaendeje? heeee is t true ur frend jokate kafanya hayo?du...

sophy said...

sintah blog yako yako haiboi yaani kila siku vitu vipya keep it up mamaa

cute said...

hongera jlo maana blogu imechangamka kweli, happy bday warda

Anonymous said...

wewe bibi mbona habari ya kidoti.com utuwekei aaargghhh!!

Anonymous said...

dah.....wadada wa bongo,,,,mnajua kujikandika make ups kweli..kaa mizimu vile....halafu mnajiita mafashionista...aibuuuuuuuu

Anonymous said...

BONGO UMBEAAAAAAAA DUH KULE U-TURN WAMEANDIKA MKAMATE MWIZI JOKATE KAMNYAKULIA WEMA SEPETU MUMEWE (DIAMOND) MAKUBWA KUNA VITUKO KWENYE COMMENT ZA WADAU HUYU JOKATE JAMAN KWANINI MWIZI NASIKIA KIBOKO KURUKA NA MASTAA

Anonymous said...

Hee hata mie nimesoma U-turn mange kaandika kamata mwizi jokate kamchukulia wema sepetu bwana ambae ni DIAMOND chezea mange kimambi udaku wote na umbea wote u -turn

Anonymous said...

hahahahaaaa hii kali huyu jokate kazidi jaman khaaaaaa mara hasheem thabit,AY,mwana fa.reuben ndege dah udaku woooooote u-turn sinta usibane koment achia kama mange ye hajali yupo kikazi zaidi ndio maana tunapenda kucheki blog yake na wewe rusha usijali walimwengu wazoeeeeeee

Anonymous said...

mwanamke mbaya huyo si angetafuta wake jaman pole sana wema

Anonymous said...

hahahahahahah chezea mama uturn ww?????????????????kule ndo mambo yte,huku hatabadia kusema hta kma ni ukweli kutokana ni rfk yake.

Anonymous said...

Ila wadada punguzeni make up mnatisha na sura zenu, pia hiyo staili ya nywele ya nicki minaj haiwapendez kabisa mnatisha kinomaaaaaaa!

Anonymous said...

dada mmependeza naomba mulize warda nguo yake kanunua wapi nimeipenda sana

Anonymous said...

haya weeee huyu rachel temu nae kazua mzozo u-turn kamtukana sana mange dunia ina mambo sanaaa

Anonymous said...

hakuna kitu huku, bado watoto nyie.....dada zenu kina kiki bwana....very classic!!! endelea kujikongoja bi shost sintah!!