wale wenzangu na mimi,wapenda nyama shughuli yetu ileeeee imerudi tena ni pale pale viwanja vya posta Knyama,ufike basi mapema mchana si unaelewa shughuli inaisha mapema,njoo ujilie nyama mpakaaaa huku ukipata kinywaji muruaaaaa.
mimi na wewe na yule na yeye na nani wote tutakuwepo
ni tarehe 17th dec 2011
kiingilio 5000tshs kwa wakubwa
2000tshs kwa madogo
c u there
4 comments:
Yaani mi yote tisa leo naomba utupe hiyo habari ya Jocate ni kweli??????? Jamani wanawake wa bongo mbona tunapenda kuingilia mapenzi ya wenzetu hata siamini!!! sina comment leo ngoja kwanza hasira ziniishe Jane wa L
Yapp! but mumy sorry naomba kuuliza nyama choma pia nanunua?.please reply
Mbona hutoi tamko kwa shuzi la shoga ako jokate mana ana tuhuma chafu au ndio wanampakazia???????????? kimya sana ps hebu tupe mahabari na ma'newz lol
mi binafsi sijapenda wema na diamond waachane imeniuma sana.
Post a Comment