Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HAPPY NEW YEAR 2012 MY LOVELY WADAU

Kwa niaba ya crew nzima ya PS blog,ninawatakia heri ya mwaka mpya,Mungu awe pamoja nanyi,mkamilishe maombi yenu ya 2012,

kwa upande wangu,mimi mwaka ukianza huwa nina kuwa nina mambo huwa ninayaweka mwanzo ili mwaka mzima niyafanye,nawe make ure wish mwanzo wa mwaka

mimi penda wewe sana,

kila la kheri and prosperous New Year 2012

from one and only known Sintah in Tanzania.


sky isnt the limit
innocent me


my doreen &unstoppable

                               me,my self and i


sie tenaaaa

SHUKURANI 2011

Mungu kwa kuwa yeye ndiye kila kitu katika my life
my lovely Mummy
my lovely bf(he is an angel who came to intercede on my behalf)mimi penda wewe

my lovely friends Nargis,jokate,Luiza thx for the advice

my sistaz,Ida jolie,Amne,Chabby

thanks alot nyinyi hope to be the better one in 2012

ciao 2011

19 comments:

Anonymous said...

happy new year ps may all might God bless u honey in this caming year happy new for da second time luv u galllllllll

Anonymous said...

happy new year to u to gal

Anonymous said...

mhhhh kweli we unstopable ila kwa uzur tu mhhh mtoto show rangi ya jogooo haahhahahaahah happy new year

Anonymous said...

tuacheni gubu galzzz ps mzuri jaman hebu mwangalieni kwenye iyo picha aliyovaa kanga ya kushona lohhhh mi tabasamu tu mhmwaaaaaaa

juliana deus said...

mm pia iko penda wewe sana happy new year mamiii

Anonymous said...

mbona ujamtaja sauda

Anonymous said...

before the old year is gone
before the sms is jammed
before the net is busy
lets me wish all the best of comin 2012
I WISH U HAPPY NEW YEAR TO U SINTAH
From N
Paris-FRANCE

Anonymous said...

MUWAKAGE NA MAMAKO BASI TUMUONE MAANA UNAMUONGELEAGA TUU BILLA KUMUWEKA.JE UNAOLEWA LINI NA WEWE?TUANDAE ZAWADI TULIOKO ABROD HUKU.UMEPUNGUA VIZURI SANA ADI RAHA.PIA NATAMANI KUONA CRIB YAKO JAMANI SIJUI KWANINI NIMETAMANI KUONA YAKO TUU NASIO ZA MASTAA FEKI WABONGO WENGINE.HUWA NAKUPENDA TOKEA UNA ACT MOVIES SINTA.NAKAPANDA KAMDOMO KAKO,ILA UMENIUDHI SAANA ULIPOJIBADILISHA NA MKOROGO NIMECHUKIAJEEEEE.INGEKUWA UKO NA KAKA YANGU NINGEKUSHAWISH ADI UNGERUDIA ZAMANI.BY THE WAY UR BEUTIFULL NO MATTER WHAT THEY SAY.WEKA CRIB YAKO BWANA MAANA WADADA WENGI WAMUJINI HAMNA JUMBA NASIKIA MNAISHI KWENYE VICHUMBA USWAHILINI LOH SHAME OF U GUYS,MNATAKIWA MUWE NA MABANGALOO YA NGUVU HASWA,MDAU SWEDEN.PIA SINTA NATAKA NIKUALIKE KWANGU SIKUMOJA NITAKUJULISHA NIKIWA TAYARI UJE SWEDEN UTEMBEE,NAKUFAGILIAJEE MTU WANGU.HAPPY NEW YEAR .

Anonymous said...

the sky is the limit

sifa said...

Sada tena sio rafiki yako ila wewe Binti ni mnafki sana yatakushinda, hebu iga mfano wa Mange basi na marafiki zake

Anonymous said...

yani nimekupenda ghafla coz umejitambua who u are now big up sn. ulikuw unabore sn kujiita jlo wkt unajua wewe ni unstoppable unatakiw kuweka mfano il hawa chipukiz wataman kujiita PRETTY SINTAH. ila unapoanza kujiita majina ya wengine wkt hujui alihangaika vp kukuza jina lake mpk eo hii wew kutaman kujiita nibora ukakazana nalako. nakutakia heri ya mwaka mpya Mungu akulinde na kukutimizia malengo yako.

Anonymous said...

Nimekupendaje ulivyo sema sinta in Tz.Umetumia busara sana.Mambo ya Jlo yapoteze kuwa wewe kama wewe inapendezea. Kila la heri na Mwaka mpya.

Anonymous said...

hebu wewe SIFA acha choko choko kweni lazima amtaje kwenye list mbona ana marafiki wengi tu si anataja wale walio karibu sana na yeye, sasa hapo unafki wake ni nini jamani hebu acheni ushetwani mwaka mupya huuu....

Anonymous said...

heeee, sauda mbona hujammention,sio shostito??? ila mwanamke m'baya yuleee, hamfanani kwakweli!!!

Anonymous said...

Saada je????

Anonymous said...

bora wewe uliyeumbwa mzuri mshukuru Mungu kwa kila jambo bana hata kama mbaya ndivyo alivyoumbwa atiiiiiiiiiiiii

glory.

Anonymous said...

Sinta hiyo picha ya gauni la kanga umependeza sana.

Anonymous said...

sintah wewe ni mzuru sana my dear mie uwa pia nakupenda tangu ulipoanza kuigiza, una beutiful & baby face my dear.So kila nguo ukivaa inakutoa bomba Happy new year too!!!!!!

Anonymous said...

Nmependa picha ya tatu huyo mdada napenda rangi yake..

Mdau USA