Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

ZIMEBAKI SIKU CHACHE IWE SIKU YANGU,MUNGU NIBARIKI SANA

wakati nachagua lipi litakalo nitoa chicha

46 comments:

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu atakutia Nguvu zaidi weka mafungo ili mambo yaende salama na yabarikiwe si kila mtu anafurahi au atafurahia hiyo hatua unayoitarajia.
Much luv from akupendaye

Anonymous said...

anameremetaaaa heeeeeee so twala ubwabwa???

Anonymous said...

SIKU YAKO IPI TENA YOTE YANAWEZEKANA UKIMTANGULIZA MUNGU THOUGH UMETUWEKA HEWANI HATUJUI HIYO SIKU INAHUSU NINI ILI TUKUOMBEE.

Anonymous said...

Hongera best mungu akutangulie katika yote na akulinde na mabaya. wenye wivu wajinyinge!!!!

Anonymous said...

hongera mwaya kila muomba mungu hupewa kila la heri kwa hiyo cku my dia

Anonymous said...

hee unaolewa lini? hongera dia ni hatua nzuri katika maisha . kitchern party lini ?

Anonymous said...

wewe nawe watu huwa hawaonyeshi magauni yao we nawe mshamba wewe mhhhhh mh mwige mange mamamama

Anonymous said...

Haya mama misifa....

Anonymous said...

Kila la kheri Sinta!

Anonymous said...

...i bet it might be your birthday and not wedding!!!

Anonymous said...

Aolewe wapi jamani alikua anapigia picha tuu hana lolote hapo hakuna muolewaji kabisa atabaki kwenda za wenzake tuu ye wanaume wanamtumia wanakimbia kuoa kwingine hawawezi kumuoa huyo tapeli....

Anonymous said...

itakuwa ni siku ya kuzaliwa nani amuee kikongwe jamani labda jivue gamba

Anonymous said...

binti una kiherehere huna mfano!

Anonymous said...

mh nani huyo karuka mkojo kakanyaga mavi???

Anonymous said...

wapendwa ebu jiulizeni AOLEWE MAGAZETI YA UDAKU YASIMUANDIKE???????????????????ana jipya anataman kulivaa ila ndo ivyo tena.halafu nilisikia anatoka na MCHINA sijui imekuwaje tena.

Anonymous said...

Amuoe nani huyoo,ni katika kutafuta vijisenti vya kufanya starehe coz ndo anacho kijua!anatarajia kuuza sura kwenye luninga kama apendavyo!

Anonymous said...

ndio maana napendaga kuingia humu he h e he he h eh watu mna mashushu mpaka basi!

Anonymous said...

kuna watu mna roho nyeusi km za shetani wanaolewa wacheza shoo za uchi sembuse sinta lohh kwani hana cha kumpa mwanaume nyie vp kwani ye ndo atajua wa kwanza aaaaaaaaahhhh acheni hizo

Anonymous said...

ata mkuguna ndo ivo yy ni mwanamke km nyinyi eti ohh labda cku yake ya kuzaliwa nyoooooooooooooooooooooo huoni hata haya kwani ye dume ambako hawezi kuolewa mmezidi jamn lohhh roho zenu zinakutu kwa oho mbaya mhhh

Anonymous said...

hongera mama mungu akuzidishie zaidi ya hayo

Anonymous said...

KUNA VITU FLAN HIVI UNAFANYAGA YAANI NOT U COZ SURA YAKO NA VITU UNAVYOFANYA NI TOFAUTI KUMBE NDIO MAANA UNAANDIKWA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU, UNAJARIBU KUIGA WATU FULANI HIVI FOR SURE HAUPENDEZI HATA, BE YOU AND BE REAL USIPENDE KUIGA

Anonymous said...

mbona mnamdis sana huyu binti, its time you accept the fact that she has her own life and the way she lives is less concern with you all

Anonymous said...

mmh,kuolewa?jamamani ni nani tz hii atakaje jitoa muanga kumuoa binti used kama huyu

Anonymous said...

mtajuaje jnature ameamua kumwoa mke wa pili yote maisha ila unamisifa sana hata haipendezi mtu mzima kuwa ivyo au ndio ushamba

Anonymous said...

hizi picha kama za zamani maana now day unaonekana umenenepeana sana.
kila la heri bibi e

Anonymous said...

hongera sanaaa dadaaa sintha

Anonymous said...

shost nawe kwani ukisema tu unatangaza biashara utachinjwa ndo nyie mnaojitia mikosi mwishowe mnaenda kwa babu...!! Asiwarushe roho anatangaza biashara ya magauni ya harusi......!!!!

Anonymous said...

Vipi unaolewa na Sir Nature? Maana na nyie mlipelekeshana kama Wema na Almasi mpaka akakutungia wimbo. Pengine mmeamua kufanya kweli sasa.

Anonymous said...

nimelipenda gauni...kama la Nagris Mohamed...limekukaaa, usingelionyesha kwanza!!!

Anonymous said...

Huyu si alishaolewa na Juma Nature ama Mbagala Mbagala kwa kija Juma Nature uwiiiiiiiiiiiiiii hizo gloves mbona kama za ubarikio?

Anonymous said...

mbavu zng mie kuolewa mchezo we zako befzakijinga kutaka umaharufu

Anonymous said...

jamani maandalizi ya muvi hayo hana lolote huyo chakubimbi

Anonymous said...

jamani wadau kuweni na staha basi,sinta mumy usiwasikilize hao wenye kijiba cha roho.Mungu akupe heri na fanaka katika maandalizi ya Ndoa yako.mimi penda wewe pia.

jane bomba

Anonymous said...

ipo siku watafunga midomo yao na kuwaacha hoi kwenye zizi la ng'ombe.achana nao hao wenye roho za kutu za kuchukia maendeleo yako.God be with u.

jane bomba

Anonymous said...

wewe unaemtetea huyu malaya labda unataka akusage nini nani amueeeeeeeeeee mwanamke aliyezeeka ata uchu wake saivi utakuwa na mvii labda apake pikuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

mijitu mingine bwana inapenda ku criticize watu as if they get payed,how cheap of u people,instead of being happy for someone,u are showing ur haters altitudes.get ur own life,she beautiful n she has a life to live.

Anonymous said...

wewe anonymous unaye tukana hapo juu.watu kama wewe tunawaita low budget bitches.mtu humjui vizuri unamtukana wat for.u hate her coz u cant compete, poor u.

Anonymous said...

anaye comment ki hater hater kinamuuma..anatamani kuwa kama Sintah...WIVU.COM...hahahaha! INAKUWAJE MTU UNA M dis mwenzio kana kwamba hana haki ya kuwa na furaha kama wengine tena ktk blog yake? shame on u haters.....msivyo na haya mnaingia humu...kukoment...si muache?? BT SINTAH, U NEED SUCH KIND OF PEOPLE TO BE STRONG! ni hayo tu! DOREEN MIKOCHENI

Anonymous said...

Mhh! wanawake wa bongo bwana kuolewa wanaona big issue wajinga sana nyie wenzenu wanawake wa ulaya wanaolewa kwa mkataba na wako bize kutafuta pesa nyie mnagangania kuolewa so what ? eti amuoe nani kizee? kazi kumsema mwenzenu mwacheni kwani nyie wote mmeolewa alafu Sintah ana uzee gani, kwanza ni mzuri anawazidi it's the matter of time ataolewa tu ! she is very cute.

Anonymous said...

ahahhaah jamani kazi ipo

Anonymous said...

anawakawakaaaaaaaa anawakaaawaaaka heheeeeeeeh lol mwenye dukuduku ajinyooong kwani ye ana mbili hadi asiolewe khaaaaaah,poleni.

Anonymous said...

kasheshe

Anonymous said...

sintah msalimie doreen jamani ameendelea sasa na biashara yake... from hrc erolink to a business owner, isnt that an absolute achievement? hongera sana doreen

Maria said...

Leo nimeamini wasichana hatupendani...na kila aliyekoment kwa kumbeza Sintah maisha yake kama sio kwa waganga, basi wanaume za watu, kama sio wanaume za watu basi maisha yamemshinda so anataka kila mmoja yamshinde. Ndugu zangu ili ufanikiwe na kupata baraka mtamkie mema mwenzio, yatakurudia.

Ushauri wangu kwako Sintah kipenzi, kwa mtazamo wa nje ninakupenda, unavutia na unaonekana ni mdada unayejua maisha, unayejiheshimu na unapendwa na watu..lakini tatizo lako ni moja tu!!

HUTAKI KUWA WEWE!! Unataka kuwa kama JLO, au watu wa aina fulani ambao naona kama havikufanani..naamini una stlye yako inayokutambulisha kama wewe lakini haujaijua bado. Nakuombe Mungu akupe heri na kukuonesha njia yako sahihi ya kuiendea.

Anonymous said...

Hongera sintah, wanaokudis wote wanakupenda ila wameshindwa watakupaje!Una uzuri wa asili siyo wakutengenezwa.
Praise the Lord u're very beautful.

Anonymous said...

duh sina hamu na hayo matusi!donge la nini panda juu nenda ukazibe!halulah