DEAR MDAU
NIMEPOKEA COMMENT 70 ZA MATUSI KAMA HUJAONA COMMENT UJUE SIPENDI TABIA YA KUKASHIFU WATU
KAMA LINAKUCHOMA JIN'GATE ILA UNATUKANA NINI SASA?
KWAKWELI MIMI NASEMA USIJISUMBUE KUPOTEZA MUDA WAKO SITO PUBLISH UJINGA MIMI
PS,JLO,NOTHIN BUT CONFIDENCE,UNSTOPPABLE,SINTAH
3 comments:
Usi publish ujinga kabisa,anaeona wivu anywe panadol alale
huyo punda atakuwa anakuonea wivu
umependeza hivi samahani naomba nikuulize nilisikia umeolewa na una mtoto?
my dear usikubali ujinga kuu pubrish kabisa ww wapotezee na anae ona unamkela mwambie ajinyonge kwa big jee kama vp
Post a Comment