WEMA AMBRAHAM SEPETU AWAMSHA MASHABIKI MORO
NI KATIKA MA POZZZ YALIYOTAWALA SIKU HIO
JAMANI WALIOPENDANA WAACHE WAPENDANE
WALE MNAOSEMA OOH WEMA VILE HUYO HAPO NDO KASHAPENDA NA YUPO JUUKWAANI AKIMPA TAFU MZEE
WALE MNAONUN'GUNIKA KWAKWELI MTAJICARRY NDO HIVYO
SINTAH
12 comments:
tujicarry kwa kipi hasa?????????? kwa yeye kutuonyesha matako yake au?
hahhha tako lake linalipa jieupe tuonyeshe lako mkaa afadhali mtajisonyajeee
jamani wema ana mdudu au?ni msichama mzuri sana ila matendo yake jamani
hivi wema ana nini kichwani?mmh huyo diamond kama kinguchiro
haa ama kweli penzi halichagui kinyani na sista duuu hahaaaaa
SINTA KAMA UMEMZOE WEMA SEPETU HEBU TALK TO HER AS UR FELLOW WOMAN/GAL....ANATAKIWA KUJISTIRI.MATAKO YAKE ANATAKIWA KUYAONA DIMOND KIDUME CHAKE.
amekua kama hana wazazi huku duniani?halafu anaitwa mama wakati mwanae anayaona matako yake stagini?
TWENDENI NA WAKATI SIO WAKATI UWENDE NA SISI.KUNA VITU TUNAFANYA KUTOKANA NA LIFE STYLE ZETU NA UMRI PIA LAKINI TERE IS A TIME INAFIKA UNAANZA KUYAJUTIA ULIYOYAFANYA BACK IN DAYS N NENO "i wish i knew" ni baya sana LINAUMA SANA.
remeber there is time for everything hasa pale inapofikia hatua Mungu(THE OWNER OF EARTH n SKY)anawekwa pembeni.
jamani matako yamekaa vibaya
haija tulia hata kidogo simpongezi ngoooo
Hii. Jamani sijuhi alivaa kibikini basi utasema hakuvaa kitu mwe. Hivi watu wakitoka makwao hawajicheki. Maana naona hata mwenyewe amekosa amani kakazana kushusha hiyo nguo. Kaaazi kweli kweli.
Amevaa T shirt au gauni????
hiyo minyama kama kafungasha nini sijui
wala hamna mwenye wivu ila ni ulimbukeni wa mapenzi mapenzi ya kweli sio ya kutiana aibu kila kukicha na maskendo ona sasa kama diamond alijua kijimke chake kingepanda kumpa company kwa nini amwambie avae nguo inayomuacha matako wazi wanaona raaha wenyewe wanaona ndo kupendana kijinga hivyo! diamond aangalie huyo wema kicheche tu. kidiamond chenyewe wema kakosa tu wa kumzoa koz watu wameshamchoka akaona ajibanze kwa diamond tu hawana lolote wangekuwa na mapenzi ya kweli wangeiga ya besta na marlaw.shitttt
Post a Comment