Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

I'M BACK LIKE NEVER WENT


PSSSSSSSSSSSS IS BACK LIKE NEVER WENT

MY LOVES HAD SO MANY THINGS TO DO PLUS KUUMWA LAKINI SASA NIKO POUWA NI WAKATI WA KU DELIVER MA NEWS NO UMBEA RIL THINGS
I MISS YOU GUYS
I'M BACK

SINTAH

17 comments:

Anonymous said...

Congs mamie SINTAH

Anonymous said...

its good to be back pretty

Anonymous said...

kwani sintah kichwani kwako kuna nini?
lace wig kwa sanaaaa au huna nywele?
mdau

Anonymous said...

hehehe anony wa saa 8:34 sintah ana nywele ndefu sana na ni nzuri sana, ni fashion tu

Anonymous said...

kwani inamuhusu nini huyo mdau wa mbele kama hauna hela ya lace wig ya kweeeh jikate mbona watu mnawivu?
mbona mercey galabawa hajawahi kuacha kuvaa lace wig ni mtu na stle yake
lllloooooh

Anonymous said...

teht ehteh lakini ufumue toka birthday tumeichoka kama wewe mtu a fashion mbona mwezi wa pili huu... hakuna mtu mwenye wivu na kidampa sinta... na mange tumfanye nini tukimuone awivu sinta PS hoyeee

Anonymous said...

teht ehteh lakini ufumue toka birthday tumeichoka kama wewe mtu a fashion mbona mwezi wa pili huu... hakuna mtu mwenye wivu na kidampa sinta... na mange tumfanye nini tukimuone awivu sinta PS hoyeee

Anonymous said...

wae fala nini uyo MANGE ndio taka taka gani sasa si uende kwenye blog ya mange uku unatafuta nini pimbi wewe... wabongo kwa kujipendekeza unahisi mange ata ukimsifia ndio anaweza kuwa karibu na wewe pole weeeeeeeee.. PS IPO JUUU 4EVER

SINTAH WA UKWEEEEH said...

usiyejua maana huambiwi maana sorry nimefumua long tym hio ni picha na sasa nimeweka blond hair
niangalie kesho mpirani utaniona
tabuuuu shida,endelea
kinawachoma jamani ni lace za ukweeeeh
ps

Anonymous said...

kwani huyu dada au kaka jamani
kwani wewe unatembea na sintah kila siku kujua amesuka nini?pole weeee amesuka nywele nyingine usiezijua kwa wale tunaomuona kila siku tunajua
poleee rafiki umechemsha

run dunia said...

haabri ndio hyo lace wig za kuunganisha vipande me najua watu wanaoshonea lace wig hapa bongo ... ZAMARADI, AUNT EZECKIEL, MERCY GALABAWA nyie wengine haloooo.... tena sinta wewe ni wa kawaida sana bor aunyamaze tu ungekuwa wa mana usingempa uroda NATURE.. KWI KWI KWIII

Anonymous said...

hahhahah PS after wiki anabadilisha nywele uwii usilolijua kama usiku wa giza pole weee.... kwa hyo wewe huna kingine zaidi ya kuchunguza maisha ya sintah mweee utaji carryyyy....

Anonymous said...

nimchunguze sinta kwa kipi uyo sinta ndio nani kwanza me namwambia ukweli maisha ya 5star hayawezi awaachie wenzie kina mange na kiki yeye aishie kukaa rose garden na wale malaya wenzie wale makange na konyagi na vipombe vya kwenye viglass vidogo vidogo

Anonymous said...

mmmmh sasa Mange na Sinta wapi na wapi?wakimuweka Mange na Sinta nani ataitwa haaaaaaaaaa
yule kabeba maziwa kilo 3
huyo kisa na uzee wake ndo umfananishe na Sintah
mmkh kula makange alijisikia labda
mwenzako kila siku yupo juu hata akiamua kurudi katika gemu sema hataki kabisa kwa sasa yeye ni special advisor Yanga club

jamani mama sintah uko juu hata kama hao wakina mange wana hela lakini wapi?wana hela wako vile je wangekuwa kama wewe mmh,au wewe ungekuwa kama wao
go gal

Anonymous said...

kwanza nakushangaa huyo Mange na Sintah ni marafiki wa siku nyingi tangu wanasoma xchuo sasa hushangai sema sintah hapendi publicity kabisa
kama uongo muulize Mange

Anonymous said...

Nyie mnaleta meseji za uchonganishi. Nakushauri sinta uwe unachuja hizi meseji kwa kuwa najua hazirushwi moja kwa noja, unless na wewe unapenda maugomvi

sintah said...

Mdau hapo mbele mimi sipendi ugomvi na wala usijali mimi na Mange au na watu wengine tupo pouwa ndo maana sijibu mtu wangu usijali laazizi
anajifurahisha mdomo