Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
WATU WAMEKUWA WAKIULIZA PS UNAFANYA NINI KWA SASA ?NIMESOMA SOME OF

THE COMMENTS,UKWELI NI KWAMBA KWENYE MOVIE SIWEZ RUDI,UTANGAZAJI NOP

ILA NINAFANYA SHUGHULI ZANGU BINAFSI ZA KUJENGA TAIFA

HOPE YOU GOT ME LUV

                                    SENKYU



                                                    PS 4EVER

7 comments:

Anonymous said...

Jamaniiii il be mcng u ma' roll model coz even dat cnta name cames frm film industry if am not wrong 4u 2 retire dc tym ts earlier lav pls come back even 1nc arts ts ur talent mamy. By celyn

Anonymous said...

sasa sinta unafanya kazi gani? na mbona ujaweka contact zako kama wenye mablog wangine?
wako
james

Anonymous said...

Sinta ure beutiful, ure truely pretty girl

Anonymous said...

Duh vile tulitamani kuona kasi yako mpya katika movie!!! aah hata movie moja kuonyesha kwamba uko fit? tupe raha washabiki wako dada

PS said...

Sintah
Mungu akipenda nitafanya inshallah jamani thanks kwa upendo wenu
na mimi nawakumbuka sana
luv you

SINTA

Anonymous said...

Sinta contact muhimu.

Anonymous said...

pliiiiiiiiiiz i beg yu come bac to muvi world