Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TABIA

dear PS
mimi ni mpenzi sana wa blog yako lakini sijui namna ya kuwa member naomba unisaidie ili niweze kuwa full member
pili hivi kutokana na hii tabia ya madada zetu wakienda Big Bro Africa unafikiri nini kifanyike kwa waandaji hawa ma ashindano naamaanisha multchoice?
kwa upande wangu napenda sana wanaume wapewe kipaumbele katika mashindano haya maana wanawake wanatutia aibu sana na fedheha kama huyu dada alieenda nina amni atarudi na mimba?hivi ni mwanammke gani asieweza kujizuia kwa kipindfi cha miezi mitatu?
jr wanafikiri ngono?pombe ndo Big Brother?

Wadaau kimeniboa sana yule dada kutoka kwa upande mwingine nimefurahi maana nimechoshwa kuona Ngono zake na tabia chafu

its me
RK

7 comments:

Anonymous said...

hawa wadada wanaboa sana jamani ni tamaa gani za mwilizinazowawasha sizizokunika jamani bora arudi aendeleze libeneke dar

Anonymous said...

hawa watu hawaeleweki kabisa ndo maana mimi sijawahi ku vote maana kichef xchef kitupu

Denzile said...

mmmh kwa tetesi za karibu nimesikia ana mimba sasa itakuwaje?mtu asiyemjua kakutana na ki big big haleluyaaaaaaaaaa somebody say Amen

loveracheltz said...

hahahahha me nilivyosikia tu wanaenda wale kichefu nchefu cha ajabu bora ata angeenda salama jabir angalau ila safi sana bora waende wanaume mana wanawake mmh! uozoooo lol

Anonymous said...

hahahaha,huyu mtoto ana pepo la ngono,yani nikirudi bongo lazima nimtafute,Yani akinywa bia 2 tu zinakimbilia chini ya kitovu.

xxxxx
Mdau Paris

Anonymous said...

Mdau Paris
umenena wangu kwakweli ana pepo la ngono si muhaya na asili yake unaijua,yaani ile live niliyoiona youtube nadhani huyu dada ana kilio
sijui multi choice wanasemaje juu ya hilo maana kaaibisha jamii sana
hata mtu ukitaka kwenda big brother wazaz wako lazima wakatae kwaajili ya kero hizi
mdau
bongoland

Anonymous said...

kaaibisha taifa huyu hakuna mwanamke cheap kama yeye halafu anataka kufanya kama alichofanya ni sawa na kizuri kabisa kwa jamii...jamaniiiii