Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

RACHEAL'S BIRTHDAY MEETING AT RG

                                                 HAWA NAO WALIKUWEPO
                                            HIVI NAVYO VILIKUWEPO
                                             YAANI HAPA NILICHOKA ILA SIKULALA JUST POZ 

11 comments:

Anonymous said...

Beautiful lakin jamani mnajiharibu na mikorogo. Sinta ulikuwa na weusi mzuri sana, ila umependeza kwani unaonekana kwa urahisi sasa

Anonymous said...

jamani anaesema huyu dada anatumia mkorogo nani?
hii ni make up jamani maana nilikutana nae mchana wajua kali akiwa hajapaka make up na hakuwa hivi

luv you PS

Anonymous said...

Unajua hata katika kipindi cha jahazi walisema mimininaungana na mchangiaji wa hapo mbele kuwa PS hatimii mkorogo ukukutana nae mchana yupo tofauti sana ila usiku kama malaika
keep it up love
we r behind you

SALAMA said...

nyc jamani na mimi naombeni niwe kwenye kamati yenu pls dada zangu najua nyie hamna mashauzi kama Demu fula anaanzia M..... Me nawapenda PLS PLS

Anonymous said...

jamani akitumia mkorogo asipotumia mwacheni kweni mnamdai..... mikorogo oyeeeeeeeeeee

sina makosa said...

hahahhahah anonymous unanichekesha hapo juuu..... haya wewe unayeomba ushoga utaweza wenzio wana mipesa na ma ATM kibao wewe utaweza?

SINTAH said...

SALAMA dear karibuni sana

kuwa na shoga na mtu haihitaji pesa wala mali ni upendo wa dhati
karibu salama unaweza ukanitumia no yako katika email hio na nikawapelekea wana kamati



SINTAH

ps said...

Dear Wadau wa PS BLOG na blog nyingine

mimi kwa ujumla situmii mkorogo kabisa mimi natumia my lotion ya TK
halafu ukikutana na mimi mchana na usiku ni tofauti besides nisiache kupaka foundation nikiogopwa kusemwa nimejichubua
sorry but it wont change anything kama najichubua sawa kama sijichubui sawa ukweli ninao mimi na my family
have fun
SINTAH

Anonymous said...

Sinta niliskia umeolewa are you still married? Tuwekee na picha ya shemeji tumjua bana!!!! DO you have kids? Otherwise mimi ni dada ninayekukubali kinoma na ndio maana I wanted to know more about your life.

kwa niaba ya said...

sinta ajaolewa na anaendesha maisha yake ya kila siku yeye mwenyewe nafikiri hayo ni maneno tu ya hapa na pale ya waswahili......

loveracheltz said...

karibu my dia sisi kamati yetu aina makuu ili mradi tu usiwe muongo lol na wala atuchagua kuwa na pesa wala kutokuwa na pesa mana muda wako ni thamani kubwa kwetu

ya waellc ome lol