HIVI JAMII HAIKEREKI NA MAMBO HAYA?
KATIKA HALI YA KAWAIDA SISI NI BINAADAMU NA HUWA TUNAJUA KUTOFAUTISHA
MAVAZI YA MCHANA NA USIKU SASA PALE MTU UNAPOTAFUTA STORI MPAKA
UNAAMUA KULIPUKA HUWA HAIPENDEZI
SWALI NI KWAMBA JE HUYU MUANDISHI WA HABARI HIZI ANGEKUWA MTOTO WAKE
WA KUMZAA NA ANGETOLEWA HIVI ANGEFURAHI?
JIBU LANGU NI USIMYOSHEE MTU KIDOLE NA WAKATI KINGINE KINAKUNYOOKEA.
BINAFSI MIMI SIKUPENDA WALIVYOTOA MAANA IMEFIKIA WAKATI WATU HAWATOKI MAANA WANAOGOPA CAMERA
16 comments:
dada blog yako ni nzuri sana hongera sana nilikuwa na swali wewe ndiye sintah uliyekuwa unaigiza zamani na cheni nadhani ilikuwa ktk kikundi cha kaole kama sikosei uliigiza kama mchumba wa dr.cheni na ukaekti kama kilema wa mguu mmoja unachechemaa naomba unijibu tadhali maana hii inanikafyuz ubarikiwe dada
hellow,
hongera kwa blog mamaa mwanamke kukaza buti na kuelimisha jamii.
hili la waandishi wa habari kwa kwel hata mm linanikera sana yaani m2 ukijulikana kdgo watakumulika na kukusingizia vitu kibao hata kama hujafanya yaani kidogo tu mara mlevi, mzinzi, muongeaji!!!! wakati wanajamii wengine wnafanya. kwa kweli waandishi wa habari wamezidisha kuwaonea watu maarufu. wapunguze na waseme ya ukweli na yakuelimisha si kisa maarufu basi asijambe au kukohoa si fresh!!!!
Nashukuru sana wapenzi kwa kulielewa hilo,maana mimi binafsi nakerwa sana na pia najua watu wengine wanakereka ma superstar ni watu wa kawaida sana hivyo wanatakiwa kuchukuliwa kama wazazi,na wanajamii
swali na kwanza dada yesi ni mimi Sintah unayemjua wewe
shukurani
PS
Je? ni haki wanawake kutembea nusu uchi? watajirekebisha vipi kama hawajaambiwa wamekosea, na wao wanahisi wako sahihi!! Hiyo ni kina ya kurekebisha tabia, wanawake tutambue nafasi zetu katika jamii! Wangapi zinatoka habari zao za sifa njema? bora wadhalilishwe watajirekebisha.
Un-touchable girl
Duuuh inatisha, hiyo ndio chachizo la kubakana, kinachosikitisha ni kuwa wanaotoa hiyo kachumbari kwa wabakaji sio wanaoathirika!
Nakushukuru mpendwa kwa blog yako hii yenye mafunzo, tuwe pamoja na karibu sana kwangu. Msemo wetu wa kiblog;TUPO PAMOJA DAIMA
Wakome,Sinta tena usiwatetee hao wakaa uchi matokeo yake nawe utajishushia heshima katika jamii, acha wadhalilishwe ili wakome
sinta ajawatetea bali ameongea kama yeye mwanamke amehisi amedhalilishwa huwezi kumpiga picha mtu akiwa uchiii impossible
Sintah says
mimi sijamtetea mtu pata picha umetoka kwenda out na kama tunavyojijua wadada tunapenda kujiachia sasa uphotolewe halafu kesho ujione unahisi itakuwaje?
mimi sikatai wafundishwe ila naona waandishi wamevuka mipaka watu wanaogopa hata kutoka maana siku hizi kuphotolewa si lazima uwe star mtu yoyote camera ikikupenda unaphotolewa
kwa kifupi siku hizi mji umechafuka sana jamani mambo yanatia kinyaa
ni mimi
PS
PS
mimi nakubaliana na wewe love waandishi wamezidi sana uzuri siku hizi mpenzi umetulia sana endelea hivyo hivyo kama nakuona viwanja vyako vya Kempiski,masaki huko huko
yaani sinta
you look amazing yaani wadau tuhamieni huku kwenye mambo ya jamii na tuondk=oke kule kwa wasagaj na wasenghe
i tend to disagree with you Sinta, kutoka toka lakini ndo utoke nusu uchi, why? mnona watu wakivaa kiheshima na akatoka wanapendeza na hakuna tatizo lolote.
siku hizi wadada wezangu wamezidi, its too much, hata kama tunaenda na wakati no imepitiliza mipaka jamani. huko kuharibika kwa dunia undhani chanzo ni nani? afu yatupasa tuelewe kuwa wanaume wenyewe tamaa yao ipo machoni akiona tu kesha changanyikiwa sasa kama huyo mdada hapo pichani akibakwa kuna atakaye mlalamikia wakati almost 95% ya mwili yake ipo nje, tena maeneo nyeti. afu useme waandishi wa habali wanakera, no they are doing their job and you people you give them a job to do.
tubadilike tuvae kwa kujiheshimu tuone kama hao waandishi watakuwa na picha za kutoa.
mimi kama mwanamke sio kwamba nina wivu no but i cant get out of my house like that, sababu dhamani yangu ni kubwa sana to be so cheap like that.
Nivyema kidada/wanawake tuvae vizuri au kujisitiri,lakini uneyesema kubakwa duhh maana dunia yaleo watu wanabaka hata watoto wadogo ambao wanavaa chupi za mkojo,sijui nao wanavutia?. ni wazo tuu.
Jamani tuangalie mavazi tunaovaa na yaendani na miili yetu. Huwezi kuwa saizi 18 afu unatinga kimini. Mimi pia mwanamke na napenda sana kuheshimiwa, na si kuwa sivai mini navaa ila ni zile za kishkaji si kuonyesha chupi na minyama uzembe. If you want to be respected then respect yourself. Mavazi yanachochea ubakaji kwani yana send signals za kuwa uko kimawindo zaidi even if you are not!!!
sawa na hongera kwa kuanzisha blog ili kuelimisha jamii. Lakini jamii tunayoiongelea haimaanishi tu wale wanaotoka jioni lakini pia watoto ambao ni taifa la kesho pia wanafaa kuelimishwa. Unapoona swala la nusu uchi ni sawa kwa kisingizio cha mwanao sijui vipi kama wewe ndo ungekuwa umeakaa uchi na kuwekewa kidoti chekundu. Tusijifariji kama anavyojifariji Bhoke wa BBA. ni upuuzi acheni hizoooooooooooooooo!!!!!!!
mdau wa june 17,2011 7:12, huyo binti aliyeweka kidole mdomoni hata size 12 havai, anavaa kati ya size 8 au 10 hata sisi tunashangaa hayo mapaja huyo mwandishi alivyo ya zoom, yote hayo aone vya ndani, but wat i can say it, whats goes around comes around, huyo ametoka usiku, ingekuwa mchana hapo sawa angeongea, wameishiwa habari hao
mdau wa june 18
asante sana kwa kutambua hilo yaani wameishiwa habari kabisa yaani umbo na stori tofauti
SINTAH
Post a Comment