Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

COMING SOON THE SPONSOR OF THE PS BLOG PROTEA OSTERBAY

                                                    uuuuw my sunday evening
                                                  Sintah
 
                                                   Outside pool zone
                                                          Fay posing
                                                         Saada ndani ya Protea ready for swmming

CHEREKO CHEREKO NDANI YA PS

YES WE CAN

FROM NEXT WEEK PS ITAKUWA IMEPATA SPONSOR WA UKWEEEEH

MATANGAZO YAKE YATARUSHWA,WATU WATAPATA OFA ZA KULA LUNCH,DINNER NA HATA KULALA

JAMANI EEEH MBUZI NI MBUZI HAWEZI KUWA SIMBAAAAH

PS 4EVER

WE LOVE YOU

SINTAH

12 comments:

Anonymous said...

umependeza tina...
its me tide aka mama two

SINTAH said...

TIDE
Mpenzi umepotea wewe thanks kwa kuwa unachek chek PS


SINTAH

Anonymous said...

jamani Sinta umependeza sana mammy yani nyie mnajua kula maisha wapenzi
hongereni keep it up

Anonymous said...

i can see you unavyozidi kuwa mrembo, and am still waiting my cake hehehehheehe utajuta kuniahidi

gee

Anonymous said...

warembo mtupeleke na sisi kwa jao masagoma

Anonymous said...

te tehe na wewe faiza unajiingiza kwenye makundi hayooo hahahhah mna vituko nyie... sada umepungua umependeza ila hilo tumbo kama unanyea umo umo

Anonymous said...

hahaaaa yaani huyo Faiza,anapenda kwenda kwa waganga jamani,mmmh na mwizi wa waume za watu ndi kazi yake sasa hapo mko na kubwa la maadui ambae ana PHD ya kuchuna PS mmh anawauzaje?poleni jamani,tafuteni kazi mfanye wanaume wameshawajua hamna soko hapa town

Anonymous said...

yaani Faiza anapenda kutoka ila hajui atokaje
Nargis kakushindwa ulitaka umwibie bwana
Sinta nakupa tahadhari kabla ya hatari USIMUONYESHE BWANA YAKO FAIZA

PS FOREVER
sinta usiibanie hii irushe hewani

Anonymous said...

hahahahaaa..uwiii..mbavu zangu! Maneno ya mkosaji bwana kaaz kwel kweli!! ehe huyo Nargis eti aibiwe bwana? bwana yupi sasa? yule aliyekuwa kula kulala kwao mpaka Nargis akamlipia nyumba ya kupanga ndo akahama? Na ni mwanaume gani wa kuibiwa mwenye makanyagio mabaya na machafu vile? hihihiiiii! what a wonderful world! chokozeni mnakokuweza, ila kwa hapo mmechemka! Faiza rocks, na ataendelea hivyo!!

Anonymous said...

Mi napenda watu wanaojitokeza kama hao! kama wewe unajiamini si upigwe picha na wewe? kutwa kwenda bar zisizo na viwango za michemsho ya bure na bia halafu wenzenu mkiwaona katika sehem za maana kinawauma!! weraaaaa

Anonymous said...

weraaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Mmmh,wanawake wa mjini mna mambo,haya kumnanga huyo bwana wa Nargis hata sie tuliokua hatuyajui tumeayjua,ila si tabia nzuri!!!ni upuuzi mtupu hata kuingia ktk hizi blogs,utoto umejaa!Ni leo mara ya kwanza lakini sijui km ntapita tena,ni kusemana tuuu,mkorogo,flani mzuri,flani mbaya,bwana ake kafanya hvi wa yule yuko vile,inahuu???