Hivi utawezaje kukabiliana na mawazo na hasa pale unayempenda ndio anakusababishia hivyo
keep it up
Hamida
Mwembe Dole
7 comments:
rachel
said...
jaman u hav to go out with ur friend and usimwambie kila mtu u9r problem dia cos sio wote wenye ushauri mzuriii... but tafuta mtu wako wa karibu u shee nae dia kila kitu kitakuwa pouwa
rachel you said mama ni ukweli kabisa sasa kama huyo sinta unamwandikia atakupa ushauri gani yeye mwenyewe ndoa imemshinda ndo atakushauri wewe kwenye uhusiano wako! kama ni muislam muombe mungu kwa dini yako akusaidie na sio kutangaza uhusiano wako una tatizo kwa kila mtu mama ni hayo tu kwa ushauri zaidi waweza ongea hata na ndugu yako au dada yako wa karibu kabisa
kwani uongo hukuolewa wewe sintah na mganda? wewe acha hizo yamekushinda na saa hivi unatafuta jinsi gani ya kurudi kwenye masikio ya watu na machoni kwa watu hahahaha unalo bibie, kubali yaishe uliolewa na yakakushinda ukamkimbia mume kwa umalaya uliozoea kweli kunguru hafugiki mweeeee haloooooooooooo hehehehe ndoa sio mchezo mama, ndoa yahitaji uvumilivu au ulitaka tu kuvaa gauni jeupe? mamama heheheh utajuta
umechemka eee bora ukubali ukweli hahaaha aibu lol embu jirekebishe kwanza urudi kwenye ndoa yako mama raha ya mwanamke kuolewa bwana asikwambie mtu, kwanza unaheshimika sio unakuwa kiruka njia kama wewe au ulikuwa unajaribu kuona inakuwaje hehehe pole weee, au ndo unatafuta umaarufu tena hahahha utaupata tu nakuona ushaanza kuingia na kwenye vyama vya mpira ili ujulikane tena
No comment sikujua kama inakuuma hayaa sasa ona picha zinazokuja mamito na jk ndani ya yanga mlimani cityyyyyyyyyy acha hizo ulizoona na Mama Karume na Yusuf jamani kinawachoma sannnnnnnnnnnnnnna,aliyepewa amepewa jamani hata mfanye nini yanga mbele nyuma haturudi

mmmmh nakushangaa wewe asha ngedere unaetuma msg haieleweki nahisi unawasha na sina la kukusaidia aliekwambia ndoa imenishinda nani?nani ulinifungisha wewe punda,na mtaendelea kubaki hivyo hivyo kwa roho mbaya kubali kushindwa mazafanta
kwani uongo hukuolewa wewe sintah na mganda? wewe acha hizo yamekushinda na saa hivi unatafuta jinsi gani ya kurudi kwenye masikio ya watu na machoni kwa watu hahahaha unalo bibie, kubali yaishe uliolewa na yakakushinda ukamkimbia mume kwa umalaya uliozoea kweli kunguru hafugiki mweeeee haloooooooooooo hehehehe ndoa sio mchezo mama, ndoa yahitaji uvumilivu au ulitaka tu kuvaa gauni jeupe? mamama heheheh utajuta
well said annotmous go on and do what is invisible to tha eye

Post a Comment