Paco deco |
stunning |
Jackie umependeza |
Jackie na matron Diva |
kiruuuuuuu kidoti loving |
team # Kidoti loving |
fundi Ally nakushukuru kwa yote |
heeee City Star hiiio chezeyaa kwa raha zangu |
City star boutique rocks |
Cute |
Angel na Mchichi |
mwanammmke somooo haswa akiwa na madini shingoni lolest masomo |
kwani kuna mtu ananidai hapa?? hapana,,,heee basi tunaendelea kula starehe kwa hela zetu |
pendezaaaa nyie |
Myler uraaaaah jicho hilo unamtega nani?? |
CEO wa Paco deco |
masomo wakitunza na khadija |
Unstoppable,j wake lo,Nothing but confidence sintalicious,sintalita,sintah,christine Jm uwiii bado kesho mengine |
Khadija umeniacha hoi etiii... ukija na jembe mjini shoga utalima lami,,,,, |
Vj jamani shoga yangu na mdomo huo aah nitaufinya Aisha saidia mie hapo |
nitakumisijeee Bea wangu ila Mungu atakurejesha Inshallah |
HAIR-DIDIE
DRESS-CITY STAR BOUTIQUE
39 comments:
nice,Sinta umependeza mno. much much much love from Cheras kuala lumpur
Umependeza mwaya.............
umetokelezea na kigaun chako sintalicious.mafund ndo walivyo waweza nuna ukapata presha bureee....,just enjoy life z too short
mmependeza saana,mungu awalinde na magubegube!!!
Nimependa dressing code hyoo,imewatoa sanaaaaa!!!!
umependeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kidoti hongera umebeba mpk mimba ya Diamond sio mchezo umemkoshea Wema.
mtoto mzuri sintah
UMEPENDENDEZA SINTA,,, MIMI NAOMBA NAMBA YA HAIRDRESSER WAKO PLIZ
samahani, anaemjua CEO wa paco deco anipe details zaidi...nasubiri
kitchen party pendeza sana! lolest, nimependa hako kadress sintah, for the first tyme , naomba nisikutusi leo, nipite kimyaaaaa!
eeeh mimba tena, kweli nimeamini ndege mjanja huwa ananasa kwenye tundu bovu
Kidoti kitumbo kimetangulia kifua, haya mama from USA to Osterbay sijui Kinondoni to Tandale!! Ndio maana jamaa anakazana kujenga nyumba iishe, lakini ujue wazi baada ya kuolewa wewe kuna nafasi 3 bado ziko wazi mke mwenza kwa Wamanyema ni lazima au ada!!
Kitchen party ilipendeza na biharusi alipendeza.
Mhh hao masomo mie yangu macho wengine waliolewa lini hapo? Wengine walivunja ndoa za watu, wengine kwao hata hakuna unyago! hebu nishut up my mouth!
hongera zake jack..tunamkaribisha musoma.
kwani mimba ni ugonjwa???????????
kigauni kama umefunga aproni nilidhani unataka kusave wageni mmmh mie kwangu nooo!
hahahhah bora umeona na wewe mdomo wa shogako lol utatia hasira huo tangu aambiwe ana Angelina jolie lips basi ni kashweshwe hata mie nngekuwa karibu yake ningeufinya hadi aache mwambie atafute pozi jingine la mdomo au Diamond ndio kamwambia anapenda hivyo lol salale wanawake tunavijimambo siye
Ha ha ha ha ha ha Sintah sijawahi ku comment humu ndani lakini leo umenichekesha sana ulivyosema fundi kakwambia mkutane Jumanne!
Ha ha mimba tena kidoti yani sipati picha huyo mtoto atafanana na nani manake akifanana na BABA uwiiii, sinta umependeza ila hizo ngoko miguuni ilikuwaje manake goti ka rungu.
shoga umechemka kama umejazwa na mimba na mtoto mdogo huyo au kakubwa kamekomaa labada hehehehe
cha ajabu kipi jokate kupata mimba jaman si mwanamke mwacheni azae ,sintah umependeza sana mumy jokate pia umefunika ni mimi kipilinginyi mwanza bahati upo hapo
na kwa nini ufanye vitu paka last mins ungempa muda fundi angeishona vizuri , mmmm kidoti kakupita urefu?
Mimba?! Mdau uliesema maswala ya mimba ya kidoti ebu rudi utudadavulie tafazali
Well
you look fabolous darlinng.pendezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.watasonyajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ati mjichane kwa hela zenu kitchen party mmelilia mwaliko mfyuuuuuuu
Mummy Sintah, you looks Mwaaa!!!! umependeza my dear yaani ni more than kupendeza, hapana chezea wewe sintaaaa umetishaaaaa!
ZAAA kidoti ndo mwanaume utamjua utamu wake .Utamtafuta kona zote na baby carriage . Hapo bi sanura nae karaha mpaka na ukitaka raha wahonge wote bwana na mkwe ndo angalau uapata wakukuliwaza huyo bwana akiwa anpiga mziki . Sinta cream magotini unasahau . na usikatize miguu siunajua NOTHING BUT CONFIDENVE
KIDOTI USIPUTE SANA MDOMO MBELE WE NAWE WAACHIE WEMYEWE WENYE MIDOMO YA KUNYONYWA NA MIDOMO YAO AU NENDA KAUCHOME SINDANO TU UFANANE NA WA HUYO UNAIMWIGILIZA .
simpaka kahaba bubu joketi akae na hiyo mimba ataenda kuichomoa fasta anavyopenda kuonekana mtakatifu kumbe malaya mbovu
mumependezea uwiiiiiiiiii kidoti ndo hivyo vikao vilivyoanza ni vya baby shower au maana mh! yangu macho kukodolea mablog haki ya nani umbea mzigo nitafuatilia mpk nijue una mimba au lah ila hiyo mimba labda ukatoe hata ndoa bado bania hii sinta ila ukishasoma mpe huyo........... mwenzio leo ctaki kukutukana hadharani kwa sababu umependeza sana.
i like everything..big up jacky!
Sinta and kidoti you look fabilous ....
Nyie mnaosema kidoti ana mimba mmepa nyie?
Umbea tuu...
Umbea gani? Mwanamke mwenye mimba anajulikana tu, huyo tayari kitumbo ndii chezea maharage ya Kigoma. Mwache mwaya azae amkomoe Wema na auntie Eze, kwi kwi kwii!!
Wee unaebisha kaangalie picha zake kwa Dida, nenda global kule ziko za Uchumi birthday, halafu imemchusha usoni; mtazame hapo post za nyuma alivyokuwa flat, sasa hivi kitumbo mbele kama sio model!! Dada mwanaume wa kiswahili raha yake uzae nae si umeona mwenzio Beyonce kazaa!!
Sinta aliyekutengeneza nywele kakupatia sana ....umependeza.
Sinta aliyekutengeneza nywele kakupatia sana ....umependeza.
kijiwe kimenoga ngoja nikachukue maji narudi!!
Sitanta mpenzi mie nakuambia tu kwa upendo sina ubaya wowote ila punguza sasa mkorogo usoni ameshia mikonani na miguuzi maana uso umeng'aa kuliko mwili sio fresh....ungeacha uso kwa wiki kama mbili hivi halafu ukoroge miguu na mikono na sehemu nyinginezo mwilini. wooooote mme toka bomba sana. Bibi harusi juu juu juu juu sana!!!
We anonymus ''July 10, 2012 3:25 AM'' utasutwa mwanamke ...hata kama ana mimba inakuhusu nini? ni mwanamke kama wengine so acheni kimbelembele.ulitaka ufanywe wewe ndo upate hiyo mimba???
mfyuuuuuu kukalia ya watuu ndo mana hamuendeli ...ni maamuzi yake kubeba mimba muacheni nyoko zenu
Post a Comment