Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

CHANNEL O REPRESENTATIVE IN TANZANIA

Nanaaaa naaaah eeeh
Ch O Vjs
daaaah watu tumetoka mbali sana
mnatuona ona tuu sasa
my BFF
nakupendajee
Kidoti fashions jumamosi hii
itamtoa Diamond chicha
tunawakilisha Kidoti fashions baby


usikose kuangalia Ch 0 kila siku ya ijumaa saa nne usiku na jumamosi saa tatu na nusu usiku ,katika kipindi cha o news, na yeye mwenyewe Jokate wa kidoti wamuachee miaka mia nane (kwa wale wenye Dstv).

43 comments:

Anonymous said...

ulivyo mzee na unaambatana na watoto wadogo ovyoooo

Anonymous said...

mmetoka mbali wapi,we mzee 37yrs huyo mototo umetokanae mbali wap? au milima ya Upareni

Anonymous said...

Kidoti juuu, najua leo patakuwa hapatoshi hapa kisa umemuweka jokate, hata hivyo I love u all prettysintah, Jocate, Wema, na CEO.

Anonymous said...

mwizi tu huyo kidoti hivi hata haya hana huyo kidoti loh! haujisikii hata vibaya kumuibia mwenzio leo unaonekana hivi na diomond wabongo noma

Anonymous said...

Mmmh na ulivokomaa,jiangalie sura yako kwenye kioo utajiona ulivochunda na mkorogo! Pyuuuuuu!

Anonymous said...

ha ha ha ha ha ha jaman muacheni jokate wa watu na diamond wake nyie inawahusu nini hongera sana jokate mimi nakukubali wewe na jlo na diamond ni mimi kipilinginyi mwanza mti wenye matunda ndo unapigwa mawe

Anonymous said...

NYOKO ZENU KIDOTI NA WEWE SINTAH..MSUNYOOOO

Anonymous said...

ovyooo,mfyuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

PSPA holder, jokate mwegilo. we mtoto hiyo kozi ulienda choo cha kike mpaka leo huna ajira maalumu. modeling na pspa wapi na wapi. ungeendaga FPA. ila we mzuri tatizo tu maziwa madogo, halafu we mnatoo

Anonymous said...

Wabongo noma nini na nyie wivu utawaua..!! sasa mlitaka Diamond atoke na nyie? Hovyoo kusema watu tu mbona nyie mlishabadili wapenzi 20 kidogo? mnanikera sana kumuandama Jokate mtajibeba mwaka huu ndo kwanza wanazidi kupendana

Anonymous said...

Mwanaume huwa haibwi wajameni, tatizo mnakurupuka kutoa lawama tu wakati hamjui Wema alianza kukinukisha lini mpaka Diamond akaamua kutoka na mtoto mzuri Jokate.
Waacheni wale raha miaka mia naneeeeeeeee!!!!!

Anonymous said...

Wezi wakubwa nyie

Anonymous said...

jamani chamtu mavi! ila mapenzi kizungumkuti! leo yupo kwako kesho kwa mwenzio, ujitumaji wako tu! chezea chini wewe!

Anonymous said...

KHA! ETI UMETOKA NAYE MBALI, MBALI WAPI WE KIFURUBWIDO?? AU KIMALAYA ZAIDI, MFYUUUUUUUUUUU! HEBU TUTOKEE HAPA!

Anonymous said...

haya bhana!!

Anonymous said...

Nyinyi wote mnaomwita kidoti mwizi nyie ndo wezi namba one mbona hamumtukani Uwoya na yeye pia anahistoria ya uwizi wa waume za watu. hiyo ni chuki binafsi jamani. Wema hakuwa kwenye ndoa it was just a relationship. Nyie mmeibia wenzenu waume mara ngapi? Shame on you. Kama imekuuma inakuhusu kama haijakuuma we si mwizi.

Anonymous said...

napita tu ila na jambo nani alisema binadamu anaibiwa??????????? kuweni na akili wanawake wenzangu mwanamme akikukimbia kwa ufala wako eti nimeibiwa? lo! shoga halafu siku hizi waliokimbiwa na waume zao shurti kukaaa kimyaaaaa tena kimyaaa ukisema wenzako wasomi watakucheka! siona unaona ceo sinta kakaaa kimya???????????????? Akili kumkichwa bibi heheheeeyaaaaaa wapi mama dd!!

kay said...

hongera jokate,kazi mbele majungu nyuma.

Anonymous said...

haswaa bibi mwanaume haibiwi bali ni yeye mwenyewe ndiyo anae amua hivyo, na mara nyingi mwanamme ndiyo anaeanza kumtaka mwanamke leo kwann Kidoti aitwe mwizi? hebu ilo nalo tuliangalie jameni!!!!

Anonymous said...

KWA KWELI MARA ZOTE NIPO TOFAUTI NA SINTAH, LAKINI KATIKA HILI HAPANA. SIO YEYE KAMA RAFIKI WALA KIDOTI MWENYEWE KAMA MPENZI WA DIAMOND ANAESTAHILI LAWAMA, NAOMBA MFAHAMU KWAMBA KIDOTI NI MWANAMKE KAMA WANAWAKE WENGINE, HIVYO HAWEZI KUMWAMBIA DIAMOND KWAMBA SIKUTAKI SABABU UPO NA WEMA, HAKUNA HIYO, NA HILI NENO LA MWIZI WA WAUME ZA WATU LIKOME, HIVI HUYO WEMA MWENYE SURA KAMA OLD BAGAMOYO ROAD, ALIOLEWA LINI? NA KABLA HAMJAMSHUKIA KIDOTI NAOMBA MUANZE NA ALIETOKA NA KANUMBA BAADA YA KUACHANA NA WEMA, ALIETOKA NA CHARLES BABA BAADA KUACHANA NA WEMA, NA ALIETOKA NA JUMBE BAADA YA KUACHANA NA WEMA. HUYO WEMA WENU ANA MATATIZO MAKUBWA YANAYOMFANYA ASIDUMU KATIKA MAHUSIANO. HIVI WOTE HAO NI WAKOROFI? AACHE UMALAYA! ALIHOJIWA KATIKA MSIBA WA KANUMBA AKASEMA WALIKUA BADO WAPENZI KWA SIRI SABABU KILA MTU ALIKUA NA MTU WAKE, NA KIPINDI HICHO YEYE ALIKUA NA DIAMOND, KAMA SI USALITI KITU GANI? UKIMWI UNAKUNGOJA WEMA.

Anonymous said...

Kwani uzee ndio nini kama mnaelewana ni poa tu

Anonymous said...

wote mmekutana malaya wakike na wakiume hakuna mwenye afadhali kati yenu

Anonymous said...

they say "never trust a woman even if she is dead"... though i used to ignore this phrase but i clearly now start to understand it and get its meaning... ooh Diamond is too cheap.. blah blah... then at last every thing turn out to be true.. to be honest i never expected this from you.. Kidoti!!! a girl that i used to admire the most....

Anonymous said...

Malipo huwa hapa hapa duniani, aliyevunja uchumba wa watu zamu yake ikifika itavunjwa ndoa yake kabisa ili na yeye asikie utamu wake. Mie namuombea aolewe na Diamond kabisa ili akamkomeshe mama yake na Diamond yule Bi Sandra maana Wema alikuwa mpole sana alikuwa anamuonea sasa Mungu kampa huyo mkwe mcharuko wallahi huyo mama Di atamfulia mpaka nguo zake za ndani nini kumpikia. Atageuka yeye ndie housigeli, yaya na dobi pia.

Na jinsi Kidoti alivyo hata zile safari za Bi Sandra kumfuata Diamond kwenye shows siku hizi kwishnehi Kila mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba.

Anonymous said...

nice px--

wa ukweliiiiij said...

Hehehe haloooo mdau nimekukusoma hapo juu

Anonymous said...

We ANONIM... SAID UNACHEKESHA UKIMWI UTAUPATA WEWE AU WANGEUPATA WANAOJIUZA MAGOT SIO HUYO UNAEMUOMBEA .MUOMBA MVUA IMEMYESHEA KAA MWANAMKE KWELI IWEKE COMMENT YANGU NYINGINE HUJAZIWEKA .UNAKERWAJE???+WEWE UNAO .KIDOT ANGETONGOZWA BARABARAN WALA SI AJABU ILA WANATENGENEZA MZIKI ANALALWAHUO SI UHAYAWAN KIDOTI NANI NAE MSIHESABU MABWANA WA WEMA KILA NYANI ATAZAME K....NDU LAKE MIE KIDOT ALIKUA SHOST WANGU BWANA ANGU AKANAMBIA ANAJISHAUA NIKAACHA USHOGA NAE .SIAHADITHIA NA HILO HUYO SINTA NAO ALIKWENA NA WANGAPI .NEXT TIME NTAWATAJA MDOGO WAKE J

Anonymous said...

wema juuuuuuuuuu we love u sinta kii bibi kidoti mwizi tafuta wako

Anonymous said...

picha za kidoti nzuri

Anonymous said...

uu m bora ena mkede uu

Anonymous said...

Sintah ulituwekea story za shoga yako Jack wolper mara anachukuliwa bwana mara gari ni mali yake je kwann hujatuwekea mwendelezo wa story kwamba gari limechukuliwa najua utabania

Anonymous said...

NA WAPENDANE WATAJIJUUUUU: ILA LIJULIKANAKO KIDOTI MAJI MARA MOJA MAHARAGE YA MBEYA HAYO: MIE NA SINA UMAAARUFU HUO WALONAO LAKINI SIKO CHEAP.INANITISHA SANA KILA NIKIFIKIRIA USIKU NINA LIA MASTAA WAMEGEUKA SAMAKI WALALANA WAO KWA WAO MTAKUFAJEEEEEEE? S

Anonymous said...

kidoti juuuuuuuu mwanamke nature bt wema mchina jmn kwi kwi kwi kwi kwi

Anonymous said...

kidoti acha kumsumbua mme wangu nikikukamata nakuharibu sura

Anonymous said...

jokate kidoti juuuuuu, mwacheni cute baby wa watu mmekazana mwizi mwizi uyo wema angekua msafi asingefumaniwa na diamond siku tatu baada ya kuvalishwa pete,diamond nae binadam eeh alichoshwa akahitaji pumziko kalipata kwa mtoto mrito juu, uyo wema ajikoboe tu hadi kisimi na atangaze madeni yake kutafuta gia ya kupata wa kumlipia kidoti piga zako kazi

Anonymous said...

Hongera Bi aunty nasikia shogako tayari kishanasa kwa hiyo harusi inapangwa ifanyike fasta fasta! lol!

Hebu tuwekee picha zake za sasa hivi tumuone kweli kama ni mja mzito au mja mwepesi, maana hizi zote ulizoweka ni za zamani na nyingine zimefanyiwa photoshop. Kwani siku hizi huna camera mpaka unaweka post za picha za mwaka 47 ambazo ulishawahi kutuwekea? Nimemuona mahali kijitumbo kishaanza kujitokeza ooh kwaya tena basi itakuwa mwendo wa msikitini tu sasa!!lol! Mjini kuna mambo na vijimambo!!!!!

Anonymous said...

There goes my gal,Love u Kidoti,Sinta but more my one & only Wema!!

Expected millioner...

Anonymous said...

mmmh mujin kuna mambo

Anonymous said...

jamani ninani huyo alienasa naomba kumjua tafadhali and thats good news!!!

Anonymous said...

prety Sinta ukojuu kinomanomaaa!!endelea kuuthabarisha, halafu wenye roho za kwanini wakajiphangee!!!!

Anonymous said...

Kama ukimwi ni chain yote si wema tu na wote waliokuwa si waaminifu.wakipewa hela wampe mtu zitafika lakini mwanamme wa mtu lazima mpige pumbu,nyokooooo pumbavu mkubwa

Anonymous said...

mwe mwe mwe, kidoto, sinta and diamont.haya ni maneno tuu nyie chapeni kazi me nawapa big gig up huko.lisongesheni wasemao wataishia comments mbaya mbele maendeleo nyuma.

Anonymous said...

Natamani ingekuwa fb nilike baadhi ya comment, mwe!