Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

FARIDA'S KITCHEN PARTY @ JB BELMONT

Nothing but Confidence
mti wenye matunda ndio
unaopendwa na kupigwa mawe
Didie tena huwa hakosei na nywele
bibi harus na matron wake
Pretty Ladies rock
kwa raha zetu 
sisi ndio sisi
Monica huwa hakosei na keki bwana
utake usitake lazima ule 
upendo na amani
Mc Magongo nawe kipande hicho
cabbage zilijaa na nyanya hapo
hii diet kiboko
Unstoppable
Almighty God without u,
am nothing
kumbe bibi harusi yumoooo
I don care if anyone doesn't like me
i was not born in this world to
entertain everyone.
friends 
j wake Lo
tunakupenda Vivian.

50 comments:

Anonymous said...

UMEPENDEZA SINTAH,SASA HUYO ANAYEKUSHAURI JINSI YA KUVAA NA MAKEUP AND HAIR KWA SASA USIMUACHE.UME IMPROVE SAANA KWA SASA!HONGERA

Anonymous said...

umependeza sana sinta,, miguu mizuri leo umenilosha kuiachia miguu i relax. funika mbaya

Stellah. N. said...

cjawahi kucomment kwenye hii blog, NASEMA HIVI UMETOKELEZEA ILE MBAYA SINTAH, watakaoponda watakuwa na lao

galfrend wa biba said...

hhahahhahahahah english course pliz

Anonymous said...

hakika my dia sasa nadhan comment zinakusaidia kubadilika maana unatokelezeaje umependeeeeeeeeeza myn wapi j wake lo wakibongo aka kiduchuu mwenzio kidoti ww kiduchu chezeya nyie. sintaliiiiiiiiiiiii!

sarah joel said...

woow mate umependeza ile mbaya best...umefunika wooote...u look mwaaah.

Anonymous said...

Sina umefunika mbaya hongera saana bi dada!!!!

Anonymous said...

leo umependeza mwaya

Anonymous said...

umepungua vizuri sana usiache diet

Anonymous said...

PRETY SINTA

galfrend wa biba said...

hereni umerudia hizooo

Anonymous said...

make up mwaaaaaa,na wewe mwenyewe umependeza

Anonymous said...

UMEPENDEZA SANA KWAKWELI,,WOTE MLIPENDEZA HONGERA SINTAH

Anonymous said...

Nice dress sintah,hair poa

Anonymous said...

Beaaaaaaaaach

Anonymous said...

wewe ni mrembo sana, hakika umevutia

Anonymous said...

cute

Anonymous said...

I lyk ur hair style ,u look hot which saloon i want to go toooo

Anonymous said...

UMEPENDEZA SN PRETTY SINTA YAN ATAKAEKUPONDA LEO HUYO ATAKUWA NA ROHO YA QUININI, EVERYTHING IS ON POINT, LOVE U SINTA, MDAU ULOSEMA SINTA KARUDIA HERENI NADHANI KURUDIA N KAWAIDA TU HAIWEZEKEN UNUNUE K2 ULICHOKPENDA THEN UVAE X 1 ALAF UTUPE THAT'S IMPOSSIBLE

Anonymous said...

Naomba number ya Fadhili matambi Sinta nasikia mgodi umetema

Anonymous said...

SINTA UMEPUNGUA VIZURI UMEPENDEZA TUPE SIRI YA HY DIET JAMANI,UCWE MCHOYO WA MAMBO KM HAYOO..

Disminder orig baby said...

asante mkorogo jamani loh

Anonymous said...

Tokelezea ile mbaya leo watajibeba J wake L

Anonymous said...

Pendeza sana ila namuomba Mungu iwe hiyo ni makeup tu isije ukawa nawe umeanza yale mambo ya Wema kujichubaua mara carolite sijui Obagi nk

Anonymous said...

Pendeza sana Sintah huwa nakupondaga ila leo kwakweli nikikuponda nitakuwa mnafiki nami sitaki niwe mnafiki umefunika mbaya endeleza libeneka my dear lipstick on point hair on point makeup on point dress on point mkorogo on point pia ishia hapo hapo usiongeze carolitte. diet naona inaendelea vizuri kaza buti endelea na hayo macabbage na manyanya mabichi. sasa bi harusi mtarajiwa samahani lakini sijapenda makeup yake na dress bora ungempeleka kwa makeup artist wako au siyo best yako sana sintah? anyways na kitambaa cha nguo yake sijapenda kwa ufupi naona waalikwa wamemfunika sorry to say ingawa katoa kitambaa tofauti. hope you guys had fab time. jamani huyo rafiki yako Nargis nampendajee sasa she never over do kuvaa she dress simple elegant yet sexy. love her mwaaaa ya shavuni to her

Anonymous said...

u look so sex mamitooo, kingine umeona ulivojiachia ukatokelezea? usipende kujibana bana miguu ww ni mzuri sintah usimwogope mtu

Anonymous said...

kawaida saana, af nawe unamwambia mwenzako karudia hereni,we unavaa af unatupa?? Kwa maisha gan? Haya haya yetu yakitanzania?? Ovyoo!

Anonymous said...

To Much makeup mpaka umekuwa kama stachu atlist leo umependeza pendeza ila hyo poda sijuwi nini umejinwagia na si kujipaka.

Anonymous said...

Naskia hando anatarajia kufunga ndoa, imekuaje tena? si tuliona kwenye udaku umejitangaza kuwa ni wako?

Anonymous said...

Ahh leo shost umenoga!!

Anonymous said...

umependezajeeeee?

Anonymous said...

looking cute saaana sinta....nargis mshauri abadilishe hairstyle jamani kila sehem kimchicha nyuma tuuuu, let her try different styles na hivi nywele maashallah ataonekana tofauti...sawa ndoa inabana na nini na nini na nini..ila mm penda sana nargis. mwsho wa kunukuu

Anonymous said...

Hata mie nakupondaga ila leo umeniziba mdomo.

Ila umejichubua kama yule Miss tz mwenye mwanya. Rangi yako ya zamani ilikua safi sana kwa kweli jamani

Mnachukiza RANGI ya Carolite na kuzidisha maPOUDA

Anonymous said...

umetokelezea Sintah!!

Anonymous said...

dah nargis angekua ni yule wa kujicomplicate na maurembo cjui angewafunikaje wadada wa mjini, maana always yupo simple lakini anawafunika vibaya yani hongera zake,
unstoppable leo dole gumba mia mia umetokelezea kiukweli

Anonymous said...

mtu angeponda ulivyo pendeza leo ningemshangaa saana!!

Anonymous said...

JMN MBONA HATUWEKEI STORY YA WOLPER KUKAMATWA NA MAJEMBE KUHUSU GARI YAKE????????????????????

Anonymous said...

Hello lady.I don't know u and it does not matter what others think of u. But I just need to tell u that u r looking superfabulous and flawless my lady.

Anonymous said...

Hando tena????ddduh si ananiliu yule eeeh haya weeeh *can't watch*

Anonymous said...

Umebahatisha dah!! Kwenye kupendeza tunasifia bana ukichemka tunakupaka tu alah!

Anonymous said...

umependeza prety wangu,me love you to bits..xxx

Anonymous said...

Sinta , today you have real impressed me!

You look simple,elegant and yet beautiful...

I must say your amazing and stuning, the makeup and lipstick are superub..

Maintain your stylist designer who advises you on the outfit choice and selection..

As always ,my love for you is endless....

From, expected young millioner (eym)

Anonymous said...

sintah leo umependeza sana, nguo, hair do, make up everything is perfect congrats...but vijembe mama mbona hujiamini...!!???

Sweet baby said...

OMG! Babes u look so pretty! Xxxx

Anonymous said...

jaman mmependeza ila bi'harus daah kaniangusha hyo rangi atleast angechanganya rangi ingevutia zaid.ila jaman nargis ni mzur nampenda sna na angekua anachetuka kma hao wanaojiona wa mjin dah angewafunika mbaya ila nashukuru anajiheshim na anajitambua hivyo hawez kujishushia P yake always simple bt classy.

Anonymous said...

Sinta na fadhili matambi?? we unaetaka namba ya fadhili matambi muombe mh.catherine magige ni mzazi mwenzie!! Atakupa tu maana hana kazi nae tena. Siku hizi yuko juuuuu. Matambi anaweza kuhudumia vogue???

Anonymous said...

kwa kweli sijahi kuchangia hii blog ya huyuy dada anayejiita jlo iwe kwa baya au zuri lakini leo uzalendo umenishinda kusema la ukweli umependeza sana haswa usoni karolaiti imekubali usizidishe tena imetosha na kichwani hilo wigi limekutoa sana huyu anaekuremba kwa sasa anakutendea haki usimwache big up

Anonymous said...

hatetrs u will never accomplish even half of ur life who careees whatever she puts on z fake or original she works hard to look the way she looks atlest show sm appriciation coz i knw one princpal mwenye kitu huongezewaaaa na asienacho hunyang'anywaaaaa ?¡Keep it up my girl nothing but confidence at the end of their lf they hav done nothin than hating enjoy ya life beutiful one we gat ur back naeln

Anonymous said...

hicho kimshono simple na ulipendeza san! kwa kweli ulitoka mpendwa

Anonymous said...

PENDEZA SANA MUMMIE, WAKUACHEEEE UKO JUUUUUUUU SAFI SANA NA KAMPANI YAKO, MSALIMIE KIDOTI, NARGIS MAMA UR SO GUD YAANI NAMPENDAGA SHE'S SIMPLE LAKINI SO SEXY.....MPE HI KUUUUUUUBWA.