Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NEW ARRIVAL, NEW ARRIVAL J&M VIRGO

Sintah anajishebedua na Virgo


Aiseeeee ni J&M Virgo
mali mpya ktk kwa mzee Obama
 na haijapita sheshushiii
kumbe nguo ndefu zunanitoa

chezea toto la kipare na
J&M virgo
wakati mwingine miburuzo
inahusika
nguo zetu ni bomba
fika dukani kwetu
kwa raha zangu

hata ma bibi harusi wanavaa
 hii ktk send off/kitchen party
 nimetoka chicha na J&M Virgo


Haluuuuu si mmemuona j wake lo amenogajeee na nguo ndefu??yeye alipenda tuu abadilike ila hata fupi zipo za kukunogesha na wewe,fika dukani kwetu  Mikocheni  kwa warioba C&G plaza. 


Mobile:0715 534530
AU
        : 0754 534530


au utatupata katika blogspot yetu : www.jm-virgo.blogspot.com
KARIBUNI

22 comments:

Anonymous said...

umependeza sana hasa na ya silver glitter na black na hiyo ndefu yenye bega moja..yani fanya uzinunue..nguo nzuri mpe hongera mishy..

Stellah. N. said...

nguo zimekutoa kweli, fanya uzinunue sintah!

Anonymous said...

Hi sintah
Umependeza mwaya mwaaaaaaaah meniipenda hiyo gauni picha ya tatu its like orange or gold colour ..let me contact them.
cheers
Mdau arusha

Anonymous said...

UMEPENDEZA MAMIMTO SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA FANYA UNUNUE.

Anonymous said...

You lookk amaizing Darling muahhh...

Anonymous said...

yaani Prety hiyo ya silver na black uciache imekupendeza sana,yaani mtu ukiwa mzuri nguo yoyote ukivaa ina kupendeza yu rock my dear!!

Anonymous said...

yan pretty sintah naomba fanya ununue hyo nguo black&silver na hyo ya orange zimekutoa mbayaa. LOVE U PRETTY

J.

Anonymous said...

you luk great madam.........

Anonymous said...

I didn't know that you are sooo cute kama hivi, i normally visit your blog na kukaa kimya but leo, let me say that you real have confidence na wewe ni mzuri sana. usiache haters wakusumbue kwa kukuambia kuwa you are not beautiful. hasa ukivaa nguo za kujisitiri na ndefu. mwaaaa

Anonymous said...

ni kweli nguo ndefu zinakupendeza ila fupi hapana kwakweli unakuwa kituko....

Anonymous said...

ungejua nguo ndefu unapendeza sana kuliko fupi nadhani ungevaa ndefu kila siku umechek hilo gauni jeusi ulivyoteka so sexy

Anonymous said...

Nikificha ukweli utakuwa ni wivu, japo unanikera unamasifa sn ila kwa leo shosti umependeza sn.Na week hii naona kila unachovaa wapendeza na camera yk ss ni nzuri sn.

Anonymous said...

Unafaa kuwa model mpenzi. Upo juu yao saana.

Anonymous said...

haaa!sintah atakayesema vibaya kuhusu hapo basi ana kisa na wewe,umependeza sana hebu nunua hizo nguo zote hapo aiseee.you look beuty

Anonymous said...

today let me say something even some time unaniboa u look so mwaaa nguo ndefu ndio chaguo lako hizo zingine achana nazo kabisa,ujue ukiwa mzuri ukivaa ovyo unakua mbaya hiyo nguo nyeusi usiiache kabisa seriou,can u give me the price of that dress

Anonymous said...

pendeza mbayaaaaaaaa

Anonymous said...

pendeza sana

Anonymous said...

sijawai ku comment ila take it from me, nguo ndefu ndio zinakupendeza , unaonekana mzuri, classy na innocent, so punguza vipeperushi vinakufanya uonekane kicheche wa uswahilini

Anonymous said...

where is my cute girl Hamissa.. she is the true definition of beautiful girl.. she would fit nicely in all the dress... though you look good too Sintah!!!!

Anonymous said...

acha kuvaa nguo fupi.. anza kuvaa ndefu kama hiyo ya orange imekutoa ukiwa na pesa inunue kama huna usilazimishe kua nayo.

Anonymous said...

Hee nyie mmeonyeshwa nguo mnunue mnakamzania mwenzenu ndio anunue, sasa mamodel wote wangekuwa wananunua nguo wanazimodel basi. Mnataka mwenzenu amalizie mshahara wake wote kwenye gauni moja?

Anonymous said...

weka bei basi shost ilkama ni hela ndefu basi tuanze kuzichanga taratibu si wenye pesa za mawazo!!