Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

BEACH ZA MCHANGA ZINAUZWA KIGAMBONI.

Eneo halihusiki na mradi wa mji mpya,
Heka 10 zenye hati 600mil


Heka  3 zenye hati  400mil


Heka 2 zenye ofa ya manispaa mil 200


Heka 3 karibu na bamba beach mil 400


Heka 2 beach namba 2 mil 200


na kipande cha heka 4 dar es salaam zoo mil 35.
kwa mawasiliano zaidi piga simu,  0652 -020343 au 0713 985907.

3 comments:

Anonymous said...

hayaa nyiee visorokwinyo mnaujua kukomment mbona hapa siwaoni,nawasubir kwa hamu,haha mambo ya fedha haya mmekua wadogo,,,, nyoko mtakufa mkiwa mmechuchumaa.


mdau arusha.

Anonymous said...

asante sana kwa kututukana tunao coment humu lakini nawe huku tia coment yako toka ilipo wekwa mpaka leo kwahiyo tuko pamoja!!

Anonymous said...

hujakosea kuwatukana mdau wa arusha, watu apa wanajifanya wanajua kukoment, kutoa watu kasoro, na matusi juu! kwenye bei za viwanja wamekua kimyaa, kumbe mkitukanwa nyinyi inauma ehh! Mkuki kwa nguruwe.