may not be where i need to be, but thank God I'm not where i used to be |
Unstoppable i live my life to the fullest i don't let anyone get in my way lolest |
i have got low tolerance for stupidity |
Beautiful Onyinye |
before u point ure fingers @someone make sure your hands are clean |
when people criticize you, it also means they're paying attention |
Every saint has a past and every sinner has a future.DON'T JUDGE. |
picha tatu za mwanzo ni kwa hisani ya BBM thanks Dorah.
Weekend njema wapendwa wangu,
WEEKEND MESSAGE
follow your heart life is too short to be impressing everyone.
CIAO
65 comments:
Usiinyooshe kidole!! mbona ndio mchezo wako humu kijiweni na kushadadia mabwana za watu.
Mwili kama pipa
Kama pilipili hoho,kiuno sikioni tehtehteh
Vipaja vya kiutu uzima hahaha
Kiachie hicho kitumbo hapo unakificha na mkono nini,cha utu uzima ama cha kuchoropoa mimba hicho,ukibania umeisoma tayari heheYaaaaa
Bora mwaya,manake enzi za ukahaba noumah tungekuwa tushakusahau
Bora mwaya,manake enzi zile za ukahaba noumah,mshukuru sana mungu!
Bwahahahahahahahahahaha
Biashara matangazo
Achia mtumbo huo kwikwikwikwikwi
Nimepaliwa na maji
ijumaa kareem na kwako pia
bibie sinta,umeolewa au kuchumbiwa,naona kama una pete kwenye kidole kinachostahiki kuvalishwa pete,kama ni hivyo hongera
AMNA COMMENT?
Hahaaaaaaaah shape kushne ..m.mungu angekupa hata vihips vya kuvaa mbano sijui ingekuaje na hayo mashauzi yako....sijui ukiwa uchi unafananaje na shape Iyo lazima uzime taa aaaaaaahhh isome kimyakimya najua hutaa iweka mama diplomatic mpiga kelele kwenye radio
mh hizo nywele hazijakupendeza mpenz wangu.
Hii rangi ya wigi lako haijakupendeza hata!
Sijawahi kukusifia but today u look beautiful with that hair na naona hapo ni kwa Joyce salon huwa habahatishi ...Hiyo style alikuwa pia anamfanyia lulu inamtoa sana
We malaya tu, utachosema unajikosha lakini wee ni malaya mpevu. sura kama mkundu wa chawa
jamani jamani nimeumwa mbavuuuuu uwiii hebu toa hilo wigi
na wewe ili uwe mfano bora acha kusema watu iga mfano wa mama uturn hana majungu dadangu yule kutwa mnamsema yeye kimya,NA WEWE CHRISTINA MANOGI ACHA KUMSEMA WEMA SEPETU JENGA MAISHA YAKO KWA JINA LAKO CO YA WENGINE msg sent n delivered up to u!!!!!
umependeza kidogo mwaya sinta, taratibu utafika, endelea kujikongoja
BAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
KAMA NINI SIJUI, RUDI KWA JUMA NATURE UKAMUOMBE MSAMAHA, NDO MLIOKUA MNAENDANA, HUKU KWINGINE HAPANA HAPAKUFAI KABISA
jamani wapendwa naombeni mnielekeze na mie huko kwa joyce salon nikaweke weaving yangu...tafadhali...
MSHAKUWA WATU WAZIMA FANYENI KAZI . KUTWA KUCHUNGUZANA MARA HUYU KAIBA BWANA MAMBO YA KIZAMANI HAYO GIMME A BREAK HII NI KARNE YA 21 BADO AKILI ZIKO KWENYE STONE AGE ERA BADILIKENI. yani hayo maneno yako ya kiswahili swahili ndio yanayokushushia hadhi halafu jaribu ukiwa kwenye kipindi UTOE SAUTI MANAKE UNABANA SAUTI KWENYE PUA UTAFIKIRI CHURA KWENYE MAJI. usilzaimishe ususpastaa watu wakipenda kazi yako watakusifu sio kila kukicha kujisifia. na huyo MALAYA MWENZIO JOKATE aka HOKATE her days are numbered
we kifurubwido, kila siku huwa nakwambia mumchangie pesa bwanake sauda akatolewe busha! badala ya kufanya mambo ya maana, upoi hapa kujishaua NOTHING BUT MATAKO! MFYUUUUUUUU, MTI UNAOPOPOLEWA NA MAWE YA FATUMA! MFYUUUUUUUUUU! NYWELE KA NUNGUNUNGU. HIZO NWELE ZINAMFAA CEO WETU WA UKWEEEEEEEE! MTAA WA UZUNGUNI KULE! SIO WEWE MCEZEA VYA UVUNGU!
Kweli unapost za kiswazi yaani ua very destructive and not constructive...alafu unajiita msomi?????
jamani watu wengine bwana eti amchangie mbona mnaingiza mambo mengine ambayo hayahusu, nikosa kubwa kutangaza mambo ya mtu bila kuwa na uhakika, acheni hizoooo!!!!!!
wigi hilo ndo lile aliloovaa mange dat time anakula maraha nchi za watu! vipi ndo amekuazima au umeenda na wewe kutafuta la kichina lake
hilo wigi aliwahi kuvaa mange umemuiga ingawa wewe limekupendeza zaidi
HAKIKA ALIEKUROGA KAFA,
Jamani mama u-turn alishawachamba kwamba hata hana bifu na sinta ss nashangaa mnaotaka kulazimisha sinta na mange wagombane yani kutwa kutoa maneno huku kupeleka kule (two in one) mana kuna sku mlisema huku kuwa sinta kapigana na mange lkn mange aliwashushu kuwa hayo maneno mmeyatoa wap? mna ham sn wagombane il mpate ya kusema.
chezea sinta nyie mwenzenu anafanya makusudi kuwaachia mtiririke ili muambizane kuwa ukienda kwa sinta hubaniwi ni unacomment utakavyo HUKU MWENZENU ANAZIDI KUPATA WADHAMINI TU C MNAONA EEEH NYIE MNASEMA MNAMKOMOA KWA KUMCHAMBA HUKU MWENZENU ANAINGIZA
Jamani mume wa sauda kaingiaje humu, au aliwaonyesha hilo busha jamani, dar kuna mambo hadi mabusha ya waume za watu mnayajua
Heheheee ungekuwa basi unaiheshimu hiyo Ijumaa yenyewe angalau, unafurugua matako unavyojibenjua halafu unatwambia ijumaa kareem, unamtania Mungu au unatusanifu?
hamna ya kuongea nyie majungu tu kila siku. manchuki nae sana hebu mwacheni tafuteni mengine ya kuandika.
MHMMM ETI SURA KAMA GOTI MBONA MNA MAMBO JAMANI,NIMECHEKA MPAKA PUKUPUKU ZA MAVI ZIMENITOKA...NGOJA NICHAMBE NIKALALE,KIJIWE KIMENOGA
AKUROGIRE AFWIIREE
cku zingine unapendezga bt leo hapana mpenzi gauni haijakupendeza kabisa yani
cku zingine unapendezga bt leo hapana mpenzi gauni haijakupendeza kabisa yani
ha ha ha hilo wigi mi hoi
hhahhhaha jaman watu wana maneno me nachekaje? mjin kazi kwelikweli
Jamani mbavu zangu zita vunjika mbona mna mambo hivyo, eti mtu anacheka mpaka pukupuku za mavi zamtokaa ha!ha!ha!mtaniua mimi na kucheka!!!!!!!!!!
i see napita tu
jamani hiki kijiwe balaaa, kimenoga mbayaaaa, watu Tiririka hakuna kulalaaaa!!!!
hiyo picha ya kwanza uangaliage shapu ya Mpua wako alaf ndo uweke pose,au hiyo mipua sijui ndo yaukoo lakini bora wewe yule mdogo wako wakwanza ndo pua limemchanuka vibaya kama mpiga tarumbeta....HeheeeYah
WE UNAYESHANGAA KUHUSU BUSHA, HATUKURUPUKI TU. FUNGUA POST ZA NYUMA, UTAONA 40 YA MTOTO WA MAI, SAUDA ALIKWENDA NA MUMEWE, MUMEWE KAPIGWA PICHA KVAA JINSI IMEMBANAAA PUMBU NJE, NDIO MTU AKACOMENT KUWA MUE WA SAUDA ANA BUSHA, MBAVU ZANGU WALLAH, TOKA SIKU HIYO MIE NIKIINGIA HUKU HUWA NAKUFA KUCHEKA NIKIKUMBUKA ILE COMENT, NDIO LEO NIMEKUMBUSHIA WAKAMTOE KWANZA HILO BUSHA LOL! SASA UMEELEWA????
Umeona mage kapendeza na hilo wigi umeamua kumuiga na sura lako kama chura.hujapendeza mwaya.
Bora uvue hilo wigi unafanana na jini mahaba
Sijawahi changia hata siku moja ila huwa napitaga tuu, yaani wewe dada sinta sikupendi sura baya kama mkundu, unajifanya mtoto mdogo wakati umeshazeeka. Kumanina zako chefuuuuuuuuuuuuuuuuu
huna jipya hata kiono hakionekan,na uache unafki huyo unae muwek ahapo et nani aniba waume zawatu c alikuja kwenye fucken b'day yako? huyo Jokate ndo mwiz mbona hujamweka! malayaaa wewe kaogeeee
What???U Beautiful Onyinye??? U must be kidding us!
lukin good sintah, lov;ya
lukin good sintah, lov'ya
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
you look nice, waache wa kusema sema you look beautiful. you inspire me a lot.
Umefanana na luiza mbutu wa twangapepeta bi dada hongera kwa hilo
MDAU ULIYESEMA KAMA LUIZA MBUTU UMEPATIAJE YAAN PICHA YA KWANZA WAMEFANANA
Seme wewe mti wenye matunda yaliyooza. huna lolote sura kama hoho lililooza. unstopable kwa lipi? Nyoooooooooooooo kakojoe ulale
wigi ka mavuzi yapaka. muone na mapozi yake ya kuminya miguu
ha ha ha ha ha ha ha ha . unachekesha. au unataka kuanzisha show ya comedy.
Haha hahah mbona kama hilo wigi ameliazima kwa mange kimambi.....mama wa U-turn!
Nimewapata jamani kuhusu busha la mume wa sauda ila msameheni bure kaka wa watu mmemvua nguo mbele ya kadamnasi.
jibu lakee niiiiiiiiiiiiii
JOKATE mfyuuuuuuuu
penda ww
Post a Comment