Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MWENYEKITI WA VODACOM ATEMBELEA IKULU

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with VODACOM group Chairman Mr.Peter Moyo at Dar es Salaam State House this morning when the later paid a courtesy call on him.
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete meets VODACOM  group delegation led by its chairman Mr.Peter Moyo(Third left) at Dar es Salaam State House this afternoon. Others in the picture are from left, Chief Officer Corporate Affairs Ms.Mwamvita Makamba, and  VODACOM Managing Director Mr. Rene Meza(Second left
Mfanyakazi wa Vodacom akichangia damu katika mpango wa kukusanya damu salama uliofanyika katika viwanja vya Mlimani city jijini Dar Es Salaam.
Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania akichangia damu katika mpango maalum wa kuchangia damu salama kwa watu wenyemahitaji mbalimbali. Uchangiaji huo wa damu ulifanyika katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar Es Salaam.

Mwenyekiti  wa  Makampuni ya Vodacom , Bw. Peter Moyo (kushoto) akiwa na  Balozi wa  Afrika Kusini nchini Tanzania Mheshimiwa Thanduyize Chiliza,  wakati alipomtembelea  kwenye ofisi za ubalozi huo.Mwenyaekiti huyo yuko katika ziara ya kikazi kwa siku mbili Jijini la Daresalaam

Mwenyekiti  wa makampuni ya Vodacom Peter Moyo (katikati) akisalimiana na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mheshimiwa Thanduyize Chiliza. Pamoja nao ni Afisa Mkuu wa Mahusiano ya Jamii Vodacom Tanzania Bi. Mwamvita Makamba

Mwenyekiti wa makundi  wa makundi ya Vodacom Africa, Peter Moyo, Kushoto, akisalimiana na Waziri wa Mawasiliano sayansi na teknolojia, Prof. Makeme Mbalawa, alipotembelea ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Pamoja nao ni Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza.

Waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia, Prof. Makame Mbalawa (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza alipomtembelea katika ofisi za wizara hiyo. Pamoja nao ni Mwenyekiti wa makundi ya makampuni ya Vodacom Africa Peter Moyo.


2 comments:

Anonymous said...

For the first time, umekuwa kikazi zaidi

Anonymous said...

kwa mara ya kwanza umesha juwa matumizi ya blog hongera sana blog sio sehemu ya kuweka picha binasfi kila siku hongera sana sana nakuombea kwa mungu MATANGAZO YA BIASHARA HAPA MPAKA UCHOKE ILA PICHA BINASFI ZA KUPISHA NISHANISHA MIGUU PUNGUZA ni hayo tuuuu