Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

J WAKE LO'S BDAY DINNER @ SEA CLIFF

Kodak moment
Vj jockey nashukuru sana
thanks Jokate
thanks Dorah
nashukuru kwa yote
j wake lo
jackie, love u loads
thanks sisy
love u xoxo
vichaa wangu
Unstoppable
we jokate usijifanye upo busy sikiliza speech
thx
warembo
sina la zaid ya ahsante sana
Rachel acha kucheka
nipo ktk diet keki kubwa
hangaika nayo
muandaaji chukua na wewe
muandaaji na 2 nawe yako hio
toto nawe yako
watu dinner wanataka kigiza


Nashukuru sana Nargis na Jokate kwa kuandaa hili, Mungu awe nanyi mmeonyesha mnanipenda and i can count on u for anything,thank u so much may the good Lord be with u.

50 comments:

Anonymous said...

Wonderful birthday dia congratulation may you live long to make ur love ones proud....

Anonymous said...

Umekuwa sasa inabidi ubadilike na wakati mambo ya J wake lo tupa kule.

Anonymous said...

haya we kifurubwido, happy birthday! iga iga mtaa wa pili, hujakubali mpaka umepata cake ya vichakani aka misitu! mtoto mpana wewe ka gate la ikulu! mmhhh haya kazi kwenu! siye yetu macho na ngekewa!

Anonymous said...

umependeza sijui utaacha lini kupishanisha miguu, hujiamini hata kidogo, halafu nilisha kwambia mwambie joket tumechoka kumuona na nguo nyeusi kila siku,mbona zawadi hatuzioni he he he miss misifa

Anonymous said...

Eeh dah kweli umri wasonga siku hazigandi,leo umeonekana dhahiri mkubwa,hao wasichana wote wanaonekana wadogo kwako,mama laooo au sio,act like one basi...

Anonymous said...

Ilikuwa supprise shost?umetoka vibaya mweh,we nae mxxiiuuuuu,bado unaaga bangle za blue?bangle bei cheee hizo hahahaha

Anonymous said...

Hujapenda kabsaaaaaa hahahahaha

Anonymous said...

Ukibana nywele hivyo unachekesha

Anonymous said...

Huyo recho awe matroni wako ukiolewa mnalingana vimo

Anonymous said...

Katika wote wewe ndio hujapendeza,lol halaf eti ndio birthday gal unachekesha bibie,ubahili utakuua,isome kimya kimya!

Anonymous said...

Na kuwadi wenu pembeni

Anonymous said...

Nargis asnte,umependeza mno jiheshimu hivyo hivyo,sio hili gubegube choo cha stand

Anonymous said...

Umeona nzuri mwenyewe hahahahaaa usiwe unaweka mikwara toa tu wadau tutiririke kama kule kwa naniliuu post huwa za supprise na za ukweee

Anonymous said...

Umependeza sana na ulivyopungua unazidi kuonekana mrembo ila Wolrpe jamani nguo fupi hapendenzi cjui yukoje

Anonymous said...

Huo wanja wako na blush mie hoi

Anonymous said...

Angalia pic ya 7,umri dada heheheheh

Anonymous said...

Mhh washukuru mashosti kwa keki labda lakini dinner za hivyo kila mtu anajilipia mwenyewe kutoka mfukoni mwake; haya mwaya mradi uliinjoy kake yako ingawa haikuwa kama ya Diva.

Anonymous said...

haja soma kokote na kama alisoma kweli alivyo na mashauzi aweke vyeti na result zake tuone kitu pia haja olewa maana ana lolote huyoooo akiona mtu yupo juu ana jipenmdekeza wawe mashoga zake hana lolote

Anonymous said...

hivi wewe fisadi kiwembe hasidi manyoya lini utaacha kujishaua? sura kama mjamzito mwenye uchungu wa kujifungua sasa hivi!

Anonymous said...

Age goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

Sinta umependeza umepungua tunaomba basi jamani utupe diet na sie..jack sijapenda alivyovaa

Anonymous said...

jamani sinta umependeza saana , love youuuuuuuuu, achana na wenye wivu watajibeba kwa mtandioo, MUNGU akupe umri mrefu dear!!!

Anonymous said...

Hee!! Umewalisha keki na mkono wa kuchambia!!! Hujafundwa au udhungu??

Anonymous said...

hakuna kitu hapo

Anonymous said...

jamani mbona watu mna wivu namna hiyo? sinta hongera sana umependeza sana na inaonekana party yako ilikua ya ukweli! congrats!

Anonymous said...

ila kweli, acheni wivu! lol! mnavyomponda dada wa watu? kwani amewakosea nini?

Anonymous said...

ila kweli, acheni wivu! lol! mnavyomponda dada wa watu? kwani amewakosea nini?

Anonymous said...

nyoooo! nyie vikurunyenye mnaojitia kumponda dada wa watu hovyoooooooo!!!!!!! ni wivu tu umewajaa! hamna lolote, mfyuuuuuuuuuuu!!!!

Anonymous said...

KUNA MDAU ALISEMA KUNA WATU CJUI WAMEZALIWA CHOON KWA MATUSI WANAYOMTUKANA CINTHA MDAU ULOSEMA NAKUUNGA MKONO YAN MIJITU MINGNE KAZ KUMSEMA CINTA TUUUU,WAKUACHE SINTALICIOUS NA ENDELEA KUWEKA TU HAYO MATUSI YAO MWISHO WATACHOKA WENYEWE KUTUKANA NA KATU UCJIBIZANE NAO MAANA WENYEWE NDO WATAONEKANA VICHAA KWA KUMTUKANA MTU AMBAE HAJAWAKOSEA, UNA SURA NZURI SINTAH MTI WENYE MATUNDA NDO UNAOPIGWA MAWE NIMEAMINNN

Anonymous said...

Hivi Jack Wolper utajua lini kuvaa jamani khaaa!

Anonymous said...

ahh wap! Mti wenye matunga my ass,,, usimdanganye mwenzako,cntha mshamba mbaya zaid anajishaua sna af hana lolote.jloo,,, nyoooo!

Anonymous said...

beautiful! Pendezya nyiee!

Anonymous said...

wolper mi hanibarik kabisa kabisa kabisa

Anonymous said...

Yaani wewe kweli mkubwa diet yote hiyo kitimbo hakiondoki, by the way umependeza so simple ila kitumbo cha chini kimekuangusha.

shongololo said...

Happy birthday Sinta. Wishing you good health and happiness . Umependeza. Nargis, and rachel wamependeza sana.

Anonymous said...

JAMANI NINA UHAKIKA ASILIMIA 99 YA WANAOMTUKANA SINTA NI WASICHANA WENZIE HV LINI MTAPENDANA DADA ZANGU?AKIFANYA KOSA BALAA HATA ZURI PIA?INA MAANA SINTA HANA HATA MOJA LINALOWAFURAHISHA NYIE MNAOMMBEZA?ACHENI HIZO PENYE KOSA MWAMBIENI NA PENEYE ZURI MSIFIENI JAMANI.MWAYA SINTA HERI YA SIKU YA KUZALIWA INSHAALLAH ALLAH AKUONGEZE UMRI WENYE MAFANIKIO TELE.

MOHAMED

Anonymous said...

Sintah wewe kweli huna haya, huyo Adeline anaweza kukuzidi umri mpaka umuite sis, wakati wewe ni mkubwa na wa siku nyingi?

Anonymous said...

Sintah now nimejua why your like the way ur. Nakupenda sana hapana chezea totoz za Mwezi wa June. Inshort Gemine Girls we have something unique. Sitakaa nikutukane.

Much love from Norway

Anonymous said...

NA HUYU STEVE NYERERE ITABIDI NIANZE KUTAFUTA FILE LAKE MAANA ANANIPA WASIWASI ISIJE IKAWA NA YEYE NDIO WALEWALE WANAOPIGA WEZI NA MAGAZETI NA MAGANDA YA MAYAI. KWANI RAFIKI ZAKE NI MAKAHABA TU MIAKA YOTE. VP STEVE TUAMBIANE KAMA MKOROSHI MARINGO.

Anonymous said...

u always rock

Anonymous said...

Hongera sana sinta.. mimi nguo aliyovaa tu huyo KIKOVU ndiyo inaniacha hoi mbona iko kama pajama...? au ndiyo fashion? hapana ckubali kabisa anaonakana kama amechanganyikiwa akili. nguo gani hiyo. kwani sinta una umri gani maana nasoma comment za watu wanasema wewe wasiku nyingi si usema umri wako waaibike. ila mimi nahisi huna umri mkubwa wa kumzaa mtu anayeweza kuandika comment so dont mind them. kila mtu atazeeka.

Anonymous said...

Acha ushamba we anon wa 10:26PM kwani mtu ukimwita dadA MPK AWE amekuzidi umri? for u to be happy ADE is her younger sis

Anonymous said...

mie napita tu jamani,naona hali niile ile ya kila siku

Anonymous said...

MASIKINI POLE JILIWAZE NA BRITHDAY YAKO.MANA MTOTO WEMA KAWAKATA ULIMI.............UMEKUBALI KWAMBA WEWE NI MZEEEEEEEEEEEE,TEH TEH WAPI UTAJIPINDA UTAJIPINDUA WEMA YUKO JUUUUUUU,

Anonymous said...

wee fala nn? hivi wee anony hapo juu una akili kweli? kwani wewe hautazeka? mijitu mingine bwana, mnaongeaga vitu anbavyo havina hata sense! halafu kumbuka kitu moja wee kuzi, hujafa hujaumbika! yaani watu wa humu mna wivu hata hamta endelea yaani!

Anonymous said...

kwan uzee ni kilema mbona kama siwasomi??? kwan nan mama ake hajazeeka hapa mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

nibbora umewapasha maana wameezoea kumuita mwenzao kibibi, hivi jamani uzee ni dhambi, halafu nyie hamta zeeka? siajabu nyie ni wazee hata kuliko yeye, wakiitwa wa zee hivi mtampeleka huyu dada kweli, acheni kuponda bhanaaaaa!!!!!

Anonymous said...

Si kilema ukubwa.. Shkamooo dada sinta

Anonymous said...

Uuwiiiiiii

Anonymous said...

Pole we nakuonea huruma!