Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

ADELINE'S BABY SHOWER

mapambo
tugawane aisee
mwenyeji wetu akitukaribisha
friends
marafiki wakisikiliza jambo
aaah hapo tuu we tia ndani
kila mtu ashike glass yake
kwa pamoja tunakutakia kila la kheri

19 comments:

Anonymous said...

Umeludia nguo mfyuuuuuu we bana tu ila utakua umeisoma kimya kimya!

Anonymous said...

Kiki ana mimba nini?naona uso umeonekana tofauti halafu kitambi kinaonekana kabisa

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Acheni kuzua ajarudia nguo but the same clr

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

shost naona na marafiki wa mange umewachukua

Anonymous said...

kwa raha zetu! kwa mange tupo na huku tupo vilevile!

Anonymous said...

Naona umerudia shost!!!

Anonymous said...

Limangeleza likwapi mashauzi yake kamkazania miriam kumpeleka nyumbani kwa mwele, hana cha kupost cku izi bata za hyatt kwishney moet kwisheny kutesa kwa zamu, sintah mdawako huu mashosti zake wote wamemkimbia kiaina mpaka lijipeleke ilimradi aonekane yupo kwenye ramani. Haya bania hii nayo

Anonymous said...

Na make up zako za bei laisi,sura kama kinyago

Anonymous said...

Shosty mbona huweki picha za nyumba ya wema?

Anonymous said...

Shosty mbona huweki picha za nyumba ya wema?

Anonymous said...

Mbona shostito wake mumewe ametiwa ndani kwakuuza unga humuweki aaaaaaahhh isome kimyakimya coz hutaiweka hii comment

Anonymous said...

Sinta ulipendeza sana.Hivi sinta ni kweli upo ze udaku group?? Kama upo jiengue maugomvi yanapunguza uwezo wa kufikiri vitu vya maana.
Ni kweli we una chuki na Mange??Au ni maneno ya mitaani tu?

Anonymous said...

Jaman Bibi sintah mbna uwek post zangu? Au zinakuchoma?

Anonymous said...

Kiukweli mmependeza ile kinoma.

kay said...

kurudia nguo kuna ubaya gani jamani?

Anonymous said...

jamani huyo dada mjamzito lakini bado anamvuto mungu akubarik mama kijacho!!!!!

Anonymous said...

Mange alikuwa wapi