Limangeleza likwapi mashauzi yake kamkazania miriam kumpeleka nyumbani kwa mwele, hana cha kupost cku izi bata za hyatt kwishney moet kwisheny kutesa kwa zamu, sintah mdawako huu mashosti zake wote wamemkimbia kiaina mpaka lijipeleke ilimradi aonekane yupo kwenye ramani. Haya bania hii nayo
Sinta ulipendeza sana.Hivi sinta ni kweli upo ze udaku group?? Kama upo jiengue maugomvi yanapunguza uwezo wa kufikiri vitu vya maana. Ni kweli we una chuki na Mange??Au ni maneno ya mitaani tu?
19 comments:
Umeludia nguo mfyuuuuuu we bana tu ila utakua umeisoma kimya kimya!
Kiki ana mimba nini?naona uso umeonekana tofauti halafu kitambi kinaonekana kabisa
Acheni kuzua ajarudia nguo but the same clr
shost naona na marafiki wa mange umewachukua
kwa raha zetu! kwa mange tupo na huku tupo vilevile!
Naona umerudia shost!!!
Limangeleza likwapi mashauzi yake kamkazania miriam kumpeleka nyumbani kwa mwele, hana cha kupost cku izi bata za hyatt kwishney moet kwisheny kutesa kwa zamu, sintah mdawako huu mashosti zake wote wamemkimbia kiaina mpaka lijipeleke ilimradi aonekane yupo kwenye ramani. Haya bania hii nayo
Na make up zako za bei laisi,sura kama kinyago
Shosty mbona huweki picha za nyumba ya wema?
Shosty mbona huweki picha za nyumba ya wema?
Mbona shostito wake mumewe ametiwa ndani kwakuuza unga humuweki aaaaaaahhh isome kimyakimya coz hutaiweka hii comment
Sinta ulipendeza sana.Hivi sinta ni kweli upo ze udaku group?? Kama upo jiengue maugomvi yanapunguza uwezo wa kufikiri vitu vya maana.
Ni kweli we una chuki na Mange??Au ni maneno ya mitaani tu?
Jaman Bibi sintah mbna uwek post zangu? Au zinakuchoma?
Kiukweli mmependeza ile kinoma.
kurudia nguo kuna ubaya gani jamani?
jamani huyo dada mjamzito lakini bado anamvuto mungu akubarik mama kijacho!!!!!
Mange alikuwa wapi
Post a Comment