Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

CHELSEA TANZANIA WATOTO WA BLUE NA PARTY YAO MSASANI BEACH CLUB 24TH JUNE

Chezeyaaa blue
heeee Ndimbo nawee
eti Christian bella naye Chelsea patakuwa hapatoshi

CHELSEA Tanzania imewatangaza wasanii watakaopamba sherehe za ubingwa zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Msasani Beach Club Jumapili hii June 24.
Mbali na michezo itakayozikutanisha Chelsea Tz,Arsenal Tz na Manchester Tz pia kutakuwa na burudani mbalimbali wakiwemo Mr.Nice,Sweet Sunday,Muumin Mwinyjuma,Charlesa Baba,Shilole atakayesindikizwa na Irene Uwoya na Akudo Impact.
Kiingilio kitakuwa shilingi elfu 10 kwa wakubwa na watoto shilingi elfu 1.
Sherehe hizo zitaanza tokea saa 4 asubuhi kwa soka la ufukweni.
Sherehe hizo ni mwanzo tu wa mambo mengi makubwa yatakayofuata baada ya usajili wa Taasisi itakayotambulika pia makao makuu huko London.

uwiiiii Irene uwoya atamsindikiza Shiloleee,haaaa nataka kuona viuno vya kichaga,harikaaaa

see you there buku kumi tuu.

3 comments:

Anonymous said...

we nawe kwa ushabiki maandazi, hivi hata ukicheza mpira unapishanisha miguu??? makubwa! muache irene na kiuno chake, hebu kata chako tuone, lol! pua ka goti.

Anonymous said...

mmh kwan uwoya mchaga???

Anonymous said...

we sintah hebu tuambie mtoto wa zamaradi wa take 1 clouds baba yake ni nani.mana naona kazalishwa tuu bila mpango