Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

YALIYOJIRI MCHANA SINZA NYUMBANI KWA KANUMBA

wadau
Ruge akiwa na waheshimiwa
Tajiri mkubwa na mpenda watu
mpenda filamu,mpira na nk
Musa K akiwa amefika kufariji wafiwa
monalisa,Millen&Ruge


mpaka dakika hii Lulu amekataa kutoa ushirikiano na polisi, akisema anapenda kwanza Lawyer wake afike na chochote atakachoongea kiwe recorded.

nitawaleteea more newzz

14 comments:

Anonymous said...

Kwa usalama wake

Anonymous said...

Kumbe kana akili

Anonymous said...

yule mtoto alivyokuwa mjanja.atajaribu sana kujitetea.kwa kuwa hakuna shahidi,itakuwa easy kwake,ila ita m cost,the rest of her life.wanaoujua ukweli ni yeye na kanumba tu.

Anonymous said...

At least she is clever in that. She is also fighting for her life against kitanzi.

Anonymous said...

hi sintah,nitext ktk no 0717 20 74 61 nikushauri kitu,dr.brian

Anonymous said...

ray ktk blog yake hajatoa hata taarifa ya msiba duh

Anonymous said...

Sinta mamy achana na haya mambo tayari yapo kwenye vyombo vya sheria! Katoto haka kama mwanasheria wake ni mzuri anaweza kuplea provocation or self defence kanaweza kakatolewa ila baadaye sana hii nasemea laba miaka miwili ijayo maana kwa vyovyote hiyo ni manslaughter na adhabu yake ni maisha gerezani ila wakati mwingine inakuwa ni descretion ya judge kutoa adhabu! Namsikitikia sana huyu binti sijui ataiambia nn jamii ya kitanzania angetolewa aone jinsi watu wanavyomlilia kanumba then angejua ni kitu gani kawatendea watz!

Anonymous said...

hivi kweli wewe mdau unategemea Ray na majukumu yoooooote ya msiba huu mzito akumbuke kuweka taarifa kwenye blog yake?? Si rahisi kutokana na ukaribu alikuwa nao na marehemu, kwanza pengine kachanganyikiwa jamani. Msiba ukiisha pengine ataweka yaliyojiri. Muonee huruma.

Anonymous said...

Jana chanel 5 saa 1 ameongea msemaji kwa jeshi la polisi na amesema Lulu ametoa maelezo na anatoa ushirikia vzuri..niwakati wakushika mkono huyu binti she's goin though a lot..R.I.P kanumba.

Anonymous said...

Ray atakuwa busy kwenye Msiba ndio maana hajacomment kwenye Blog yake. Shangaa hata Lady JD Pia hajacomment kwenye Blog yake.

May God Rest his Soul in Peace Place!

Anonymous said...

JAMANI PENGINE RAY HANA MUDA WAKU UPDATE BLOG, GIVE HIM A BREAK, POLE RAY NA WENGINE WA BONGO MOVIES. RIP KANUMBA BROTHERS

Anonymous said...

nchi yetu ipo nyuma kweli jamani si waende kwenye kampuni za simu wasome mesej zake zote zilizokuwa zinatoka na kuingia kwenye simu yake atapata jibu,na wasikilize phone conversation zake zotee,kwani mitambo hiyo huko hakuna?na imani wakifanya hivyo watapata mambo mengiii na ukweli wotee,lol..mtoto mdogo wajitia mambo makubwaaaaaaa

Anonymous said...

Ray,yupo busy na msiba wa swaiba.mh

Anonymous said...

Ilo lijitu hapo juu bwana kwanza ray sio mwanamke huo mda wakua kwenye kamati na kwenye blog ataupata wapi hukute hata kasahau kama ana blog sinta mwenyewe kaomba msamaha hapo juu tumia akili wewe sio una ropoka tuu jamani acha majungu na vijiba vya roho