Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KANUMBA ATAZIKWA DAR ES SALAAM SIKU YA JUMANNE

Dear Wadauuz

Nikiwa kama mwanakamati inaniwia vigumu kufanya mawili katika wakati mmoja,
niwieni radhi kwa kutowapa updates maana kamati shughuli ni nyingi,
mama wa Kanumba amefika na amesema K atazikwa hapa katika makaburi ya kinondoni,so ataagiwa Leaders club na wapenzi wa tasnia ya filamu pamoja na wadau.

naomba mnivumilie katika hiki kipindi kigumu

RIP K

4 comments:

bellensia said...

My heart mourns for Kanumba.May the lord our God rest his soul in peace.He was real a star!We will miss you.
We should all get prepared for we do not know the day or time.

Anonymous said...

yaani mie mawazo yangu yote yako kwa lulu jamani, wanamlaumu bure kiukweli hata marehemu hakufanya fair kutembea na mtoto aliekuwa kama mdogo wake, wamemkuza na leo wamemwalibia maisha. kilichomtokea lulu itakuwa ngumu sana kukisahau na najua kitamuadhiri sana katika maisha yake. MUNGU AKUSAIDIE LULU USIKATE TAMAA YA MAISHA HIYO NDIO MITIHANI HUNA BUDI KUISHINDA NA KUMOVE ON. I LOVE U SO MUCH LULU

Anonymous said...

nani alikwambia lulu ni mtoto mdogo???? ni hiv angekuwa mtoto mdogo asingemkubali kanumba ila alijiona amekuwa ndo maana akakubali kuwa nae,, kwan kanumba alimlazimisha au alimbaka??? me sioni wakulaumiwa hapa si kanumba wala lulu

Anonymous said...

nani alikwambia lulu ni mtoto mdogo???? ni hiv angekuwa mtoto mdogo asingemkubali kanumba ila alijiona amekuwa ndo maana akakubali kuwa nae,, kwan kanumba alimlazimisha au alimbaka??? me sioni wakulaumiwa hapa si kanumba wala lulu