Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

TUMUOMBEE KWA MUNGU K WETU

k wetu amelala humu
Diamond akiwa ana majonzi
shy rose naye alikuwepo
from Muhimbili to leaders
Mungu ni Mwema

27 comments:

Anonymous said...

poleni wapendwa tusihuzunike sana ila tumuombee huko alipo awe mahalipema peponi

Anonymous said...

Mungu ni mwema sana, punguzeni majidai na dharau zenu na kukashfu watu wa hali za ci

Anonymous said...

WEMA JMOSI ALIONGEA NA CLOUDS: HEMBU MSHAURI BWANA HUYU MDOGO WAKO MBONA
ANATIA AIBU SASA: SIKU chache baada ya kifo cha muigizaji mkubwa
katika tasnia ya filamu Bongo, marehemu Steven Charles Kanumba, Miss
Tanzania 2006/07, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuwahi kuachana na
muigizaji huyo.
Akizungumza kwa sauti iliyoambatana na kilio cha
kwikwi katika mahojiano maalumu na kituo kimoja cha redio nchini, Wema
alisema kuwa ingawa jamii ilikuwa ikifahamu kuwa ameachana
naye, ukweli ni kwamba bado walikuwa wapenzi kwa siri.
“Tulikuwa na
mapenzi ya siri kati yetu na tulifanya hivyo kwa kuwa kila mtu alikuwa
tayari ana mtu wake, ndiyo maana hatukuwa wazi,” alisema Wema katika
mahojiano hayo.
Akizungumzia faida aliyoipata akiwa na Kanumba enzi za
uhai wake, Wema alisema kuwa ustaa wake katika filamu unatokana na
marehemu ambaye alimshauri aingie...

Anonymous said...

HAYA MAMA TUMEKUONA POLENI SANA, MIMI MWENZIO NILIKUWA UPANDE WA WEMA ILA KWELI ANAHAKI YA KUACHWA NA KANUMBA NDO MAMBO GANI TENA YA KUJIELEZA VILE

Anonymous said...

mbona shoga yenu kidoti huwa naye?? nilijua mtapaka mawanja na malipstic kama mmechinja kuku kwa mdomo. kumbe kuna saa mna akili! R.I.P STEVEN!

Anonymous said...

as usually show off jmn mpk kwenye msiba ww dada.... mh ts too much sintah

Anonymous said...

we unajifanya una huzuni huna kabisa yaani kwenye picha unatabasamu kweliiiiiii we mnafiki hadi msibani unatafuta kuuza suraa tu na ktk watu wote umemuona hiko kidiamond chako tokeni hapaaaaa

Anonymous said...

Mungu ailaze pema peponi Roho yake. Yeye alimpenda zaidi.

Jamani mbona Diamond hakupewa sare ya Msiba?....POLENI

Anonymous said...

Huh!! Nimeshtuka na hizo Nguo nyeupe mmh imekuwa
Km harusi!! Sharuti kwa sare!!!! Hii misiba ya siku hizi kazi Mbona!!!!

Anonymous said...

sinta mfundishe shemejio dress code jamani hivi kweli kwa mtu mwenye akili hata kama ni super star utakwenda msibani na waist court mtu kabanwa kama nini kweli mbagala ni mbagala tu sijui maskini hawa wanawake wazuri wanataka nini kwa huyu low class.

Anonymous said...

na mapozi kwenye msiba? basi kazii.

Anonymous said...

wotee mnaonekana wanafiki na mlienda kuuza sura ispokuwa huyo binti wa zali la mentali tu. RIP kanumba

Anonymous said...

mi naona uko kipoooozi zaidi mbele ya kamera.

Anonymous said...

Hapa watu hawatukani?? jamani endeleeni kutukana ma HATERS wa kudumu mlioshindwa maisha

Anonymous said...

Hapa watu hawatukani?? jamani endeleeni kutukana ma HATERS wa kudumu mlioshindwa maisha

Anonymous said...

Hapa watu hawatukani?? jamani endeleeni kutukana ma HATERS wa kudumu mlioshindwa maisha

Anonymous said...

Hapo kwa mwenye majonzi ya kweli ni Nargis tu basi, ww na huyo mwenzako Mboni hakuna kitu kabisaaa mpaka mmeweka na pozi la picha!!!! Inashangaza sna hebu kuweni waungwana basi.

Anonymous said...

aisee toka nianze kucomment humu i never felt bad as i feel today pole sintah i cn feel the pain polen sana jamani.

Anonymous said...

nawe una visa unashindwa kuweka matukio ya maana unaweka hao wauza kuma hata huzuni kutwa kutafuata mabwana hata msibani loh! huyo nargis sialikuwa bwanake K

Anonymous said...

R.I.P KANUMBA MY HOME BROTHER HAKIKA TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI,, NAKUMBUKA KIPIND KILE UMETOKA BBA WATU WALIONGEA SANA TENA HASWA HASWA MEDIA KILA MWENYE MDOMO ALINENA NA NDO ILIVO SASA KILA MTU ANATAJA MAZURI YAKO HATA WALE WANAFKI WALIOKUWA WANA COMMENT ET HUJUI KIDHUNGU NAO WANATEREMSHA MISTARI MIZURI YA KUKUSIFU,, HATA WALE WALIOKUWA WANAONEKANA MACHONI MWA WATU KUWA NI MASWAHIBA KUMBE NI WANAFKI NDO WAPO KIMBELEMBELE KUBEBA JENEZA LAKO,, HAKIKA LAIT KANUMBA ANGEWEZA AMKA HATA ROBO SEKUNDE NA KUWAONA WALIVOKUWA WANAJIFANYA ET NA WAO WAMEHUDHUNIKA WANGEONA AIBU NA WANGEUMBUKA,, ALL IN ALL BINADAMU TUPENDANE NA NI VIZUR WATU KUSAMEHEANA MAANA HATUJUI CKU WALA SAA NDUGU ZANGU,, PUMZIKA KAKA MUNGU AKUANGAZIE MWANGA,, AMEEN

Anonymous said...

never hatuwezi kuendelea kwa kuoneana wivu na kutukana,sehemu ya huzuni mtu anatukana,poleni kwa msiba wana kaole

Anonymous said...

hy dada aliyecomment khs wema alimckia wema wkt anahojiwa au alisoma magazetini,mi nilichockia na kumuelewa ni kwmb hakuwa kuacha kuwasiliana na kanumba na hata mara ya mwisho alikutana nae akamwambia hata iweje cwezikuacha kukupa mkono,media nao wanataka kuuza magazeti tu kupitia jina la wema mana wanaona wakiandika jina lake ndo watauza media jamani hb mjirekebishe....!

Anonymous said...

WE DIAMOND UMEKUJA KU-SHOW OFF AU UMEKUJA MSIBANI, WATU BANA!!

Anonymous said...

ANNOY WA KWANZA HUCHOKI KILA SIKU WEMA WEMA HAMUMUACHI KAMA REDIO KILA MTU KASIKILIZA, SO WHAT NENDA NAWE KAHOJIWE, TUMEWACHOKA???

Anonymous said...

RIP Kanumba,nargiss unaonekana unamajonzi ndomana hukutaka makuu mwanakwetu uko simpo kama umeenda kwenye misiba ya kinakajamba nani nimekupenda bure

Anonymous said...

huyo mboni nae ni mzee kwa nn asitulie!

Anonymous said...

Diamond naye kazidi kila anakoenda na hivyo visuti vyake jamani tumemchoka kwanini asivae kimsiba ushamba unamsumbua kutwa kujishoo tu hata msibani?