Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

CHEZEYA MUMY NA BLACKBERRY

54 comments:

Anonymous said...

Kijana anaonekana anamjali mother. Me like it

Anonymous said...

Kwi kwi kwiii, mwambieni kijana wenu amnunulie mama yake nyumba ya kukaa yake peke yake ajitanue na mashost zake, sio mambo ya kubanana nyumba za kupanga mama na mwana huku mwaringishia Blackbery. Nilidhani ana Ipad4 kumbe blackbery huku zipo za kumwaga kama njugu, ukitaka kulipa kwa mwezi au pay as you go pesa yako tu. Bibi anahitaji mahala pa kukaa na usafiri wake ana drive wa kwenda sokoni. Next time tuwekee picha mama Diamond ndani ya nyumba alojengewa au kununuliwa na mwanae hata kama amanunuliwa Tabata Kisukuru ya milioni 50 inatosha.

Anonymous said...

kabsaaaaa hilo ndio la mbole hakunmam kweny simukuna mam mweny nyumba

Anonymous said...

mdau hapo juu umenena sana vitu kama simu sio vya kuanza kushindana nyakati zinabadilika huwezi kushindana na teknolojia huku tulipo blackberi ni kama maji ya chupa ..wasanii muwe na wivu wa maendeleo kwa vitu vya msingi KUJENGA JAMANI KUJENGA

Anonymous said...

Mtu mzima ovyo eti Blackberry hahaaa Blackberry my asss umeona ndio issue!!!poleee

Anonymous said...

haha we msomi mshamba kweli,unaturingishia huyo maza kuwa na bb??kweli jamani?ringishia kajengewa jumba la maana,kama mdau wa pili alvosema,blackberry??kitu gani jmn?zko hd za mchina za elfu sabini......kama huna post embu soma huko.

Anonymous said...

mbona unaropokwa na kutomboka mingi?!!!!! wewe unajuaje mipango yao? huko unapodai blackberry zimejaa ni kwenu? kama wewe mambo safi kilichokukimbizia huko ni nini? watanzania wote wapambambanaji na wenye kujua maisha hawalowei manchi ya watu wako Tanzania au wanafanya kinachowapeleka na kurudi nyumbani. wewe una nini? mdomo umekulegea kama chupi iliyokosa mpira. Punguza choyo. hata akikaa nyumba ya kupanga anaamani anaraha hana madeni ya huku na kule.

Anonymous said...

Chanzo cha maendeleo kwa mwafrika nchini africa ni kuwa na simu ya mkononi kwa kuwa waafrika nyumba zetu hazina anwani simu za mkononi zinatuwezesha kufanya biashara, kuhifadhi pesa simu ni benki zetu, kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki, kuripoti tukio,kupiga picha ya tukio na kutuma kwenye kituo cha habari cha kimataifa i.e CNN na BBC, kurekodi sauti kama ushahidi na kadhalika fikiria na akili usifikirie na chuki. usiwe mwepesi wa dharau, bora huyo Diamond anauthubutu we una nini watu kama nyie wenye kuweka matabaka hatuwataki kwenye nchi yetu sisi wote ni sawa na hatutaki dharau.huku niliko uko ulipo wapi usingekuwa unasoma Blogu zetu mbona kutwa unaondolea shida zako humu ungekuwa wa maana ungeanzisha kampuni yako ya simu wewe mwenyewe ndio ukashifu blackberry na kutukuza I phone 4 s, feautures nyingi za 4 s hazifanyi kazi bongo kwa hiyo alifikiria hayo yote kabla hajamnunulia.

Anonymous said...

huyu anahitaji kuvaa mavazi yanayo endana na umbo lake pia na UMRI. Yaani jamani wameshamfanya ka mdoli nywele zake zinatisha kama nini mfyuuuuuuu

Anonymous said...

Hahahaaaaaaaaa jamanii sijawahi kutoa comment hiiii ni Mara ya kwanza. Nimecheka saaana.

Anonymous said...

Hahahaaaaaaaaa jamanii sijawahi kutoa comment hiiii ni Mara ya kwanza. Nimecheka saaana.

Anonymous said...

hii nguo me ckuipenda kabisa ilimchoresha huyu mama alionekana ka betina......! next time atafute nguo ya heshima inayoendana na hadhi ya umama sio akimbilie mavazi ya wasichana.....!!

Anonymous said...

Maneno kuntu hayoo,tena injili imechoma hasa mana ukweli mtupu hapana chezeiyaah anonymous 10:46,bb cku hz watoto wazo babu weeeeh au mama anataka kujimwaga kwny fcbk na twitter na kilichomfanya acweke kwny pochi nini au ndo tujue km ana bb wkt cku hz kila mtu anayo,mfyuuuuuu jamani mfundisheni hy mama kuvaa hz co nguo zake hz hawaachie wakwe zake...

Anonymous said...

mshenzi wewe, mmezoea ku diss kila kitu kenge nyie....kwani what is the big deal abt it? unajuaje kama diamond hana mpango wa kujenga ama kumjengea mama yake nyumba? ni picha simple, amepigwa siku ya event, blogger ameamua kuiweka kwenye blog, toka zako, kojoa, punguza utoko kwa kuchamba kalale, kenge kiongozi we!

Anonymous said...

hovyoooooooo

Anonymous said...

jaman pia mwangalie na vazi la kumvalisha mama jaman kwa mm upande wangu vazi ni heshima but lilimchonga sana yan vikalio vikachongoka lohh aaaa next tym plz mwambie rafikio kidoti aangalie na umri wa mama na vazi la kumvalisha

Anonymous said...

huna jipya weye mjinga hapo juu,hongera diamond kwa kumtunza mama na nyumba pia utamjengea inshaaallah!

Anonymous said...

Lo! sinta mnachoresha mama yenu kwanini hamjavalisha nguo inayoendana na mavazi ya kiafrika jamani sasa kuvaa nguo ya kufuata mwili hamuoni aibu kabana maziwa kabana matako mbona hivyo jamani au ndo udhungu huo

Anonymous said...

Wewe anonymous wa April 12, 2012 10:46 PM unamtaka nini Mr. Platinum? Hovyo hata haya huna wewe unayesafisha vyoo huko uliko umewafanyia nini ndugu zako wacha wazazi wako au yu mtoto yatima huna wa kumuhudumia? Na je wangapi umeshawatumia hata motorola wacha blackbery.

ANGALIA MAMBO YAKO ACHA KUFATILIA MAISHA YA WATU AMBAO HAWAFIKIRII HATA SIKU 1 KUWA WANAWEZA KUKUOMBA MSAADA KATIKA MAISHA YA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.

Hivi kwanini binadamu hatupendani? Kwani ukimsifia mwenzio unapungukiwa na nini? Tuacheni roho mbaya tunasubiri mtu afariki ndio oooh fulani alikuwa mtu mzuri, fulani hivi siyo vizuri jamani tuacheni unafiki.

Anonymous said...

Wewe anonymous wa April 12, 2012 10:46 PM unamtaka nini Mr. Platinum? Hovyo hata haya huna wewe unayesafisha vyoo huko uliko umewafanyia nini ndugu zako wacha wazazi wako au yu mtoto yatima huna wa kumuhudumia? Na je wangapi umeshawatumia hata motorola wacha blackbery.

ANGALIA MAMBO YAKO ACHA KUFATILIA MAISHA YA WATU AMBAO HAWAFIKIRII HATA SIKU 1 KUWA WANAWEZA KUKUOMBA MSAADA KATIKA MAISHA YA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.

Hivi kwanini binadamu hatupendani? Kwani ukimsifia mwenzio unapungukiwa na nini? Tuacheni roho mbaya tunasubiri mtu afariki ndio oooh fulani alikuwa mtu mzuri, fulani hivi siyo vizuri jamani tuacheni unafiki.

Anonymous said...

Ww umejuaje ajamjengea au amejenga ila ipo kwenye mradi jamani hamjui siri za miyoni mwa watu tumshukuru mola alipomfikisha na alipomtoa ndio yale aliyosema kanumba tupendaneni japo kidogo

Anonymous said...

huyu mama jamani sijapenda vazi lake sio kama naona wivu ila haliendani naye kabisa yaani na mawigi ndio kabisa hapendezi na nywele za bandia

Anonymous said...

mbonahuyu kijana anamvalisha mzazi wake mavazi yasiyoendana nae?hebu mshauri huyo mkwe wake jokate awe anamnunulia mkwewe mavazi yanayoendana nae na mitindo ya nyele inayopendeza,yani hilo vazi halijampendeza hata kidogo hata hiyo style ya nywele haijampendeza,ila ninampongeza huyu kijana kwa kumjali mzazi wake,hayo mengine nimakosa ya kawaida atajirekebisha.

Anonymous said...

what is Blackberry?????? WE SINTA ACHA USHAMBA,,,,, USHABIKI MAANDAZI,, MIMI MTOTO WANGU NDO ANA BLACKBERRY BOLD, MIMI NIKO KWENYE BERRY POSHY,,,,,,,, UCHAFU HUO ONDOA HAPA.

MUMFUNZE MKWE WENU NA KUVAA PIA,,,,, NA NYWELE NZURI ZA BANDIA MAANA YUKO KA KINYAGO CHA MPAPUREEEEEEEEEEEEEEE


NAJUA UTAIPOTEZEA KAMA KAWAIDA YAKO,,,,,, KIKUBWA UMESHA SWALLOW IT.

Anonymous said...

tehe tehe well said mdau what is blackberry

Anonymous said...

kweli umeongea point,kwanza hata hiyo outing yake hakutokeza,alitakiwa kuvaa kitenge cha bei mbaya kimetulia atoke kimama africa ndo angependeza,sasa anavaa evening dress ashindane na wakwe zake,from mbagala na evening dress wapi na wapi kwi kwi kwiiiiiii

Anonymous said...

nilidhani ulipata kujifunza kitu ulipohudhuria mazishi ya Kanumba kumbe La!!! hivi vitu tutaviacha hapa hapa duniani iwe nyumba gari na taka taka zote jamani tubadilike, duniani tunapita tu. Kanumba kaondoka bila kuaga.

Anonymous said...

Eti "hata kama amenunuliwa Tabata Kisukuru ya milioni 50 inatosha." wewe unayo hata ya milioni 15 mabwepande???
Sema tu amnunulie nyumba sio sijui iwe wapi,ya hela ngapi...inawahusu

Anonymous said...

wewe anon wa 10:46,usimpangie diamond maisha.yeye mwenyewe anajua,pengine anamjengea hiyo nyumba,wewe utajuaje.mwache ale matunda ya mtoto wake,wametoka mbali wenyewe.mambo taratibu,mengine yatafuata

Anonymous said...

Hata Bongo zipo "used and reconditioned" haa haa haa haaaaaaa Blackberry!!!!

Anonymous said...

haswaa maana huyu sinta mpambe kweli looh yatakushinda we mwanamke

Anonymous said...

bora wewe hapo juu uliyeona maana wabongo bwana wataishia kukaa na mama zao mpaka mama anajiona ndio mke, nenda kisukuru mama achana na maisha ya sinza

Anonymous said...

Mama naona ana hasira na good time alomiss alipokuwa young. Sasa kuvaa gani huko bi mkubwa na kubanana na watoto na wakwe zako night clubs. Yangu macho, ila this is not a kind of mama mkwe I would like to have. Noope!

Anonymous said...

kuma wee unajua kujipendekeza mnafiki sana wewe, sasa hiyo blackberyy umeona simu . peleka ushamba wako fala wewe , mbayaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

MAMA MTU MZIMA INGEPENDEZA UNGEVAA VITENGE AU MABAZEE YA HESHIMA SIO HIVYO VIGUO VYA KISICHANA HAUJAPENDEZA KIUKWELI. NI USHAURI TUU

Anonymous said...

Mama we ni mtu mzima sio msichana tena changua nguo zinazoendana na umri wako, yangu ni hayo tu,

Anonymous said...

mi kwakweli sikupenda kabisa huyu mama alivyovalishwa yaani kama kichangudoa kilichokomaa. kwanini hakumvalisha suti nzuri ya maana au kitenge kizuri yaani akigeuka kwa nyumaa tobaaa hata hawakumshauri kabisa. show ilikuwa nzuri ila mavazi ya mama yaliangusha shoo mwaaii.

Anonymous said...

ww uchangiaji wa pili unawivu snaaaaaa kila kitu atua ukimuangalia mama wa daimond alikotokea na daimond mwenyewe alikotokea apo mm naona nipazuri ww unaedai kuwa uko uliko zpo za kumwaga mbna kutwa kucha unahangaika tu na watu weupe na hawakupi chochote roho mbaya acheni

Anonymous said...

mmmhhh! bi mkubwa angepelekwa kwa eve collection angetengenezewa nguo ya kitenge safi angependeza lkn hivyo nguo ka changupapa, wapiiii! hajapendeza hata kidogo

Anonymous said...

Kapendeza sana. Pongezi nyingi kwa Almas kwa kumjali mama yake alomleta duniani. Mama kwanza wengine baadaye! Sinta tuoneshe your mama basi if unamjali lakini.

Anonymous said...

Hahahahahahaa... yan we bi dada somtimes unachekesha kweli,kwahiyo mwenze2 blackbery ndo ki2 cha ajabuu, mnh mbavu zangu mieeee hahaa, KUMCHORESHA 2 MAMA WA WA2 KHA!
Anaweza akawa na hiyo cm then hajui hata inavyofunction,then blackbery cku hiz mpaka watoto wa standard six wanazo; AU MLIMPA YA KUUZIA SURA?

Anonymous said...

WE MAMA AKO UMESHAMNUNULIA KILA KITU MNA PONDA MFYUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!

Anonymous said...

umeona tbt kisukuru ndo low qlty mavi we!njo utuone watoto wakishua huku,km huna cha kuongea kakojoe ukalale co unaongea upupu nyoko zako!

Anonymous said...

Hizo blackberry uk ni za watoto washule...:-) lazma. Mama awe na iPhone 4s au samsung gallax s11.any way diamond anajitahidi kumlook bi mkubwa

Anonymous said...

Nyooooo!!!!! Imeandikwa wapi kwamba lazima awe na iphone 4s or sumsung gallaxy s11? Mbona mnafitna kiasi hicho nyie nguru? Hata angenunuliwa philips its non ov yo busness, umeishi huko ulipo lakini uswazi aujakuisha pusi we. Tafuta wa kukuhonga hizo iphone 4s unazolilia, kwa mama si chochote akihitaji atanunua erevuka!

ngaizaskids said...

Diamond anampenda sana mamake nafurahi sana hili na ndo maana nampenda huyu kaka. Endelea hivyo hivyo kaka Mungu atazidi kukubariki.

Anonymous said...

kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiii! mbavu zangu mie

Anonymous said...

JAMAN NASIKIA HUYU MAMA ANATOA KUMA KWA DREVA WA DIAMOND NILIPATA HIZI HABARI KUTWA NZIMA ANATOMBWA.KWA KIFUPI HAJI HESHIMU KABISA KWANZA ANGEKUWA MAMA ANAEJIHESHIMU ANGEGOMA KABISA KUVISHWA HII NGUO MSIMLAUMU KIDOTI NAE MAMA MWENYEWE KITOMBI TU.... SINTA USIBANEEEEEEEEE ACHIAA HII KUBWA...BY KM

Chris love said...

Mh punguzen matusi guys mnaboa welldone KIDOTI AND PRETY FOR ADDED DIZ

Anonymous said...

Sinta msg zingine acha bwana hy mtu hapo juu ni mshenzi huwezi kumtukana mama wa mwenzio utafikiri hujazaliwa acheni jamani Diamond anasoma huu mtandao pls

Anonymous said...

jamani twende mbele turudi nyuma, diamond loves his mother soo much ndo maana he is taking her in his big events,.. lakini the outfit wasnt the best for her, she might not be thaaaat mtu mzima lakini just being a mother is enough for her to be a little more careful with what she dresses... be thankful too ur son, without him u wouldnt be where u are and without u he wudnt be where he is now... one step at a time, there is no need to rush...

Anonymous said...

mmh sintah watch out, mbona matusi ni mengi na unaruhusu yatokee, mmh!!!

Mambo said...

Jamani kwa hili vazi na huyu mama hata haviendani Kama kamchoresha. tu na khs nyumba kwani huyo diamond yeye anayo hiyo nyumba?

Anonymous said...

Hope u all good. Peace & Love jaman, tupendane, tuheshimiane, tusiwe wabinafsi. maana ubinafsi huleta chuki na mwishowe kifo. Kidoti upo juu pamoja na sintah kama tulivyo wanawake wengine. Ila cku iz watu adabu zero. Mpende na kumuheshimu mzazi wa mwingine kama unavyomstahi wa kwako. Matusi hayajengi jamani. Katika makuzi yangu niliwahi kuambiwa, endapo mtoto mwenzio amekuudhi, basi usimtukane mbele ya mkubwa kwa maana ukitenda hivyo, basi utakuwa umemkosea heshima yule mkubwa na siyo mtoto mwenzio. "TUTAFAKARI NA TUCHUKUE HATUA" TUPENDANE ndugu zangu WATANZANIA.