Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KILA LA KHERI SAUDA KATIKA NDOA YAKO IJUMAA 13-04-2012

nilikuwa shahidi wa uchumba wao
tulikuwa pamoja nawe
na tutakuwa pamoja nawe

ladies

19 comments:

Anonymous said...

Makubwa!

Anonymous said...

Makubwa!

Anonymous said...

Mfyuuuuuuuuuuuu!

Anonymous said...

Wamependeza sana jamani! Nawtakia mafanikio katika mapenzi yao.

Anonymous said...

Shoga wewe sinta yani kwakujichomeka chomeka tu ili mladi tu ujulikane mmm kazi unayo maana uko Kama chumvi kila sehemu mmm kazi Shosti ulifuliaga kishenzi

Sintah Future Husband said...

Baby
I was so happy to hear your voice. Please enjoy the wedding. Just be careful out there. NAKUPENDA SANA Sintah, my dream will come true to have you in my life. uje tuishi America uachane na hao mashambenga na haters wa Mujini

Your Love in The USA

Anonymous said...

ameen tuzidi tu kumuombea kwa Mungu ili kama kuna njia nyingine mbadala IKASHINDWE KATIKA JINA LA YESU maana si wote wanaokuvalisha pete wana nia ya kuowa

Anonymous said...

Utaishia kuona ndoa za wenzako tu! We unaolewa lini?

Anonymous said...

bibi na bwana wote mcharuko na hiyo ndoa mh kazi ipo

Anonymous said...

ndoa ngumu cku hz mpk mnafikia hatua yakuwapa hela mabwana zenu ili wazitoe km mahari hapo umeolewa au umejioa mwenyewe?au mnaona fashion kuolewa?kazi mnayo ya kuhonga tehetehe

Anonymous said...

ndoa ngumu cku hz mpk mnafikia hatua yakuwapa hela mabwana zenu ili wazitoe km mahari hapo umeolewa au umejioa mwenyewe?au mnaona fashion kuolewa?kazi mnayo ya kuhonga tehetehe

Anonymous said...

hatutaki ushahidi tu,omba Mungu Akupe mme mwema na wewe ukae kwako utulie!

Anonymous said...

Muombe Mungu akupe Mme wa kwako,utulie kwako ulee familia yako!

Unknown said...

wow

Anonymous said...

sintah nitafutie mchumba namba yangu hii hapa 713175963,au hata wewe tu, si ujaoelewa

Anonymous said...

HUO MPUA WA SAUDA MWILIMA KAMA RUNGU LA MGAMBO

Anonymous said...

Acha kashfa wewe kumsema mwenzio na vitu ambavyo hana mamlaka navyo. Ili iwe nini? Muone kwanza, failure mkubwa weeeeeeee

Anonymous said...

IMEKUUMA EEEH????? KACHAMBIE UPUPU MAUMIVU YAKIZID PASHA NYAPU YAKO KWENYE MOTO, MFYUUUUUUUUUUUUUU

Anonymous said...

IMEKUUMA EEEH????? KACHAMBIE UPUPU MAUMIVU YAKIZID PASHA NYAPU YAKO KWENYE MOTO, MFYUUUUUUUUUUUUUU