Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NATANGAZA KIFO CHA KANUMBA

RIP Steven K

enzi za uhai wake
lulu mdogo wangu
what a tragedyDear Wadauzz

nasikitika kutangaza kifo cha Steven kanumba ambaye amefariki leo saa saba ya usiku,maiti ipo Muhimbili hospital.

chanzo cha kifo,inasemekana Lulu na Kanumba were dating secretly,na walikuwa pamoja wakati wa kifo chake,Lulu alimsukuma Kanumba wakiwa katika ugomvi na kanumba akadondoka na kutoa damu na ndipo mauti ilimshika
kwa sasa Lulu yupo Osterbay police.

nitawaletea more updates
ila tusimlaumu Lulu kwani ugomvi katika mapenzi unatokea.

Angalizo
uki comment naomba ujue nilikuwepo eneo la tukio kuanzia Home kupeleka maiti hosp na kurudi kwake Sinza,kwa ujumla sijalala,
ni hilo tuu88 comments:

Anonymous said...

Such a bad news for this Easter R.I.P the great was waiting for yu r new movie ndoa yangu na jackie wolper! Daaah

Anonymous said...

Huyu lulu, aliulizwa kwenye kipindi cha mikasi na salama "do yu have a bf" kikoje salama am too young sina bf wala sitaki! Shame on yu lulu!

Anonymous said...

huyu mtoto lied hana boyfriend kwenye mikasi au ndio usanii na usanii wao???
so sad...Rest in Peace Kanumba nilipenda kujituma kwako

salum_amiri said...

lulu lulu lulu, what the hell?

bellensia said...

RIP Kanumba!Am soo touched as if i have ever met him.My heart mourns for him.We love you Kanumba!!

Anonymous said...

R.I.P Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema pepo. Ila huyo Lulu mmmh

Anonymous said...

Kweli siku ikifika,sababu kidogo tu,lulu unajuta now!yamekukuta mazito,bado mdogo wewe,tunajua ni bahati mbaya hukudhamiria ila serikali hawatambui hilo mama,kuna manslaughter serikali haijui sheria ni ngumu hapo utachukuliwa hatua! RIP kanumba..pole sana lulu mazito yamekukuta

john shishi said...

R.I.P uncle JJ kazi yake mola haina makosa anafanya atakalo kwani dunia ni yake! Tutakukumbuka sana the great

Anonymous said...

maskini wee...cna hata lakuongea MUNGU amlaze mahal pema

Anonymous said...

RIP HIM

Anonymous said...

Nimeumiaa sana jaman dah, Kanumba ni mdogo mno kufa, na kuh Lulu me namuonea tu huruma

Anonymous said...

Namwonea huruma mtoto lulu.naona liwe funzo pia kwa watoto wengine.she is still young to face this..

Anonymous said...

RIP Broo kanumba,no one will forget you,God and wrd forgive lulu

Anonymous said...

RIP Broo kanumba,no one will forget you,God and wrd forgive lulu

Anonymous said...

Jamani watanzania wenzangu nisaidieni; ni huyu Lulu wa Kaole au mwingine?

Anonymous said...

Yaaaaaani.... Mambo yangu hayaendi kabisa!!!! Heee, Mungu ailaze roho ya Kanumba mahali pema peponi.

Anonymous said...

RIP kanumba 2likupenda bt M'MUNGU alikupenda zaid.akulaze mahal pema pepon.bt lulu hanamakosa ni ajali2kama ajali nyngne.ila lulu napenda kukwambia mficha maradhi mauti umuumbua.ulisema una mchumba wala boy luv.bt kanumba kakuumbua mamy pole sna.

Anonymous said...

RIP kanumba. Namuonea huruma sana Lulu coz hiyo itakuwa man slaughter japo mimi si mkali wa sheria.
Najua hakudhamiria ilikuwa tu ugomvi wa kawaida ila mpaka aje ajichomoe kwenye hup msala inahitaji apate wakili kweli kweli.
Pole sana familia ya Kanumba.

Anonymous said...

Kwenye Blog nyingine wamerekodi mdogo wake anahadithia kisa kilivyokua... Tatizo hapa ni huyo Lulu kukimbia. LULU why did you run away??? Anyways Apumzike kwa Amani mpendwa wetu Steve Kanumba that's all we can say. However, GONE TOO SOON... ... ...

Anonymous said...

R.I.P Kanumba the Great! Kazi ya Mungu haina makosa, tumshukuru Yeye kwa kila jambo na njia yetu sote ni ile ile, tumwombee apumzike kwa Amani nasi tuwe tayari kwani hatujui siku wala saa! Bongo Movies Poleni na hongera kwa kuanzisha mchakato wa namna ya kuikabili shughuli yetu kwa maana ya wageni na gharama za msiba CHANGAMOTO ni kwamba ni mawazo yangu yasiyo ya maana sana kwamba shughuli hii ingeendeshwa na FAMILIA kama wao wakiona inapendeza kuliko nyie hivi ikitokea ubadhirifu wowote mtazificha wapi nyuso zenu? Mie nafikiri mngeuza wazo hilo kwa FAMILIA nao walisimamie kama itawapendeza wao jamani! Nawakilisha.............

Anonymous said...

huyu mtoto itabidi atoe nini chanzo cha kumsukuma coz kaleta maafa makubwa kwa nchi kwa ujumla hasa kwenye tasinia ya filamu .thats all kila nafsi itaonja mauti.!

Anonymous said...

Its 2 early kukupoteza kanumba.polen xana watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito uliotukumba.na lulu jaman xaxa kafanya makubwa kumzidi sepetu.bt hakuplan kufanya hivyo.

Anonymous said...

RIP Uncle JJ but we should know that God's plan will never be changed!So acheni LAWAMA ni dhambi...WHAT STEVEN K NEEDS SAA HIZI IS A SMOOTH JOURNEY TO HEAVEN!

Anonymous said...

Am so touched jamnan dah..! My condolences to the familly, kanumba was my favorite actor lulu time to ripe what u saw!

Anonymous said...

R.I.P kanumba! Tusubiri ripot ya polisi kabla hatujaanza kulaumiana

Marc. said...

Apumzike kwa amani Marehem STEVEN KANUMBA. Nikweli ugomvi kwene mapenzi unatokeaga kama usemavyo Miss Sinta.But this is too much and it has gone to the extreme. hivyo kama kweli Huyo mtoto kahusika kwa 100% katika kifo cha THE GREAT KANUMBA, For sure she Deserve sevier punishment.

Abou wa NivÄ said...

we will miss you brother Kay

Anonymous said...

Jamani lulu huyu mtoto mdogo yamemkuta kha! Aibu yake mkasi kakana sasa dunia nzima inajua jamani hv kweli katoto kadogo kamemuua super star mkubwa hv yani natamani hata ku screem jamani bongo movie sasa sijui nani kinara lulu utaisoma number!kulaumiwa ni lazima umezidi umalaya

titcom said...

rip msela.. japo nipo mitaa ya nairobi nimekua fan mkubwa wa bongo movies esp wewe .. aisee nadodokwa na huzuni... tafazali lulu sema tu ukweli...

Anonymous said...

Dah too Sad jamani nimefika hadi nyumbani kwa marehemu inasikitisha. Lulu Mungu atamsaidia cause hakukusudia

Anonymous said...

r.i.p the great

Anonymous said...

Da kanumba!!haupo tena?

isaackin said...

duh,maskini kanumba!umemfundisha huyu mtoto usanii na ukamfundisha na mapenzi akajua na umalaya,zawadi aliyokupa ni moja tu KIFO!
pole sana ndugu yangu,ajali kazini hiyo

Anonymous said...

daaah hili ni galika kubwa kwa kila mtanzania so tusilaumu kwa yaliotokea ni mungu kamuita wala si ksa la lulu

Marie jo benda said...

Ooh! My GOD its so sad jamanii , kifo hikii kimetutwalia tumpendae. R.I.P KANUMBA. U wil alwayz be remembered.

Webster said...

Mi sijapata picha hapo alipoanguka was it from a height or?

Anonymous said...

daah...the one who bring me 2be interested in bongo mvs....kweli the world is nt my home..we tangulia nasi tutafutat r.i.p... Anco jj.

collins cauchy said...

R.I.P man, an inspiring star gone too soon. May the Almighty be with his family during this trying moment. Poleni sana!!

Anonymous said...

R:I:P kANUMBA

wisezuu said...

SOOO SAD!!!!
There is no death, only a change of words. A thousand words wont bring u back Kanumba,Faith, happiness of yesterday is a memory for tomorrow, always in ma mind , forever in ma heart.

Those we love don go away , they walk besides us everyday,unseen, unheard,but always near,still loved,still missed, and very dear, we loves u Kanumba,but God loves u more,no one should be blamed in this matter coz is a will of God,Rest in peace my dearest broo Kanumba!!

Anonymous said...

r.i.p kanumba jamani ni huzuni sana kwa taifa pole wasanii wote na ndugu zake

Anonymous said...

r.i.p kanumba jamani ni huzuni sana kwa taifa pole wasanii wote na ndugu zake

Anonymous said...

lulu u av kill 4 us our man....... ua such a tragedy n trushhh

Anonymous said...

RIP kanumba I still can't believe you ve left us so soon jamani....we ill always keep you close to our hearts....yaani hizo bongo movies sijui kama ntaangalia tena as he was the reason ya mimi kuwatch hzo movies
@lulu mdogo wangu if ts true unamtihani mzito,remain calm acha utoto,usipaparike acha sheria ifate mkondo wake palipo na uongo ukweli hujitenga....

Anonymous said...

R.I.P kanumba the great may olmight GOD rest ur soul in peace ..... AMEN

criss said...

YANI SIWEZI KUAMINI. THIS IS TOO MUCH JAMANI.RIP KANUMBA. LAKINI NAMWONEA HURUMA HUYU MTOTO LULU, MAANA NAJUA HAKUKUSUDIA NAONA KABISA.poleni wafiwa jamani

Anonymous said...

RIP the Greatest! Inasikitisha sana, na tusisahau siku ikifika inafika. One reason or another we all have to go. Namwonea huruma sana huyu binti, mtoto mdogo ametaka magubwa na yamemkuta makubwa kuliko urefu wake. Kweli serikali inachukua hatua yake! Sasa nani tena kama yeye Steven!!

Anonymous said...

Nothing to say..

Anonymous said...

Pole sana Mdogo wangu lulu na Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Marehemu

Anonymous said...

Shit Happends

Anonymous said...

rip stv

Anonymous said...

Tutamkumbuka daima milele.R.I.P KANUMBA.

Anonymous said...

soooooo sad!!!
There z no death only a change of words.A thousand words wont bring u back kanumba,faith, happiness of yesterday is a memory for tomorrow, away in our minds, forever in our hearts.
Those we love don go away, whey walk beside us everyday, unseen,unheard,but always near,still loved, still missed and very dear.we loved u Kanumba but God loved u more,so everything happened is a will of God , no one should be blamed for this. Rest in peace Kanumba!!

Anonymous said...

mungu kampenda zaidi, tangulia nasi tutakufuata

Raymond Mkandawile said...

Natusubiri report ya polisi kabla ya kuanza kutoa hukumu,ila kama ni kweli mtoto huyu kahusika basi sheria ifuate mkondo wake na akaozee jela....R.I.P KAKA KANUMBA...

Mgwane said...

Tuache kumtupia lawama Lulu wangapi mnawapiga wapenzi wenu na hakuna anayewalaumu? imetokea bahati mbaya Always Hasira Hasara! RIP SK

Anonymous said...

LULU NI KICHECHE JAMANI WANAUME KUWENI MAKINI,MTA MALIZWA NAE,KWANZA ANABADILI WANAUME KAMA NGUO.JIFUNZENI KUTOKANA NA MAKOSA KAKA ZANGU.

Anonymous said...

Gone too soon brother am so sad with the info,no one to be blamed here we ve to learn somethin hear guys,no body knows about these two,she is too young to do what she was doing with his teacher guys we need to be keen with love life,ndo hvyo tena kondoo kamtafuna mchungi

Anonymous said...

Hhahahahaahah HAHAHAHAHAHAHHA! TOO FUNNY!

Anonymous said...

Kosa la marehemu...whaat is Lulu..!? Dah ts shame.. R.i.P

Anonymous said...

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Marehemu

Anonymous said...

RIP S. KANUMBA.
THIS IS THE WAY WE LL ALL GO,MAY GOD FORGIVE YOUR SINS.
BUT ALSO MAY MAY THE LORD BE THE JUDGE IN YOUR CASE LULU!!!!!

Anonymous said...

Iv kwel nguvu ya Lulu kumsukuma Kanumba mpaka anaanguka au imekuaje?kanumba katereza au Lulu kampush kwa ku2mia nn?nina maswal meng sana.ila ya yote Mungu amlaze mahala pema Ameen

Ngatison said...

Mnajuaje kasukumwa,yet you were not there during the incidence? Things happen,ni ajali,dont blame on lulu...she may be innocent,the fact that she were last seen with the great steve(rest in peace our hero),doesnt make her responsible for his death.

By a journalist from Kenya

Anonymous said...

Ah.....mambo ya kawaida tu haya. Msela kafunga historia yake na tulobaki turekebishe mahusiano yetu na muumba... Na Lulu hata kama seriously ulimpush jamaa, mbona ishu ndogo tu hii! inatokea mara kibao wapenzi kusukumana, kuchapana makofi nk. we ulibugi ulipotimka mwanangu. Ungeipotezea tu kichanguchangu...... siuliyavulia.....!

Anonymous said...

msihukumu msije mkahukumiwa. tusubiri uchunguzi wa polisi. watu tayari mmeshatoa hukumu kuwa lulu ni muuaji. hukumu zenu zaweza kuathiri uchunguzi wa polisi na mtakuwa hamjamtendea haki lulu na kanumba. PUMZIKA KWA AMANI KANUMBA. LULU WEWE UNAUJUA UKWELI MUOMBE MUNGU AKUSAIDIE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU

Anonymous said...

msihukumu msije mkahukumiwa. tusubiri uchunguzi wa polisi. watu tayari mmeshatoa hukumu kuwa lulu ni muuaji. hukumu zenu zaweza kuathiri uchunguzi wa polisi na mtakuwa hamjamtendea haki lulu na kanumba. PUMZIKA KWA AMANI KANUMBA. LULU WEWE UNAUJUA UKWELI MUOMBE MUNGU AKUSAIDIE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU

Anonymous said...

jawan watanzania mungu amlaze mahara pema. Ila je kanumba angekuwa amepona na hii skendo ingekuwa imevuma ivi kanumba tungemwonaje si mwalibifu? Kwa kuwa amekufa lawama kwa lulu ila mkumbuke kanumba ndo alimfundisha kila k2 tusimlaumu lulu tu ata upande wa pili jaman.

Citizen said...

Let's Thanks God for every thing, We loved Kanumba.

ngaizaskids said...

Pumzika salama kaketu, Mungu ailaze mahali pema peponi roho yako. Amen.

Wapendwa si wakati wa kumuhumu Lulu, hata wewe lingekutokea tu, na Lulu kusema hakuwa na mpenzi ni Siri yake nani kasema ni lazima aseme anampenzi? Na je Kama baada ya kusema yuko single ndo wakaanza mapenzi? Tusiwe wepesi wa kuhukumu kifo kishapangwa afeje ndo ilikuwa ikisubiliwa. I believe she is innocent kama hajamnywesha sumu wamegombana mapenzi mengi huwa mikorogo ipo sana tu.

Anonymous said...

mh....... r.i.p kanumba ila. mungu anajua mengi na ana siri za watu wengi saana. nakumbuka kanumba aliojiwa kama ana gf akasema hapana bado hajazaliwa. na mwanamke atakae kuwa nae yeye ni lazima awe na hofu na mungu sasa mungu kaamua kuonyesha siri nzito na kuonyesha kuwa hatupaswi kumchezea na kutamka jina lake kwenye mambo ya uongo na uasherati.. angalia kilichotokea kanumba mauti yamemkuta katika hali ya aibu. na mtoto mdogo yule alie dai kuwa amemlea na amekuwa akimfundisha maadili sasa jamni maadili gani tena chumbani saa 8 za usiku.
inatia abiu. jamani nyie sta wa muvi liwe fundisho. mjifunze jamani hawa watoto mnapokabidhiwa na wazazi wao haina maana mkalale nao. ni huzuni kwa taifa na niaibu pia

lulu maskini ya mungu kabinti ka watu wamekakatisha masomo kwa starehe za mda mfupi. wamakafundisha kuigiza na kulala nacho. ni wasanii wengi watu wazima wamelala na haka ka toto leo hii kamepatwa na matatizo kila m2 anamyooshea kidole hakuna hata mmoja wa ku msapoti. mmepa mama yake lulu mzigo mzito

Anonymous said...

siku yake ilisha fika pema alae. ila nimeamini mwisho wa ubaya ni aibu. jamani wasanii ni nini kujifanya wema mbele ya jamii kumbe mna lala na watoto zetu wadogo kabisa ambao nyie ni kama baba zao....ona sasa mungu huwa hachezewi wa kudhihakiwa, kuwa mwanamke wangu ni lazima awe na hofu na mungu na mcha mungu . jamani lulu ni mchamungu.. ana hofu na mungu

nimeamini cheza na vyote usicheze na jina la mungu

witty preety said...

pumzika kwa amani auncle jj

Anonymous said...

It’s so painful to lose you our Hero and the only existed Steven Kanumba 'the great'. Tanzanians gonna really miss you our best friend. Am sending my condolence to your lovely mom, your young bro, your family members, our bongo movie friends and the entire TZ community. Its not good to judge anyone on this issue, only God can judge a person, Imagine if you are the one judged by everyone as what is happening to lulu now!! I am very sure that Lulu was not intending to do any bad thing to Kanumba, and am also sure that Lulu was not involved in this matter in any way, may be there was something else concerning Kanumba's health, but let us wait for the Doctors and Lawyers to play their part. R.I.P our beloved Kanumba. It’s a high time for our guys like Vincent Kigosi and others to go on with this good thing Kanumba started; we still have good actors and actresses who can take us to the next level. I really believe in you Ray.

Ghian said...

mmh hapo ni busara tukiomboleza kwanza huu msiba then tungoje vipimo from hospital na investigation from cops.
we wil remember yu Uncle JJ. u are a real hero.
ur the gre8

nomad said...

frequent visitor in TZ and great fun of kanumba.RIP

Anonymous said...

Lulu ni Makuu

Anonymous said...

KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSA SISI TULIKUPENDA LAKIN mUNGU KAKUPENDA ZAIDI PUMZIKA KWA AMANI sTEVE

nAOmi

Anonymous said...

Ooh lord.mpumzishe steve kanumba salama.tutakukumbuka jembe.khsu lulu.ametoa maelezo kuwa the great kanumba alikunywa pombe.akaanguka.HAJAMSUKUMA.swali najiuliza.kwanini alikimbia na kuzima cm.c mpenzi wake.yupo ktk hali ile ukimbie?na uku ameanguka 2.kwa Hii kukimbia Kisheria Itamuweka vby.atleast acngekimbia.kukimbia kwa upande mmoja ni kama alimsukuma au alichanganyikiwa.ila Aingii Akilin mpnz wako ameanguka ukimbie?tena mpka akamwita mdogo wake kanumba aje amuone kaka yake.Mh yupo kikaangoni sana.ila mungu amsaidie Ktk hii kesi.

Anonymous said...

smooth journey to heaven amekufa kwenye uzinzi!!! motoni tu

Anonymous said...

Kabla hujafa hujaumbika, kumbukeni kuwa Israil alimuuliza Mwenyenzi Mungu kuwa je nikitoa roho za watu huoni kuwa nitachukiwa na Mwenyenzi Mungu akamjibu kuwa kamwe binadamu hawatakulaumu kwani kutakuwa na sababu ya vifo hivyo.

Sasa nyie endeleeni kuhukumu watu while hakuna aliyekuwepo zaidi ya Lulu na marehemu Kanumba kwani hata binamu wa marehemu hana uhakika na sababu ya kifo hicho.

Kama umewahi kuondokewa na umpendaye utakuwa unajua maumivu anayoyapata Lulu huko alipo na kama hujawahi muulize aliyepatwa na tatizo kama hili.

R. I. P. Kanumba

Anonymous said...

we gonna miss u Kanumba we will alwayas love u Kanumba The Great, Rest in Man!oh God msamehe dhambi zake, umuepushe na adhabu ya kabri. 4 sure no one can replace u

Anonymous said...

RIP Steven K. hongera sana sintah, naona wachangiaji mada hii karibia wote wametoa maoni yenye busara tele. wame sympathize na marehemu, lulu hawajamhukum ila wengine wamesema mkno wa sheria utamshukia. so, enough said. kuna blog ukienda ni ful kunyoshea mtu vidole... REST IN PEACE KANUMBA. YOU WILL BE MISSED.

Anonymous said...

KANUMBA KASHAONDOKA TUMEBAKI MIMI NA WEWE. LULU CAN STILL MAKE IT IN LIFE IT DOSNT MATTER HOW CRITICAL THE SITUATION IS. GOD IS LOVE, I PRAY FOR YOU LULU JUST TURN ON YOUR LIGHT WITH JESUS NOW, FORGET ABOUT THE WORLD & ITS SINFUL NATURE, START A FRESH WITH A LIFE OF GLORY AND HONOR WITH GOD. I WISH UNGEJUA HOW WONDERFUL GOD IS, RAHA NDANI YA MUNGU KULIKO ZA ULIMWENGU, WEWE UTAKUWA STAR WA MUNGU SASA. YOU'LL COME OUT VICTORIOUSLY AND GOD WILL RAISE PPLE TO HELP YOU. MUNGU HAPENDI VIFO VYA WENYE DHAMBI ANATAKA KILA MMOJA AOKOLEWE, SO DONT KILL UASELF AND PLEASE TAFUTA MTU AKUONGOZE SALA YA TOBA MARA MOJA UWE KIUMBE KIPYA YA KALE YAPITE. WASANII WOTE MUOKOKE ACHANENI NA UJINGA, DONT DIE LIKE CHICKEN JESUS LOVES U.

Anonymous said...

MHESHIMIWA ZITTO KABWE ANAFANYA MAMBO LULU APATE LAWYER MZURI....MHESHIWAAAAAA........HAYA YETU MACHO.

Chris love said...

Dada sintya as i can say R.I.P TO OUR K BUT LULU SHE IS INNOCENT GUYS HATA K PIA ANAMAKOSA SO LIVE IT TO GOD HOPE SHE WILL SUCRIFISE

Anonymous said...

Am sorry to say this......SINTA a.k.a JLO uliyoyasema ktk blogu yako sijapendezewa na sijavutiwa nayo! Samahani naomba nikueleze kuwa Kanumba alipokutwa ameanguika hakutoka Damu na Hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma au vp coz walikuwa ndani wenyewe na mlango ulifungwa baada ya Lulu kupiga kelele ndipo akafungua mlango Seth akamkuta kanumba tayari yupo chini!
Kingine kuwa mkweli dada Hukuwepo pale nyumbani, waliokuwepo pale wakati tunahangaika kumpeleka kanumba hospital ni wakazi wa mule ndani na kwa upande wa wasaniii ni Maya peke yake.....hakukuwa na mwingine wewe kama ulikuja hospitali sawa ila nakumbuka baada ya kutoka hospitali ile alfajiri ndio mkaanza kutujalia mle ndani na vilio huku sisi tukisaidia kutoa vitu vya marehemu jirani yetu wa karibu amabaye tuliishi nae vizuri!Please kuweni wakweli sisi ni waislamu safi nadhani kama mtapata picha pale msibani mlituona mavazi yetu ni mabaiubui na madera yenye stara though hamkuweza kutujua kama sisi pale ni kwetu tunapoishi na tulifanya harakati zote za kuokoa maisha ya jirani yetu coz ni tabia yetu hatupendi kujikweza na kujionyesha kama mlivyokuwa mnafanya nyinyi mnaojiita wasanii na hatupendi kuona mkiandika uonga na kuidanganya jamii.........TUACHE KUTAFUTA SIFA NA UMAARUFU WA KIJINGA NI VIZURI KUJUA KUWA KUNA WATU WANAFAHAMU KULIKO WEWE NA WOTE WANAOTOA TAARIFA KUHUSU MSIBA HUU"

Anonymous said...

LULU, UMEWAHI SANA KALE KAMCHEZO. HUKULELEWA KWENYE MAADILI. YALIYOTOKEA NI AIBU KWA WAZAZI WAKO.
SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE. UFUNGWE NA IWE FUNDISHO KWA WAZAZI KUWARUHUSU WATOTO WAO WADOGO KUSHIRIKI MAMBO YA WAKUBWA.